Akihojiwa na Azam Tv kocha wa Yanga Edna Lema amesema sababu ya kufungwa ni uwepo wa makocha wa kiume kwa Simba Queens.
Ikumbukwe kuwa kocha msaidizi wa Yanga ni Mohamed Hussein Mmachinga. Sijui...
Wameingiza uwanjani kikosi chao cha kwanza kamilifu woooote... kuanzia Manula..palikosekana mchezaji mmoja tu Banda ambaye yupo nchini kwao Malawi
Tofauti na Yanga waliocheza na timu ya Kmkm...
Kampuni ya Star Media wamiliki wa Startimes wameshatangaza kwamba wataonyesha mechi zote 52 za AFCON Cameron kuanzia January, ila washindani wao kibiashara Azam media mpaka sasa wapo kimya.
Kama...
wasp
Ukiangalia kwa mfano game ya leo Vs Mlandege SSC imepata faulo nyingi sana kwenye maeneo ambayo kama wangetumia vizuri basi wangeweza pata goli hata moja lakini hawakufanya hivyo.
Timu...
HABARINI wanamichezo wenzangu nimeona nisikie kutoka kwenu huu mfumo wa yanga kuleta/KUSAJILI WACHEZAJI wa eneo moja. Je ina afya kwa club na wachezaji husika?? Kwa mfano eneo la mshambuliaji no...
Nimeifuatilia hii timu ya wanawake kwa mda mrefu lakini naona viongozi ni Kama vile wameitelekeza, awaweki nguvu kuakikisha hii timu inakuwa stable kiushindani, aiwezekani timu inakuwa inafungwa...
Habari Jf
Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake
Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa...
Kumekuwa na sintofahamu mitaa ya jangwani kwa timu hii ya wanawake baada ya kufungwa tena leo mabao la kwato la punda ,kwato la farasi mara mbili au bao la kitimoto Mara nne. Hii timu usiku huu...
Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa.
"Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa...
Anaandika Msemaji Mstaarabu Ahmed Ally katika kurasa ya Instagram
Ni kweli tuna wachezaji watatu tunawafanyia majaribio
Mashabiki wa Simba wamepata hofu kwanini timu yao na ukubwa wao wanafanya...
Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji.
Mechi za KMKM na Mlandege zina vijana wadogo lakini wako aggressive Sana. Kiukweli Zanzibar...
Leo ni Kufa Au Kupona. Mshindi lazima Apatikane kati Ya YANGA SC Vs KMKM ambaye Atakwenda Kucheza Nusu Fainali.
Saa 10:15 Joni mabingwa watetezi Yanga SC kupepetana na KMKM, timu zote zilipata...
Hawa jamaa wa E FM kwenye segment ya medani za kimataifa hakuna kitu wana chambua kule.Jamaa atakuambia tuna mengi sana ya kukuambia leo lakini subiri muda wenyewe ufike sasa.
Kipindi kinaanza...
Naamini hamjaamka poa kwa sababu ya tozo plus timu mbovu ya Makolo.
Asubuhi yote hii napenda kuvipongeza vilabu vyote vinavyoshirikia ligi kuu Tanzania, hakika mpka sasa vimeonesha ushindani...
Nimekuta wapenzi wa club ya Simba wakimjadili msemaji mpya wa Simba na kumuita AHMED ALLY "KIRAKA" kwamba nikama ameziba uchakavu uliosababishwa na kuondolewa kwa msemaji wa Simba Haji Manara...
Mashindano makubwa ya Draft Tanzania yanatarajiwa kufanyika Tar 7 July, 2021
Mshindi wa kwanza anatarajiwa kuondoka na kitita cha shilingi 700,000/-.
Yamepangwa kufanyikia Kinondoni Manyanya...
Naangalia hpa mechi ya Azam-Namungo, yaani picha zinavyo onekana utafikir ni Kamera moja iliyowekwa juu ya jukwa, image inaoneshwa watu wako mbali, mbna mnafeli hivyo? Kwani mkiweka Kamera za...