Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Binafsi nimeshatonya nini kinaendelea dhidi yake na alifanya nini huko ( kule ) Niger ila nyie mnaficha na Kufanya Siri ili tu kutozua Taharuki kwa Mashabiki na Kuwagawa Wachezaji. Kwa Kujiamini...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Pale mlipoweka Kambi Kibaha wachezaji hawako salama. Hakuna ulinzi,basi lenu mnapolipaki pale shuleni linaonekana wazi. Unaingia pale lodge unakutana na wachezaji na unaongea nao bila shida, sasa...
1 Reactions
3 Replies
580 Views
Huwa najiuliza hii misamiati inayotumika katika uchambuzi hutumiwa na wachambuzi "kiufundi" na "kimbinu" au kama misemo ya msimu tu. Mfano neno "mikimbio" karibu kila mchambuzi alikua analitumia...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukiujua Mpira wa Bongo (Tanzania) na Janja Janja yake ni raha sana. Pongezi sana Kocha wa Mtibwa Sugar FC Salum Mayanga kwa Kuwaanzisha Wachezaji wabovu ila baada ya Yanga SC kufunga Goli la Pili...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Salam kwenu wanaJf Natumai muuwazima wa afya njema kabisa na natumai Jana wengi wenu mlipata wasaa wakuangalia mechi ya Simba vs Biashara United pale kwa mkapa, kwenye hiyo mechi macho yangu...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimemsikia Thobias Kifaru msemaji wa mtibwa sugar akidai deni lao kwa Yanga kuhusu abdalah Msheri kama mtu mwenye sonona na aliyekata tamaa. Wakati wanauziana mchezaji hawakuuzina kwenye vyombo...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Kama umekasirika na Unabisha haraka sana hapo ulipo nitafutie Klabu nyingine ukiiondoa ya Simba SC yenye Cheo cha Meneja Mawasiliano na Habari. Kuna Klabu moja ( ya Ligi Kuu ) siikumbuki Jina ila...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
SAKATA LA MTIBWA DHIDI YA YANGA 🔋 Wakati Yanga wanakubaliana uhamisho wa Kinda Abou Msheri kutoka Mtibwa, walitaka kulipa ada ya uhamisho kwa mikupuo miwili (installments) 🔋Mtibwa walisema wazi...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Wakuu Kwa wanaofuatilia Sakata la Chama alipokuwepo Tanzania mwanzo na alipoondoka kwenda RS Berkane, kisha Aliporejea Tanzania na sababu zilizotolewa kurudi na uhalisia wa utumikaji wake kule...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Nafasi ya pili hawana mshindani wa maana
3 Reactions
12 Replies
757 Views
Japo ni mwana Simba SC lia lia ila kwanini nawapenda Yanga SC ( hasa Kiuchezaji ) ni kwamba Wachezaji wao hata kama wameshinda lakini muda Wote wa Mchezo wanakuwa very committed kutaka Ushindi...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wajuzi wa sheria za soka naomba msaada wenu. Leo kwenye Mechi Kati ya Kagera Sugar na Namungo mchezaji wa Namungo Hamis Faki ameingia uwanjani dakika ya 89 kuchukua nafasi ya mwenzake aliyetolewa...
3 Reactions
9 Replies
673 Views
Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amekiri kuwa ana hofu kuwa kuna uwezekano wa wachezaji ambao wanaelekea kumaliza mkataba klabuni hapo wanaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Hatua hiyo inakuja...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Wallace Karia kwenye semina iliyofanyika jana, amesema kuwa katika watu ambao hawautendei haki mpira wa Tanzania ni Wachambuzi wa mpira...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Je, Wallace Karia yuko sahihi kusimamisha Ndondo Cup? Kwa maoni yangu sidhani kama yuko sahihi. Kwa kutumia ushabiki wa Simba na Yanga kuna wanao mkubali Shaffih Dauda na kuna wanaomkataa ila...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
TIMU ya Taifa ya Pooltable Waanaume imeanza vyema mashindano Afrika kwakuwafunga majirani Kenya 13-9 katika mchezo wake wa kwanza wa mashindano hayo yaliyoanza leo Nchini Zambia. Mashindano...
1 Reactions
2 Replies
779 Views
Na Thadei Ole Mushi. Watanzania ni wepesi sana wa Kudanganywa. Jana niliandika kuhusu IQ zetu kuwa chini leo tena tumedanganyika. Kupitia Ukurasa wa Mfadhili wa Simba Mo Dewji ameweka Poster...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwa tunaofatilia soka tangu zamani, Fiston Mayele haingii hata robo kwa Kipre Tchetche aliyekuwa striker wa Azam Fc kutokea Ivory Coast. Kipre Tchetche alikuwa analijua goli bhana. Alikuww na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais wa TFF, Wallace Karia amesema ligi za Mkoa wa Dar Es Salaam zimekosa mvuto na umaarufu kwasababu ya michuano ya Ndondo Cup ya Clouds Fm. Pia akaenda mbali zaidi kwa kusema, Ndondo Cup...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu hivi Match ya Simba na biashara ni leo Au Kesho?
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…