Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kipindi Yanga tulipokuwa chini ya Simba kimatokeo basi tulikazania sana suala llaUBINGWA WA KIHISTORIA Sasa hivi SIMBA wako chini ya YANGA kimatokeo nao sasa wamekazania sana RANK ZA CAF, IFFH...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hawa jamaa hawana affiliation na FIFA ni watu wa takwimu za michezo SINCE 1984 jana wametoa takwimu zao za teams 400 bora duniani simba ikiwa nafasi ya 361 na ligi ya Tanzania ikiwa ya 8 barani...
4 Reactions
122 Replies
15K Views
1.Ronaldo Luís Nazário de Lima Heshima Club Cruzeiro[6] Campeonato Mineiro (1): 1994 Copa do Brasil (1): 1993 PSV Eindhoven[6] KNVB Cup (1): 1996 Johan Cruijff-schaal (1): 1996 Barcelona[6]...
7 Reactions
129 Replies
19K Views
Kazi yangu hasa katika Uzi wangu huu ni Kusoma Comments zenu na wala si Kuchangia chochote kile. Karibuni tu wa Cameroon na Tanzania!!!!
7 Reactions
31 Replies
3K Views
[emoji95] 𝘼 𝙎 𝙀 𝘾 𝙈 𝙄 𝙈 𝙊 𝙎 𝘼 𝙎 [emoji573] [emoji419] Kwa kifupi sana kuhusu ASEC MIMOSAS wapinzani wa Simba kwenye kombe la shirikisho Afrika, [emoji419] Klabu hii ilianzishwa mwaka 1948 ni...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa hali ilivyo simba inabd wafute benchi lote wasimuonee huruma hata matola mwenyewe kisa ni simba. WE UNACHEZA NA PRISON UNAJUA KABISA NI WATU WA KUPARK BUS NA KUVIA 1. Unamuweka benchi mchezaj...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Bonjour wakuu, Michuano ya TotalEnergies African Cup of Nations 2021, inategemewa kuanza leo Jumapili 09, Januari 2022. Michuano hii ilitakiwa ifanyike mwaka jana 2021 ila ilihairishwa kutokana...
8 Reactions
75 Replies
5K Views
Kila nikimtizama Rally Bwalya najiuliza kwanini Shiboub asisajiliwe kuziba nafasi ya Bwalya? Yule Msudani amemzidi kila kitu huyu dogo mzambia. Uzi tayari.
7 Reactions
59 Replies
5K Views
Ukifuatilia mitandaoni kwa sasa watu wa soka kuna kelele fulani hivi zimekuwa zikiendelea kwa kasi, ilianza kimya kimya, lakini taratibu zinaenda zinashika kasi. Timu fulani kubebwa au timu hii...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Huku CAF wakiwa wametoa ruhusa kwa mashabiki 35 k tarehe 13 isisahaulike kwamba kuna wehu waliwahi kubishana nao wakatoa hadi flyers za bei siku wanacheza na wapopo wakalitia taifa aibu kutolewa...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Wataalam naomba mnisaidie hili maana kuna mechi flan ilikua ya Yanga kipa alidakia nje akapewa direct red card, Jana simba na mwadui kipa alidakia nje akapewa yellow. Naomba kujua ipi ni sahihi au...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Naipenda sana Simba SC yangu na natamani tushinde ila siyo kwa Kubebwa ( Mbeleko ) kama hii ya Leo. Wana Simba SC mtakaonichukia kwa hili nichukieni na mkiweza nitukaneni mnavyoweza ila kwa 100%...
13 Reactions
47 Replies
3K Views
Hii ni kutokana na uchambuzi wa mmoja wa mashabiki wa Simba baada ya gemu ya Simba na Prison , huku akiita wachezaji wa Simba Wazee na akimlaumu kocha Matola kwa kumuweka benchi Sakho . Video hii...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Ikiwa leo ni nusu fainali ya Afcon kati ya Wenyeji Cameroon dhidi ya Misri, tayari fitna za Etoo na kundi lake zishaanza kazi kwa kufungiwa kwa kocha msaidizi wa Misri, kwa kinachodaiwa vurugu...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Huwezi amini ....yaani billion moja ya udhamini mwenza kwa mwaka imewatoa roho na imani na bila aibu leo wanashehereka ranks za ligi bora iliyo chini ya Tff ya mchongo na bodi chakavu ya ligi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Nachelea kusema hii ndo timu inayokwenda kushiriki michuano ya kimataifa na trh 13 inavaana na Asec mimosas, kwa namna Simba inavyocheza kwa sasa inatia huruma kwakweli, aieleweki wanacheza mfumo...
2 Reactions
1 Replies
558 Views
Hii kitu sijui wananzengo imekaaje embu tuanze. A.k.a za WACHEZAJI wa kigeni 1.clatos Chota chama- ball brain 2 aucho - football doctor 3 onyango -1/2 mtu,1/2 chuma 4 inonga baka- verane 5...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Je, hii kauli ya Huyu muheshimiwa. Wana Msimbazi wenzangu mnaichukuliaje Binafsi naichukulia Kama kejeli coz anatufanya sisi Wana Simba kama watoto wadogo. Ni sawa na mtoto anovyomwambia baba...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Mech hii ya mhim kabsa kwa wekundu wa Msimbaz inaanza saa ngap wadau ? Na je matumain ya kushnda yapo ??
1 Reactions
18 Replies
1K Views
. Niliposikia na kuona Aliyekuwa mchezaji wa Yanga Sc ya Tanzania [emoji1241] na Olympics Khouriba ya [emoji1173] kusajiliwa na klabu kubwa kama Renaissance Sportive de Berkane "Wafalme wa Falme...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…