Jezi za yanga hizi zilizotoka juzi hazina uhalisia kabisa, colour palette ya timu ya yanga ni kijani na njano.
But hizi jezi mpya sijaelewa kwann wameamua kutumia rangi ambazo sio za yanga...
Wakuu,
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa bonanza maalum lijulikanalo kama Dar es Salaam Standup Bonanza kwa lengo la kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi wa...
Rais wetu amekuwa akimwaga mapesa kwenye mipira, ati anaweka hamasa.
Lakini kimsingi hakuna hamasa yoyote anayoweka zaidi ya hizo timu kufanya siasa na unafiki
Yaani Aziz ki anavuta million 40+...
Naona mashabiki oya oya mtakuja kwa spidi ya SGR kunishambulia na mapanga wengine manati.
Sikilizeni niwaambieni, huo ndio ukweli, mkubali ama mkatae, yanga sio timu ya wachezaji wa ndani ama...
Ukitaka ujue kuwa hawa ngada aka makolo ni zero brain (NGUMBARU) angalia kauli zao. Toka yule msemaji 'mweupe wa ngozi' awaaminishe kuwa Yanga kuna wenye IQ kubwa wawili nao wameshikilia hapohapo...
Ni utovu wa nidhamu kugoma kufanyiwa sub,wengine wanasema kocha alidhani amepata injury,lakini utaona kocha akikasirika na kuongea kwa Mzize kugoma kutoka.
Hamna mchezaji mkubwa zaidi ya timu...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametoa pongezi kubwa kwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia pamoja na timu ya Taifa Stars kwa mafanikio makubwa ya...
Habari za muda huu wapendwa
Mimi kama shabikia wa azam na mpenzi wa Mpira hivi kama nchi tutakuja kupata football baller kama FEITOTO kweli?
Anyway huku comment chuki utaonekana ni mwana yanga...
Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya rasmi za nyumbani, ugenini na jezi ya tatu kwa ajili ya kampeni ya Kombe la Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2024/25. Jezi hizi mpya zitakuwa...
Yanga hamutaiweza nyie mikia. Yanga inawekeza pia kwa Media sana tu toka enzi za Mwanaspoti, Dimba, Magazeti kama Mwananchi n.k tuna fungu la kutosha tu.
Ukija kwa vyombo vya habari kama Radios...
Akipandisha timu daraja huwa anafukuzwa,
Akipewa timu ligi kuu haichukui muda inashuka daraja.
Asipofukuzwa Pamba basi ataishusha daraja historia ya Toto African inajirudia
Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi mbili za kufuzu kushiriki michuano ya mataifa Afrika (AFCON 2025).
Ally Salim(Simba SC)...
Mwenye macho haambiwi tazama. Tanzania mama ameinyanyua kimpira au kisoka. Tanzania inaogopeka sasa. Tumecheza na guinea nchi ambayo inq wachezqji mpaka wa Dortmund lakini tumewatandika. Hii yote...
SIONI NAMNA PAMBA ANAWEZA KUTOA HATA DRAW. SIONI KABISA.
Yaani hawa jamaa leo lazima Aziz Ki atupie, Chama atupie, Zengeli atupie. Pamba siku zote ni wetu. Ni wetu na tena ni wetu. Yaani hawana...
Hizi timu mambo yake na washabiki wake ni kama imani ya dini. Hata uwaambie nini, mashabiki wa timu hizi wamelewa, na wamejaa ushabiki, na hawataki uwaulize kwa kwa nini wanazipenda timu hizo...
Licha ya kuwa na mechi muhimu, hakuna mdau yeyote wa mikia aliyechangamkia kuanzisha thread kama ilivyo ada. Hali hii imechangiwa na sababu mbili kubwa:
Mosi, mwenendo mbovu wa mikia hao.
Pili...
Viongozi wa Simba mmeonesha ni jinsi Gani mlivyo watu wa matukio na madeko
Hamjui kuwa mkuu wa mkoa ndo Rais wa mkoa katika mkoa wake
Utamzuiaje mkuu wa mkoa kuingia uwanjani ulio ndani ya mkoa...
Vurugu zimetokea wakati Simba SC ikifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Kuelekea Mchezo wa Kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Pamba Fc dhidi ya Simba SC.
Wakati...