Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huu ni upumbavu kabisa! Aliekuwa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera aliadhibiwa kwa kuvaa pensi Kitendo cha Morrison kubaki na chupi nilitaraji kusikia Waziri husika, BMT na TFF vikikemea tendo lile...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
KIUNGO HARUNA NIYONZIMA 'FABREGAS' AMEJIUNGA NA YANGA KWA MKATABA WA MIAKA 2 AKITOKEA KLABU YA APR YA NCHINI RWANDA. . HARUNA NIYONZIMA AKIKABIDHIWA JEZI NAMBA 8 NA MJUMBE WA KAMATI YA...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Kilichotuangusha Yanga ni Red Card. Laiti kama ile card isingekuwepo palikuwepo uwezekano mkubwa wa Yanga kuibuka washindi Hebu fikiria kwa dakika 40+ Yanga imecheza wakiwa pungufu ya mtu mmoja...
7 Reactions
54 Replies
5K Views
🚨 Tom Starke alicheza mechi 12 Pekee pale Bayern Munich kwa misimu sita kuanzia 2012 Hadi 2018 na akashinda mataji 14 na Bayern. 🤯😱 ➡️ Bundesliga: 6X ➡️ DFB-Pokal: 3X ➡️ DFL-Supercup: 2X ➡️ UEFA...
4 Reactions
6 Replies
794 Views
Hawa jamaa wa CAF wameshindwaje kuipeleka hii fainali kwenye taifa lisilo na lockdown Yani fainali inaboa ipo kama mazoezi yani. Juzi tu hapa tumeona fainali za EURO huko budapest watu wako full...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Leo saa nne kamili mbivu na mbichi kujulikana....
4 Reactions
139 Replies
10K Views
Ukweli ni kwamba kuna viongozi pale utopoloni wakishirikiana na kundi la Yanga WhatsApp la kina Mo Kabwe na kina Jimmy Kindoki kazi yao kila siku ni kutengeneza makorokocho kudanganya wana...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Hatutaki kuongea mengi juu ya Sakata hili. Mpaka sasa kosa la Manara ni moja tu, Kuanzisha malumbano wakati tunakaribia kucheza derby. Tuhuma nyingine bado hakuna uthibitisho maana kwenda sehemu...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna habari zinasambaa mitandaoni kwa kasi sana kwamba ma-star wa Simba wanahitajika na timu kubwa barani Afrika kwa udi na uvumba. Na wengine wamethubutu kusema mpira ni biashara. Ni kweli mpira...
2 Reactions
3 Replies
780 Views
Simba ilipojitoa Kagame cup na kusema wanawapa mapumziko wachezaji ya siku 10 then wanaenda kambi Misri kulikuwa na kebehi za kutosha kwamba wamewakimbia Yanga ambao walisema watashiriki michezo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
BAADA ya Simba kukabidhiwa kombe la ubingwa wa FA bila zawadi ya pesa, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema itakabidhiwa fedha wakati wowote. Simba imetwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho la...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi GENTAMYCINE ambaye ni mwana Simba SC Mwenzako tena 'Kindakindaki' kabisa naweka hapa sababu ya 'Kipondo' chetu cha Jana 1. Wachezaji wa Simba SC wameshabweteka na wanajiona ni FC Barcelona...
11 Reactions
69 Replies
7K Views
Ni mtambo wa magoli uitwao Ben Malango uliosemekana umeshashushwa na GSM umesajiliwa kwa bilioni 8 huko kwenye hela za mafuta yaaani ilibaki kidoooogoooooo tu atue utopolo kutoka Raja casablanca.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Mchezaji akifanyiwa madhambi (foul) ndani ya eneo la hatari (penalty box) kinachofata ni mpira wa adhabu ambao hujulikana kama mkwaju wa penati, lakini ulishawahi kujiuliza kuhusu hii (kwenye...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Jana nilimshuhudia Bernard Morrison akivua bukta yake baada ya ushindi na kubakiwa na gguo ya ndani. Hilo suala la kusherehekea ubingwa kwa staili hiyo si la ajabu machoni mwangu hivyo hata...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Sijasikia kama na Rais wetu ndiye atakuwa tena mgeni RASMI fainali ya FA Kigoma. Simba ilifungwa mbele ya mkuu wa nchi ambae hatakuwepo kwenye mechi Kigoma. Hii Itayafanya maumivu ya kufungwa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwanza nawapongeza kamati mahususi kwa ajili ya Uandaaji wa Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Federation Cup. Hakika kila mwaka kuna maendeleo kadri ambavyo linazidi kusonga mbele. Hakika...
17 Reactions
30 Replies
4K Views
Penye ukweli usemwe Kwa Mpira ule yanga mkicheza CAFCL, Mifaulo kama ile, miguu yashingo miguu ya roho Mapema tu mtalaum malefa.
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari Ousmane Dembele bought for €35 From STADE DÊ RENNES Sold For €135 to BARCELONA, PROFIT €100 Jadon Sancho bought for €7.8M from MANCHESTER CITY YOUTH ACADEMY Sold For...
0 Reactions
4 Replies
742 Views
Yaani tukio la Bernard Morrison Kuvua Bukta yake, kubakia na Chupi ya Njano huku Bukta akiiweka Kichwani mwake linajadiliwa kwa dakika 120 ila tukio la Tonombe Mukoko la Kumpiga Kiwiko kibaya John...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…