Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL kuendelea kutimua vumbi leo January 4, 2021kwa mechi mbili kupigwa, ambapo Dodoma Jiji FC wanakabiliana na Mnyama Mkali Simba SC, kwenye...
Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani, FIFA imefikia uamuzi wa Kuifungia Timu ya Yanga baada ya kushindwa kumlipa Hamisi Tambwe malimbikizo ya mshahara na pesa za uhamisho kiasi cha Jumla Tsh...
Kuna wachezaji katika soka wamejaaliwa uwezo mkubwa wa kucheza namba mbalimbali kwa ubora ule ule. Wachezaji hawa tunawaita viraka.
Dunia ya soka haiwapi credit zao sana wachezaji wa aina hii...
Haijulikani tatizo ni nini au ni dharau dhidi ya Dodoma Jiji au wanajaribu kuweka rekodi fulani amaizing lakikini kikosi cha Simba kimetoka na kwenye page zote officials hadi ya msemaji wao Manara...
Kocha wa Barcelona Ronald Koeman amesema kuwa "ana imani lakini hana uhakika" kama mshambuliaji wa Argentina, 33, Lionel Messi atasalia kwenye klabu hiyo msimu huu. (Athletic - subscription...
Nimepitia humu sijaona chochote na pia 'website' ya TFF kimya tena hii haina taarifa ya kitu kinachoitwa CHAN 2021.
Nimetafuta hii kutaka kufahamu kama TFF wameamua chochote kuhusu kocha wa timu...
Mpaka muda huu wamekwisha tandikwa magoli 4 kwa nunge nyumbani kwao , Magoli yanaweza kuongezeka hadi kuvunja rekodi ya Southampton .
Aibu kubwa sana !
Wasafi Radio wana Sports Arena, leo nimesikia joking arena. Je, arena maana yake nini. Vipi kipindi cha michezo kiitwe arena?
Nijuavyo arena ni uwanja uliofunikwa unaotumika kucheza michezo...
Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati?
Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi.
Simba Super Cup: BINGWA (Simba)
Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba)...
Club ya Yanga imeomba mechi ya kirafiki na TP Mazembe kabla hawajaondoka nchini. Hizi taarifa zimetolewa na vice president wa TP Mazembe. Vice president amesema wataangalia kama uwezekano huo upo...
Leo January 27, 2021 Ni ufunguzi rasmi wa michuano ya Simba Super Cup, ambapo Simba SC wanapambana na Al Hilal ya kutoka nchini Sudan kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.
Michuano hii ya Mabingwa...
Kuna mtu hapa kauliza Simba jana kacheza ligi gani, nimemjibu ligi yake katengeneza kikombe chake, kaleta marefa wake, mipira yake, timu tatu na kombe linatolewa JPili.
Huyu jamaa nimemuacha...
Hata wanaokutumia wanakudharau. Angalia tu Toilet Paper. Ikishatumika nani anaiweka mfukoni? Hamna.
GSM wanakupatia pesa nzuri ili utumike kupambana na Mo Dewj na Simba katika Media. Unapoongea...