Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge !
Huyu Rais...
Ndani ya white house.
Picha zifuatazo ni ndani ya Kremli
Pitia hii link kwa picha zaidi za white house ya marekani
A look inside the White House
Pitia hii link kwa picha zaidi za Kremlini...
Wataalamu wa mambo naomba kuuliza hivi zipi zilikua sababu za Uingereza kujitoa EU?
Soma pia Kwa ushindi wa chama cha Labor, je luna uwezekano wa Uingereza kurudi European Union?
Updated - Kura zaidi ya milioni 4 na laki 3 zimepigwa
TRUMP ANAONGOZA KWA ASILIMIA 74
Pia soma: LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Huko Georgia kwa wiki moja sasa raia wanaandamana na kupambana na polisi baada ya chama tawala kusitisha kwa muda mpango wa nchi yao kujiunga na umoja wa Ulaya(EU). Kura mbalimbali za maoni za...
Marekani imesema kuwa haina mpango wa kuirudishia Ukraine silaha zake za nuclear ilizozichukua kufuatia mkataba kati yake na Urusi baada kuvunjika kwa Umoja wa Kisoviet.
Ndugu zangu Ayatollah, najua mnafurahia makubaliano ya kusitisha vita, ila nawapa Pole.
Hivi kweli Israel anawadanganya nanyie mnaingia King?
Alafu Trump naye akawazuga, Et ohoo nitasitisha...
Kuanzia siku ya Alhamisi barabara kuu za zinzoeleke katikati ya jiji la Maputo na mji wa Matola zilikuwa kimya na zenye utulivu mno.
Chawa na waandamanaji wanaomuunga mkono mgombea wa Urais...
Balozi wa Iran Lebanon aibuka Beirut baada ya matibabu, alijeruhiwa vibaya shambulizi la pager Septemba, atembelea eneo ambalo kiongozi wa Hezbollah hassan nasrallah aliuawa
Wadau hamjamboni...
U.S. President Joe Biden arrived in Luanda Monday and was welcomed by Angola foreign minister Tete Antonio on an official state visit to the southern African nation.
This is the first visit by a...
Leo katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Rand Corporation 2019. Hii ni ripoti yénye kuelezea mbinu ambazo Marekani na washirika wake wanaweza kutumia kwa ajili ya kuidhoofisha Urusi...
U.S. Government COVID-19 after action report is out .It clearly shows those who were called "Conspiracy Theorists" were RIGHT,and everyone else was wrong
Hal Turner World December 02, 2024
The...
Mahakama ya Ubelgiji imeiamuru serikali ya nchi hiyo kuwalipa fidia wanawake watano waliochukuliwa kwa lazima kutoka katika familia zao katika enzi ya ukoloni wa Ubelgiji nchini DR Congo...
Mimi sijui kusimulia vyema. Ila habari imekaa kiutata sana hasa ukizingatia BBC wanavyojua kuconceal information.
Wanadai alisababisha "disturbance" kwenye ndege iliyotakiwa kumrudisha baada ya...
Rais Joe Biden ametoa msamaha " kwa mtoto wake Hunter Biden, dhidi ya mashitaka yanayomkabili katika taarifa iliyotolewa na Ikulu Desemba 1, 2024.
Hunter Biden alikua akisubiri kusomewa...
Wafanyakazi wa ngono nchini Ubelgiji sasa wanapata ulinzi sawa na wafanyakazi wa sekta nyingine kupitia sheria mpya ya kihistoria iliyopitishwa mwezi Mei mwaka huu na kuanza kutekelezwa siku ya...
Zaidi ya watu 76 wamefariki dunia na wengine 240 wamejeruhiwa kwa risasi nchini Msumbiji wakati wa siku 41 za maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi, kwa mujibu wa shirika lisilo la kiserikali...
Ukiangalia maelfu watu wasio na hatia tena waliodhulumiwa nchi ardhi na nchi yao wakiuawa, unashangaa dunia iko wapi, maendeleo yako wapi, haki za binadamu ziko wapi, binadamu wako wapi, akili iko...
Wanaukumbi hizi Imani za kumpigania Mungu zinaitesa Dunia, vita nyingi zinazohusisha vikundi vya kigaidi kama Hayat Tahrir al-sham inayoshusha kipondo kwa mashia ya Irani na Syria ni ya kidhehebu...
Habari njema kutoka Angola ni kwamba Bilionea raia wa Nigeria Aliko Dangote anatarajiwa kuwekeza kwenye ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta cha Lobito ( Lobito Refinery).
Hayo yameelezwa...