Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu bora siku zote huwa na wachezaji bora wa akiba. Baadhi ya makocha huangalia utayari wa mchezaji aliyepo benchi wakati mechi inaendelea. Miongoni mwao vitu wanavyofatilia ni; Timu yake...
0 Reactions
4 Replies
611 Views
Kijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani. Kibwana amepata nafuu karudi kundini...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Joel Jaffer A’ita amekuwa gumzo baada ya kuwasilisha ombi la kuinunua Klabu ya Soka ya Chelsea inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza. Mhandisi huyo wa Ujenzi ambaye ana Shahada ya Kwanza kutoka Chuo...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
10 September 2021 Kigali, Rwanda Tanzania imeshindwa kulipia ada ya dola za kimarekani US$ 1,000 zilizotakiwa kulipwa kabla ya kuruhusiwa kushiriki mashindano makubwa ya Afrika ya mchezo wa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Gary Neville aliwahi sema Liverpool hebebi ubingwa na kama akibeba ubingwa wa ligi ataenda Papa new Giunea. Liverpool akapindua meza na Akasafiri baada ya kukiri Liverpool made the difference...
0 Reactions
19 Replies
894 Views
Ukifuatilia msimamo ulivyo katika Kundi D utakubaliana na mimi kuwa Simba SC ndiyo itakayokuwa ya kwanza kutinga hatua ya robo fainali katika kundi lake. Katika kundi hili Simba na Asec Mimosas...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Huu ni mtazamo wangu kuhusu kikosi changu Bora cha mzunguko wa kwanza NBC premear League 1: Djigui Diara 2: Djuma Shabani 3: Mohamed Hussein 4: Henock Inonga 5: Bakari Mwamnyeto 6:Yanick Bangala...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Natumai ni Wazima Wote Hapa..! Ufuatao ni mtazamo wangu kuhusu Kikosi cha kwanza cha Wachezaji na Benchi la Ufundi kwenye NBC Premier League msimu huu wa 2022 kwa mzunguko wa kwanza na baada ya...
8 Reactions
85 Replies
5K Views
Tusipo tengeneza mpira mzuri hapa tanzania basi hakuta kuwa na utofauti ya kuwapa kipaumbele kama wasanii wawili wanao shindanishwa kwa maslahi binafsi. Mpira wetu wa hapa bongo kwenye vilabu...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
kutokana na mapito inayopitia na dozi ya sonona inayogawa kwa mashabiki wake naomba hii timu nayo iongezwe TU kwenye kundi la WATU MAALUM yaan special group Kama walemavu wajane na watu watu wa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Kukaba Nampa shomary 75 Nampa Juma. 45 Driblling Shomary. 69 Juma. 75 Cross Shomary. 80 Juma. .78 Kupanda /kushambulia Shomary. 75 Juma 80 Balance(kupanda na...
15 Reactions
57 Replies
6K Views
Najua timu karibu zote zilifanya usajili. Hasa hawa wanakariakoo walivimbishiana sana. Simba ilijidai na chama. Yanga nao walijidai na Nkane, Chiko na yule nyanda waliyedhurumu Manungu. Je...
2 Reactions
5 Replies
863 Views
Hii imethibitisha katika mechi ya Simba vs Dodoma jiji. Kila Zama na wakati wake , kipindi chake kimeisha, pia na umri umemtupa mkono wa kuendelea kumuamini. Mechi ijayo na RS BERKANE kocha...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Tumechoka na wachambuzi maandazi wa soka hapa bongo!! Utakuta mtu hajaweahi hata kucheza mpira ligi yoyote, anatokea kuwa eti mchambuzi wa soka huku akiwakosoa marefarii waliosomea kazi yao...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Inasikitisha sana wachezaji wetu wanaoimbwa kila siku kwamba ni wakali hawajamfikia hata mpole japo anacheza kwenye timu dhaifu ila ana goli 8, . kina sakho sijui chama hawapo hawajafikisha hata...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Ahlan wa sahlan Wakati ulimwengu ukifurahia kuwaona wachezaji magwiji wawili walioitikisa dunia ,namaanisha Mreno Sir Cristiano Ronaldo na Sir Lionel Messi, tunasahau kuwa hakuna kocha aliyewahi...
12 Reactions
34 Replies
2K Views
....
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kushangilia ni jambo zuri kwa ufungaji wa goli, lakini sasa huu muda unaotumiwa na mchezaji wa timu ya Yanga Mayele pindi afungapo goli na kuanza kuwaita wenzake waanze kushangilia naona kama ni...
10 Reactions
61 Replies
5K Views
Baada ya hapo jana mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga kutoka DRC, Fiston Kalala Mayele kuzawadiwa ng'ombe mwingine na mashabiki huko Mwanza, ni wazi sasa viongozi waanze kutafuta mchele, kwani...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Muda mchache ujao, mabingwa wa nchi Simba Sc watashuka dimbani kuwakaribisha Dodoma Jiji katika dimba la Benjamin Mkapa. Ungana nasi hapa kwa updates..
8 Reactions
407 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…