Bondia wa Tanzania, Tony Rashid alipigwa na Bongani Mahlangu (Profesa) mwaka jana na kuporwa mkanda. Leo Februari 25, Tony Rashid ameomba pambano la marudiano ili arudishe heshima...
Nini...
Jana usiku katika pitapita zangu bar zote za Moshi zilikuwa zimefurika ilivyo kawaida. Nikaambiwa wengi wao ni wageni wamekuja kwenye mbio za kila mwaka maarufu kama Kilimanjaro Marathon.
Sasa...
Akiwa katika muendelezo wake ule ule kwa Kuichukia Simba SC, Kuizodoa Simba SC na hata Kuichafua kwa kila namna Simba SC kwa Gharama za kuwepo katika Payroll ya GSM na Mahaba yake niue kwa Klabu...
"Heshima kwa timu pinzani" au "kuwapa heshima wapinzani", mara nyingi kauli hizi hupewa uzito sana na wachambuzi wetu pindi timu ndogo inapokutana na timu kubwa.
Na kwa asilimia kubwa...
Huyu kijana alidundwa nchini Tanzania , sasa nashangaa tena eti Re match inapigwa tena Tanzania ! kwani mpinzani wake hana nchi ?
Au ni lazima tuvunje mayai njia panda ili tushinde ?
Jifunzeni...
Lusajo (Namungo FC ) mwenye Goli 10 ila hana Mbwembwe na Kwake ni Kawaida na Mayele mwenye Goli 7 tu ila Mbwembwe Tanzania nzima?
Nasubiri Majibu yenu huku nikijiandaa kuendelea kuiletea Heshima...
Walitegemea sana yanga ingedondosha point kwa Coastal union.
Police Tanzania, Mbeya city, Azam fc na tegemeo la mwisho likabakia Manungu stadium lakini tumeshuhudia wananchi wakiondoka kifua...
Habari wapenzi wa michezo.
Serikali inasema kuanzia mwaka ujao wa Fedha itaanza kujenga viwanja mikoani na itaanza na mikoa 10.
Ni jambo jema,sasa swali je hivi viwanja vitakuwa na standards za...
Habari.
Mechi imekuwa ya moto kweli kweli toka dakika ya kwanza kwa timu zote mbili.
Hakika kwa kandanda hili lenye kasi na accuracy ya pasi za uhakika.
Hadi sasa Al Ahly amepata goal la...
Mchezaji wa kimataifa kutokea Ubelgiji aliyepata umaarufu mkubwa kwa kujifunga magoli matatu (hat-trick) ndani ya mechi moja
Stan van de buys aliyekuwa akiichezea timu ya Germinal ekeren.
mnamo...
Leo nina mood ya kusema jambo kwa wanaopenda kubet wazee wa mikeka. Betting nayo ni uraibu kama uraibu mwingine tu kama wa madawa ya kulevya, pombe, ngono nk.
Ila kwenye betting ndio unakuwa...
Ratiba ya Kombe la Azam hatua ya robo fainali imetoka:
1. SIMBA VS PAMBA
2. YANGA VS GEITA
3. AZAM VS POLISI
4.COASTAl VS KAGERA
NUSU FAINALI:
Mshindi: SIMBA VS PAMBA anacheza mshindi: YANGA VS...
Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .
Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana! inakuwaje Mtibwa...
Nadhani labda sababu ya kutafuta maisha au labda ni kingine ili tucheze soka muda mrefu Sana sijui..
Week iliyopita kulikuwa na mashindano ya soka kwa vijana wa mashule Africa chini ya miaka...
Kutokana na mwendelezo wa baadhi ya watu kutumia 'graphics' za Baraza la Kiswahili Taifa (BAKITA) na kutumia kuweka maneno yao kisha kuandika maana potofu katika Lugha ya Kiswahili, baraza hilo...
Wale wazee wa busara waliopanga kwenda kwa mama wanasemaje sasa?
Wale mashabiki isipokuwa wawili tu waliosemwa wana akili, bado wana kiu ya kwenda kudeka kwa mama dhidi ya waamuzi?
Klabu ya Dodoma Jiji ya jijini Dodoma imeachana na kocha wake mkuu, Mbwana Makata kuanzia leo Jumatano Februari 23, 2022.
Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imefikiwa...
Mechi inaendelea mda huu lakn jamaa ashatia kamba mbili na kuipatia timu yake uongoz wa bao 2
Utopolo hamkawii kusema jamaa ni flopp
Mtibwa tunawasubiri kwa hamu Sana najua sare yoyote hapo...