Kuna mpango mkakati uko juu unaandaliwa.
Mpango huo unahusisha kuvitumia vikamilifu vyama vya michezo mbalimbai nchini hasa Mpira wa miguu ili ku-push idadi ya watu ambao hawaja chanjwa ili...
30 September 2021
Cologne, Germany
KEVIN JOHN 'MBAPPE' AWEKA REKODI UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Samenvatting UEFA Youth League - U19 // 1 FC Köln - KRC Genk: 2-4
KRC Genk is a power bank for talent...
[emoji404]Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kuwa serikali imempatia uraia wa Tanzania mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Kibu Denis kwa mujibu wa Sheria ya Uraia, Sura...
Mpira Umeanza
05' Yanga 0 - 0 Geita Gold
16' Goal: Moloko anaifungia Yanga goli la kwanza
Ni Jumamosi Tulivu yenye Bashasha, Leo Tena Timu Ya Wanainchi Ikiwa Kwenye Uwanja Wake Wa Nyumbani Kwa...
7. Sancho
8. Pogba
9. Ronaldo
10. Bruno
11. Rashford
Iv Epl kuna timu ina forwadline kali kama hiyo? Halaf et inateseka kupata matokeo[emoji23]
Fukuzen yule kocha wenu matako hajui chochote pake...
Nilikuwa napitia google drive, nimekutana na vitu vilivyonifurahisha sana.
Lakini kubwa ni hii video ya goli la Emmanuel Okwi dhidi ya ES seteiif ( sina hakika na spellings), nimejikuta...
Let say mchezaji X ana kadi mbili za njano alizopata kwenye mechi zilizopita katika ligi .kanuni zinasema ukifikisha kadi tatu za njano,hautacheza mchezo unaofuata.swali,ikitokea mchezaji X...
Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani...
Makolo tangu mechi ya kigoma na yanga hawawezi kushinda mpaka refa afanye mazingira ya kuwatoa wapinzani kwenye mchezo kwa kutoa kadi nyekundu, Makolo hawaamini kama timu yao Haina ubora tena...
Kwa lugha nyepesi au ngumu waweza kusema s kuwa safari ya mafanikio ya simba kwa sasa ipo kwenye hatua ya mwisho kwa kutumia mfano wa bidhaa sokoni.
Product life cycle ina stage zipatazo nne:-
i...
Mlezi mmoja team yake ili struggle kupata nauli ya kwenda Djibout na wachezaji watano hawakuwa na passport wakafika Djibout siku ya mechi wakashinda wakarudi dar wakashinda leo wako round ya...
Vyanzo vyangu vya kuaminika vimeniambia njia ya kuhujuma Simba Sc imerahisishwa. Ni kuwafanyia fujo kubwa uwanjani kwa malipo ya milioni 10 kama fujo zitaleta tija. Fedha hizi zimekuwa zikiahidiwa...
Kwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni.
Yaani kwanza mechi zote lazima dakika 5 zinapotea kwenye...
Kocha Fred Minziro huyu huyu ambaye wakati akifundisha Ruvu Shooting na kuna Kipindi alifundisha Mbao FC na kila alipocheza na Yanga SC alikuwa anapanga Kikosi dhaifu na akifungwa anacheka na...
Wakuu Chief Hangaya Anaupiga Mwingi.
Sasa Azam Tv Baada ya Kuona Wenzao Dstv wamepandisha vifurushi vyake mwezi Uliopita(Wa September) basi na wao AzamTv wamepandisha vifurushi vyake.
Kile...
Leo nimejiridhisha kwamba kumbe hakuna striker pale Simba kama Kagere , ni vema kocha wa simba akalijua hilo , kunyoa kiduku kwa Mugalu au kufuga mcheche kwa Boko kusimdanganye kocha .
Simba...
Ujumbe uwafikie nyie wachezaji wetu kuweni makini sana watu wameumia miaka 4 wkajiaminisha kwamba baada ya usajili wa lopolopo anayeogopa jua kwamba wanaenda nusu fanali ya CAF maana wanaamini...