Habari zenu na heshima kwenu wana JF,
Leo nimeona niweke wazi tatizo langu baada ya kusumbuka kwa mda mrefu bila kupata suluhisho katika idara ya mahanjumati.Nina tatizo la mda mrefu la kuchelewa...
Habari za weekend,
Jamani nina rafiki yangu ana mimba ya miezi 8 na nusu ila tangu miezi saba anasema uke na mkund* vinamuuma huu kama anavutwa kwa ndani, ni maumivu yanayomnyima raha. Ni mimba...
Ndugu, mke wangu ni mjamzito. Makadirio ya kujifungua (due date) ilikuwa ni tarehe 10.03.2015 na kwa mujibu wa vipimo vya ultra-sound ni tarehe 13.03.2015..
Sasa muda umepita na hana dalili...
Habari JF Doctor,
Nina rafiki yangu ana mtoto wa mwaka na nusu na tangu apate huo ujauzito hajawahi kushiriki tendo la ndoa mpaka sasa. Je, kwa muda aliokaa kuna madhara kiafya?
Nawasilisha...!
Habari za Jumapili,
Kuna mtu alikuwa anamsafirisha mgonjwa ambae tayari alikua Mwathirika wa VVU. Sasa kwa bahati mbaya gari likapata ajali na wote kuumia vibaya kiasi cha kuvuja damu nyingi...
Celery (figili)
Juisi ni kinywaji bora na maarufu duniani, lakini ni vyeme ukajua juisi ipi ina faida mwilini na ipi haina faida yoyote. Katika zama tulizonazo, kumezuka aina nyingi za...
Salaam,
Naombeni sana msaada wa kupata daktari atakaemtibu baba yangu anasumbuliwa na uvimbe kooni (Goita).. Nimetafuta huduma sehemu nyingi but hajapata nafuu nahisi the best option ni kufanyiwa...
Naombeni msaada maana mara nyingi nnapokua nafanya sex na mwanamke nifikapo mwisho namwaga shahawa nyingi sana ambazo zinanifanya nisipate hamu ya kurudia tendo tena ndani ya muda mfupi. Nashindwa...
Habari za jioni wakuu?
Bila shaka mko salama.
katika pita pita nimekutana na mjadala katika site flani hivi watu wakijadiliana juu ya viability ya vidole (pichani) kutofautiana kwamba inaweza...
Habarini wana JF.
Kuna mtu anayefahamu maadhimisho ya Siku ya Figo duniani yatafanyika katika Mkoa upi na Hospitali ipi kwa mwaka huu?
Kwa mwaka Jana kwa pale Arusha waliiadhimisha katika...
Haruni Sanchawa na Makongoro Oging
KWELI ni maajabu! Yule mgonjwa ambaye mpaka sasa, madaktari hawataki kumtaja jina, aliyelazwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) Hospitali ya Taifa Muhumbili...
Habari wanajamvi, mimi ni kijana wa miaka 31, ninafanya mazoezi ya weight lifting lengo likiwa ni kujenga mwili mzuri ambao upo fit. Sasa nasumbuliwa na tatizo moja, ni kwamba mimi ni mwembamba...
Infective endocarditis is a form of endocarditis, or inflammation, of the inner tissue of the heart, such as its valves, caused by infectious agents. The agents are usually bacterial, but other...