Sasa ni Mwezi unakatika kila ukiamka tu ni lazima ukumbane na Makundi mbalimbali ndani ya Klabu ya Yanga wakisema kuwa hawatocheza Mechi yao na Simba SC iliyopangwa Kufanyika tarehe 3 July, 2021...
Nianze tu Kwanza kwa kutoa ONYO KALI kwa Wewe Mhariri Mkuu wa Gazeti la Michezo la 'Mwanaspoti' ambaye GENTAMYCINE nakujua ndani nje na ni mwana Yanga SC ' Kindakindaki ' kuwa usipoachana '...
I declare Interest. Mimi ni Mwanayanga mpenzi wa mchezo wa Mpira wa Miguu.
Nmemsikia Tarimba Abas akiwa Bungeni na pia akihojiwa na vyombo vya habari. Ukimwona Bwana Tarimba kabla hajaongea...
Katiba inaruhusu Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar kuwa Spika au Naibu spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano?
Kuna Spika au Naibu spika aliyewahi kutokea Zanzibar?
Huko TFF Ally Saleh...
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu wanapita. Pata picha jinsi Ufaransa hii ilivyosheheni katika michuano ya Euro 2000.
1.Barthez
2.Lilian Thuram
3.Bixente Lizarazu
4.Laurent Blanc
5.Marcel...
Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wanachama mpaka Mashabiki wa Simba SC kuwa tuweni makini mno na hii Mbinu ya Nje ya Kisaikolojia ya Mchezo (Mind Game) inayofanywa na Yanga SC hasa kuelekea Mechi...
Hizi ni timu za taifa za soka. Pana mtangazaji pale Clouds FM aitwae Lwambano, sijui utafiti huwa anaufanya vipi, yeye anaamini ligi ya England ndio inapendwa zaidi eti duniani na hii huwa...
Hii imekaaje, mtangazaji kudanganya? Atasema mdomo uliteleza kwanini hakuwa na subira mpaka ripoti ya daktari itoke?
Ni aibu kwa kituo na kwa mtangazaji mwenyewe. Unachukua habari za mitandaoni...
Wakuu Focal point ya mpira wa Tanzania ni TFF. Sasa TFF wakiyumba/kupotoka huku chini kunakuwaje?
Hizi sauti zilizojitokeza zinahitaji tathmini, zinahitaji muda kuzisikia, kuzichambua na kisha...
CEO na Mmiliki wa mtandao wa uuzaji wa nyimbo online (spotify) DANIEL EK anajiandaa kupeleka ofa nyingine ya kuinunua gunners ambayo inakadiriwa kufikia £2bn, ikumbukwe awali alipeleka ofa...
Timu ya taifa ya Ujerumani ali maarufu kama Nationaelf(national eleven) au unaweza waita Die Mannschaft yani (the team) ni moja ya vigogo soka la ulaya kwenye ngazi ya mataifa ikiwa imewahi...
Huyu mzee ana busara sana kwa kweli kila nikiiangalia team yangu simba wazee kama ramesh patel, philemon sarungi,kina kova wanatuchelewesha tu laiti tungekuwa na kina mzee mpili,mzee magoma...
Hii ni tuzo nyingine tena kwa beki wa Manchester City, Ruben Dias [emoji1201] Ikiwa haijatimia hata mwezi ambapo Tarehe 20 mei 2021 alichukua tuzo ya FWA FOOTBALL of the year. Ruben Dias...
Wakati wako busy kusajili wachezaji wa bilioni 1.2 na mwingine wa billion 5 huko South Africa huku itaaarifiwa pia wanaenda kutoa billions 12 kuchukua mwingine toka Misri team ya yanga fc mwezi...
Mwanariadha wa kimataifa, atakaeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Olimpiki Japan mwaka huu Alphonce Felix Simbu ameshinda mbio za BIMA Marathon 21K kwa muda wa (1:02:09), naye mwakilishi...