aliyewahi kuwa mwenyekiti wa FAT taifa Sasa tff bwana Said el MAAMRY amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
=====
MWENYEKITI WA ZAMANI WA TFF, ALHAJ SAID HAMAD EL MAAMRY AFARIKI DUNIA AKIWA ANA...
Mshambuliaji wa Kimataifa na kutegemewa wa Mabingwa wa Soka Nchini Simba,Chris Mugwalu ameuzwa kwenye Club ya Wadi Degla ya Nchini Misri. Kwa mujibu wa taarifa za Mwandishi wetu aliepo Nchini...
Mashabiki wa Simba ndio sisi hatukuwahi kulalamika popote kwamba kwa nini hamrushi habari za Simba Sc ikiwa kambini.
Kwanza tunapongeza uongozi kwa kutoruhusu waandishi kambini. Huu ni utaratibu...
Inawezekana jibu liko wazi ila kwa vile mimi sijui jibu lake nimeamua kuuliza. Yanga na Simba walikwenda Morocco kufanya nini kwa vile hakuna mashindano makubwa ya kimataifa huko. Je, walikwenda...
Habar wadau,
Miaka yote ukwel husimama sehemu sahihi toka mwanzo Niliwaambia kuwa Mwakinyo ni Mtu muhimu Sana kwenye Tanzania yetu kwani kipaji na uwezo wake ni mkubwa Sana Zaid ya maneno yake...
Septemba 03, 2021, Bondia Hassan Mwakinyo anataraji kupambana na Bondia kutoka Namibia Julius Munyelele Indongo mwenye umri wa miaka 38 katika pambano la kugombea mkanda wa ABU (African Boxing...
Wanahamu na ubingwa hawa sema tu wabahili
•Man United watakuwa na kikosi kizuri lakini hawana kocha wa makombe😂
•Man City Target yao kubwa kuchukua ubingwa wa UEFA.
•Liverpool kocha atafukuzwa...
Hivi unaikumbuka Chelsea ile ya ubingwa wa mwaka Jana walivyopokea vipigo viwili mfululizo kutoka kwa Liverpool na arsenal na tokea hapo wao walikua ni watu wa ushindi mbaka wakachukua ubingwa...
Mwaka 2008, nakumbuka nilisafiri kwenda huko Mpanda. Sasa basi tulilopanda, lilichelewa sana kuondoka. Abiria tulianza lalamika. Kondakta wa basi akatujibu 'kwanza hampaswi kulalamika, inabidi...
Herehoa!
Leo nimeiangalia hii mechi ya hawa mabondia waliozoea kutambiana, nimefurahi kuona sijapoteza usingizi wangu bure.
Pambano lilikuwa zuri Sana. Waandaaaji walijipanga kufanikisha hili...
Leo Simba Sc inaenda kufanya utambulisho ambao bara la Afrika na mabara ya jirani yataenda kusimama.
Bonus
Mambo anayofanya Peter Banda huko kambini ni hatari mpaka wenzake wanabaki wanashangaa
habari wandugu,
nafikiri now ni time ya hawa wanamasumbwi ambao wanafanya vzr, watoane jasho ulingoni, tujue nani ni nani maana wakina cheka ndo hvy washapotea,
mapromota tupieni jicho kwenye...
Wakuu Taarifa Zilizopo ni Kwamba Simba wanataka mechi zao za Ligi Kuu zirushwe supersport badala ya Azam TV.
Taarifa ni Kuwa Azam wameambiwa kama wanataka Haki za matangazo Kwa Simba inabdi...
Kuna fununu za chini ya kapeti kuwa dogo kashawishiwa na wakala wake anaye msimamia kuwa avunje mkataba kwa maelewano ya pande kuu mbili ili kijana apate kujiunga kwenye upande atakao pata maslahi...
Huyu kijana kwa kweli hana uwezo wa kushinda pambano lolote la ndondi kama kunakuwa na uamuzi wa haki , hajui kupigana , ni vema akatafuta cha kufanya kabla hajauawa ulingoni .
Leo kwenye Vitasa...
Jana Azam TV na promoter walio dhamin mapambano sikuona kama walitaka kukuza Mchezo wa ngum na kuuendeleza Bali kuuharibu kabisa
Mapambano ya Jana Hasa lile la Mwisho la Mfaume Mfaume kila mtu...
Habari njema kwetu mashabiki wa Rivers utd ya Nigeria, tumemsajili striker refu linalotisha liitwalo Nyimwa Nagua kutoka klabu kubwa ya kano pillars
hili jamaa liliwahi kupiga kona na kuiwahi...
NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameiambia Mwanaspoti kwamba kama kuna wakati Yanga imesajili timu bora basi ni sasa.
Mwamnyeto ambaye sio mtu wa kuongea sana alisema karibu idara zote...
Na K.S.K
Heshima yenu wana jamvi,
binafsi nimefurahishwa sana na ushindi wa kiduku kwa mara nyingine tena mbele ya dulla mbabe, na baada ya kiduku kubeba crown kumekuwa na hoja nying ya team...