Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mchezaji wa Simba Kibu Denis hana kiwango cha kucheza Simba ni mzigo,
hana footwork nzuri.
Hana unyambulifu wa mwili (body flexbility)
Pasi zake za kutoa na...
Huu mkataba unaosababisha hadi CEO wa Simba kufukuzwa uwanjani na familia yake, huu mkataba unaolazimisha Simba avae nembo begani kwa milion 5 kwa mwezi ilihali anao ATCL na AFricarriers waliotoa...
Wadau wa soka Hamjambo
Nimekuwa nikimfuatilia huyu mutu wa DRC straiker MAKAMBO kuurejesha kwake ktk club ya Yanga SC, matarajio ya wananchi walifikiri atawasaidia lakini ukweli huyu jamaa ni...
Wasalaaam! Wana JF popote mlipo!
Binafsi naona timu hizi mbili(Yanga na Simba) Wanapendelewa kwenye Ratiba kwani sioni sababu za msingi kuzipa timu zaidi ya wiki kujiandaa eti kisa ni Dabi ya...
Simba iwe makini dirisha linalokuja la usajili na pia iwe makini kwa umafia watakaofanyiwa na TFF.
Vita kali inakuja kati ya TFF na Simba huku wakipewa backup na GSM.
Umafia uliotumika kumtoa...
Uhuni umeanza kwa kuingia mkataba na GSM bila kuridhiana na Simba.Na lengo ikiwa ni agenda ya utopolo kupewa ubingwa wa mchongo
Leo viongozi wa Simba wamezuiwa kihuni tu kuingia uwanjani...
Hili suala la mikataba mibovu mda mrefu imekuwa ikisababisha umasikini, mauwaji na hasara mbalimbali kwa jamii hapa Tanzania . Huko serikalini ni kugumu kidogo lkn kwa Hawa TFF na bodi ya league...
Mechi inaendelea dk ya 80 mtibwa anaongoza 2-0 na bado anashambulia kwa kasi Sana.
Magoli ya mtibwa yamefungwa na Gorge Nzigamasabo Steve 12'p
Demla dk ya 62'
Hii ni mechi ya kwanza mtibwa...
Wakati akiingia eneo la VVP kwa ajili ya kutazama mechi ya Leo, CEO wa Simba Babra Gonzalez akiwa ameambatana na wanafamilia watatu (tena) watoto alizuiliwa na maafisa wa TFF kuwaingiza watoto hao...
Nimesikitishwa sana na Yule Lainzmen(Mshika Kibendera Kipindi cha Pili pale aliposimamisha Kibdendera Akiashiria Faulo,Ila Pia Cha Kushangaza tena refa Akweka Free kick.
Ni Maana Yake Au Tafsiri...
Kuna kipindi Simba walishambulia Morison akampasia Kapombe na ilikuwa ndani ya 18 ,ilikuwa move ya goli. Naomba kufahamu kosa gani ilifanyika ,Tuache ile shuti ya Kanote halafu akapuliza offside...
Wakuu Kwema,
Leo Mapema nilikua nimejisajili kwa Hii Kampuni nione labda ina nini Kipya wamekuja nacho tofauti na Makampuni mengine yaliyoko. Nikasuka Mkeka wangu, treni la leo leo odds kama 384...
Nimesoma na kupokea kwa masikitiko taarifa ya kuzuiwa kuingia uwanjani kuangalia mechi ya leo Barbara Gonzales CEO wa Simba.
Kusema kweli niliaminishwa shuleni kwamba wazungu walituita Waafrika...
Kati ya Mayele na Kagere Una fikiri nani anatisha zaidi?
For me Mayele cause hata asipo funga anaweza kukuzuru pia to get Red card. yellow card or and penalty. Ni msumbufu sana kumchunga...
Mtanange wa Simba na Yanga ndio umekaribia, the wait is over!!
Kuelekea mchezo wa Simba na Yanga sio mbaya ukatupia ubashiri wako, mimi kama shabiki wa timu fulani, naiogopa zaidi Simba mbovu...
Mchekeshaji wa kipindi cha michezo cha Sports Arena kupitia Wasafi Fm Ricardo Momo anasema kutokana na elimu ya nyota aliyonayo ameona jinsi ambavyo Simba kesho anaenda kuibuka na ushindi dhidi ya...
Mm sio mjuzi wa mpira Wala sijui uchambuzi lakn napata mgagasiko pale naposikia beki fulan au kipa fulan kaupiga mwingi hi ina maana gani?
Kwa akil zangu za std 2B chin ya usimamiz wa mwalimu...