Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mpira unachezwa hadharani kila mtu anaona, tunachokiongea kila siku hapa kwenye jukwaa kimeonekana leo, unabahatika kukutana na timu mbovu lakini unashindwa hata kufurukuta unapigwa kipigo cha...
2 Reactions
2 Replies
600 Views
Simba ni kama maji. Ndio team pekee inayotung'aalisha kimataifa. Ninaweka mapendekezo yangu ya formation ya leo. Lengo ni kwamba leo tunataka kufunga mengi.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kikosi cha Mnyama Haya wanaJF ziimebaki dakika chache kuelekea mpambano mkali kati ya Simba Sc na UD Songo. Mtangazaji wako mwandamizi kwa kushirikiana na wadau wote muhimu tunakueletea moja kwa...
9 Reactions
901 Replies
70K Views
Inashangaza kwa kweli. Yaani sasa hivi watu wamejaa mihemko tu na kuabudu watu fulani tu. Yaani wanatamani kama team ya mpira inayofanya vizuri iwe Simba au Yanga. Kama ni msanii, wanataka awe...
1 Reactions
5 Replies
894 Views
Naomben Link ya kuangalia hili pambano wakuu kwa wale wadau wa Heavy weight Boxing Pambano linaanza mda sio mrefu kutoka sasa.
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Nchi ni kama haina waziri wa michezo. Olympics tunapeleka watu watatu. TFF uchaguzi wa kihuni. Simba mwnye asilimia 49 anafanya maamuzi yote. Je, Mo alivyomteua Barbara ilikuwepo. Regulatory...
12 Reactions
32 Replies
2K Views
Haingii akilini timu iliyoshinda mchezo nyumbani wizara na chama cha soka wameshindwa kuhakikisha timu inakwenda Libya!. Hakika ningekuwa na mamlaka ningemwajibisha waziri mwenye dhamana kwa...
12 Reactions
95 Replies
42K Views
Kuna kitabu kimeandikwa na waisrael ,ila kimkubeikwa kwa kiarabu ,kila elimu nzima ya kubet madukani huuzwa elfu NNE ,jina lake huitwa ( abuu maashara) hupatikana maduka ya vitabu kiarabu...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Wamepigwa faini ya $20,000 na kutoshiriki kwa miaka miwili. Tumezidi kupoteza ndoto za Vijana na ajira zao
10 Reactions
50 Replies
4K Views
Habari wakuu Naomba mwenye kujua app au link ya kutazama live match ya Simba tofauti na Azamax anipatie
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Usajili wa Chelsea kwa dirisha la liliofungwa jana ni usajili bora sana na ni usajili ambao umeboresha makali ya squad Forward hawa wanne (Pulisic, Ziyech, Lukaku na Werner) wanaipa Chelsea...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Mmefanikiwa kuwahujumu wasisafiri kwenda Libya kisa waliwabana mkatoka droo. Mna ushaidi gani yanga alitoa pesa kwamba Simba afungwe na biashara? Kwa kuwatumia watu wa kushughulikia vibari...
6 Reactions
56 Replies
4K Views
Binafsi kama mpenzi wa soka nilikuwa nahamasika kulipa kiingilio kwenda kuangalia mechi za timu yangu ya Simba nikiamini mapato hayo ni sehemu muhimu ya kuinufaisha club. Hata hivyo nilikatishwa...
3 Reactions
9 Replies
975 Views
Simba imetukosea Sana sisi mashabiki wake kutuletea mtu wa udaku kwenye mpira wetu. Mwijaku hajui mpira hata tu kutaja wachezaji 6 wa Simba hajui pia hajui history ya team kiujumla eti awe...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
mlezi anaweza kutafuta milioni 15 fastafasta kwenye mechi vs simba(hata kama ni za wauza magodoro) ila kwenye issue muhimu akihojiwa anakuambia siwezi toa hela zangu za mshahara sasa pre match...
12 Reactions
141 Replies
11K Views
Kwa bahati mbaya sana akili zetu tunazitumia kukimbizana na CHADEMA kila kukicha. Kwa MTU mwenye akili angetumia fursa ya Biashara United kuitanganza Tanzania! Tungeweza kuitangaza nchi hii kwa...
10 Reactions
51 Replies
4K Views
Kudadadadeeeki Mwijaku oyeeeeeeee shikilia hapohapo hapo hapoooooooo Mwijaku kasababisha sukule lopolopo la dunia kukiri kwamba liliajiriwa simba jamaa ni BIPOLAR CASE last week lilitoa mkwara...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Nasikia kadhia ya Biashara United, bado hatuna taarifa rasmi kuhusu mchezo wa pili dhidi ya hao walibya, Vyovyote iwavyo, Kuna siku nliandika, au nlisema katika mahojiano baada ya ile kadhia ya...
3 Reactions
7 Replies
696 Views
Biashara United inakabiliwa na changamoto ya nauli kwenda kwenye mechi ya marudiano na hata pesa za waamuzi ilikuwa changamoto, Yule mkuu wa mkoa Yuko wapi au anahaidi mechi ya Simba
12 Reactions
73 Replies
6K Views
Inawezekana Tanzania ikaenda tena Afcon endapo tu chama cha soka cha Equatorial Guinea kitashindwa kulipa faini waliopigwa shirikisho la mpira FIFA ndani ya siku 30. Equatorial Guinea 🇬🇶...
3 Reactions
8 Replies
998 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…