Habari Tanzania na Kote Duniani..!
Kuelekea siku ya Jumapili February 13, 2022 hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC kupigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa (Mkapa Stadium)...
Mpira wa miguu una wadau wengi sana duniani, Africa na Tanzania. Ukifanya kosa kwenye mpira kama mchezaji kukosa nafasi ya wazi ya kufunga, mchezaji kumuumiza mchezaji, timu kufungwa au waamuzi...
Huwa sipendi kumzungumzia sana humu kwa sababu hana hadhi ya kujadiliwa na mimi,lakini kwenye hili siwezi kukaa kimya.
Naishauri TFF ichukue hatua kali dhidi ya huyu Chawa. Ana sifa zote za...
Jamaa ana elimu kubwa na pia ameitumikia klabu yetu kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa. mimi naona anafaa kuwa Rais wa timu yetu ukizingatia umri wake bado ni kijana
Simba Sports Club Wawakilishi Pekee Katika Michuano ya Kimataifa Jioni Ya Leo Wapo Kazini Kutetea Bendera Ya Taifa...Bendera Ya Nchi ya Tanzania.Kama ilivyo desturi kwa Watanzania inapotokea Jambo...
Chelsea imefanikiwa kubeba ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia baada ya kuifunga Palmeiras kwa mabao 2-1 katika fainali iliyochezwa Abu Dhabi, leo Jumamosi.
Mabao ya Romelu Lukaku na Kai Havertz...
Kuna Vitu vya Kipumbavu mno vinafanyika Simba SC na naomba leo Simba SC tufungwe au tutoke tu Sare na Police Tanzania ili Hasira zangu za Kufungwa 'Kimipango' na Jwaneng Galaxy nizijumuishe na za...
Mo kusema Simba inajiendesha kwa hasara makanjanja ya media na wapuuzi wako naye bize kwelikweli, ila injinia wenu aliposema hivyo last year mkakausha kimya.
Mo Dewji hii dhambi aliyoifanya kuipa...
Bado siamini nilichokiona.Yaani mchezaji mkubwa km Ali Sonzo,mchezaji ambaye amepata kucheza timu ya Taifa na Club kubwa km Yanga maiti yake kubebwa kwenye Kirikuu km kitanda cha msela anaehama...
Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ni Msemaji (Mzungumzaji) mzuri, ametulia, hana papara, anajua nini cha Kuongea na wakati gani, ana PR nzuri, Mtanashati kuanzia katika Mavazi, Akili na Mvuto hivyo...
Ni jambo ambalo lipo wazi ,tumeona majibu kombe la mapinduzi kelele kibao ila ni timu ya kawaida pamoja na kuwapamba wachezaji wao, muda unavyoenda Simba inaimarika na Yanga inadhoofika.
Kwanza...
Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanatarajiwa Kufanyika Birmingham,Uingereza na Mashindano ya Dunia Kufanyika Oregon, Marekani Mapema Julai Mwaka Huu.
Hivyo, Baraza la Michezo Tanzania (BMT)...
Caroline Nassoro
Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi imepangwa kufanyika mjini Beijing, China, mwezi Februari, na maandalizi yote kwa ajili ya michezo hiyo yamekamilika.
Lakini baadhi ya...
Beki wa KMC, Ally Sonso amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na jeraha la mguu.
Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuchezea timu za Yanga, Lipuli...