Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Haya wale wachambuzi wetu, wataalam wa soka la Ulaya, tuambiane nafasi ambayo Kiungo mpya wa Man Utd kutoka Ajax ataaenda kucheza? Je, atachukua nafasi ya nani? Je, anaweza akaleta balance kwenye...
5 Reactions
65 Replies
5K Views
Kwa wapenzi wa soka wa zamani tukumbushane majina ya wachezaji wa kikosi hiki
18 Reactions
146 Replies
22K Views
Kocha wa Man City, mwalimu Pep Guardiola amesema kuna wachezaji wanafanya timu ziweze kucheza vizuri lakini hawaimbwi sana kwakuwa hawapo kwenye takwimu nzuri za kuvutia yaani magoli au assist...
0 Reactions
1 Replies
486 Views
Habari za weekend wakuu, Ni siku nyingine tena natumai ni wazima wa afya na mnaendelea na majukumu ya kila siku vizuri pamoja na walio mapumnziko. Wakuu Kuna hili tatizo linalojirudia la huyo...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Muda mchache ujao, kutakuwa na mchezo mkali kati ya Mtibwa Sugar Vs Yanga Sc Mchezo huo unategemewa kuvuta hisia za mashabiki wengi, kwani Mtibwa anaonekana kama mgumu akiwa uwanja wa nyumbani...
4 Reactions
332 Replies
18K Views
Hii ndio taarifa iliyosambazwa na shirikisho la soka la nchi hiyo , kwamba Song sasa ndio kocha mpya ! Ukweli ni kwamba achilia mbali kwamba uzoefu wa Song kwenye ukocha unatia shaka , lakini...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Ni muda sasa huyu mwamba hajaonekana uwanjani na taarifa zake mpaka sasa hatuzijui anaendeleaje! Kukosekana kwake ni pengo kubwa sana kwa timu ya Taifa ya klabu, namaanisha wekundu wa Msimbazi Simba.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
SERIKALI IMERIDHISHWA NA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU YA MICHEZO INAYOTEKELEZWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF) Serikali inaridhishwa na kuthamini hatua zinazochukuliwa na Shirikisho...
0 Reactions
4 Replies
755 Views
Gwiji wa Brazil Pele ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kupata matibabu ya uvimbe na maambukizi ya mfumo wa mkojo. Mshindi huyo Kombe la Dunia kwa mara tatu, mwenye umri wa miaka 81...
0 Reactions
1 Replies
487 Views
Habari, FIFA na UEFA zimevifungia vilabu vyote vya mpira wa miguu vya Urusi kushiriki katika michezo. Zimevifungia kuanzia ngazi ya vilabu hadi kimataifa na kuzuia kushiriki kombe la dunia 2022...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwanini......? 1. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mdogo hivyo utawapa Changamoto akina Gendamarie na Berkane wanaopenda na waliozoea Viwanja vyao Vikubwa huko Kwao Niger na Morocco hivyo Kuwafunga...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) na Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) kwa pamoja wametangaza kuzifungia timu zote za Urusi katika michuano ya kimataifa kuanzia ngazi ya klabu hadi timu za...
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Sisi sote tumejionea perfomance ya anayejiita klabu bora 19 barani afrika. Sijui umenielewa? Yaani nawazungumzia wale walio leta orodha kuwa na wao wamo ndani ya klabu 10 bora barani afrika...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Teknolojia zimetoa mchango mkubwa kwenye mapambano ya China dhidi ya janga la virusi, hasa kwenye kipindi ambacho inakuwa mwenyeji wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing. Vyoo vya...
0 Reactions
1 Replies
563 Views
Makolo hasara kwa taifa, naomba watoe lile neno la visit Tanzania. Haiwezekani timu tumeituma kuwakilisha taifa wanachezewa Kama vile Aibu zilizotokea Leo kwa makolo Shoot kipindi cha Kwanza...
10 Reactions
74 Replies
3K Views
“Tunarudi kwetu sasa.... Nyumbani kwetu na sisi... Kwenye ufalme wetu “Save the date MARCH 13 2022,🔥🔥 “Siku ambayo Rs Berkane watavuta pumzi ya moto, siku ambayo Berkane wataiona Simba halisi...
1 Reactions
5 Replies
756 Views
Leo majira ya saa 4:00 Usiku, RS Berkane watakuwa wanawakaribisha Simba Sc katika mchezo wa tatu wa CAF Confederation Cup katika dimba la Stade Municipal de Berkane, nchini Morocco. Katika mchezo...
12 Reactions
605 Replies
29K Views
Heshima kubwa sana kwa Air Manula moja kati ya golikipa bora Afrika. Mechi ya jana bila Manula tulikuwa tufe nyingi sana. Tazama shots on target. Aish Salum Manula Goli Kipa Namba Moja Wa Klabu...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC. Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki? Mechi hi...
12 Reactions
589 Replies
39K Views
Wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Klabu ya Chelsea, bado hawajakubali maombi ya bilionea na mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kuhusu kukabidhiwa majukumu ya kuiongoza timu huku yeye akibaki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…