Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Aisee leo vimenoga kweli kweli maana mpaka Sasa mapambano ma tatu na yote watanzania tumepoteza 'kihalali kabisa'. Mabondia wa tz Leo Hawako vizuri kabisa
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Inatia huruma Sana Na Inauma Sanaa Kuona Msemaji wa Club kubwa ya Wananchi anafungiwa Kwa miaka 3 kwasababu Ya Maadili. Inauma Kwasababu anashindwa Kulipa Tsh Millioni Tano Hii inaonesha...
9 Reactions
29 Replies
5K Views
Alipohojiwa gwiji wa soka la Uholanzi na Mkufunzi wa soka Frank De Boer juu ya Jose Mourinho na Manchester United, De Boer aliponda kuwa wachezaji wazuri kama Marcus Rashford hawana cha kujifunza...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kifupi Ndailagije kamkosea heshima Juma Kaseja. Kwa umri na uzoefu wake, hapakuwa na sababu kumwita T Stars ili akasugue benchi kwenye CHAN. Kama alishaona Manula atakuwa keeper number 1...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kufuatia kutangaza kustaafu soka kwa beki wa Kulia wa klabu ya Bayern Munich Philip Lahm ifikapo mwisho wa msimu, Dunia ya soka itammiss Lahm moja kama beki bora wa kulia wa wakati wote katika...
7 Reactions
89 Replies
10K Views
Wakati Jose Mourihol akiwa kocha wa manchester united aliwahi kuulizwa kwanini anaendelea kumuweka Lukaku Smalling na Lingard kwenye kikosi cha kwanza wakati wanaomekana kutofanya vizuri akasema...
3 Reactions
1 Replies
806 Views
Kama kawa kama dawa.... Afe kipa afe beki Tanzania inaenda robo fainali chani mwaka uhuu Dakika ya 2' Guinea wanapata penati...Goooooool Guinea 1 Tanzania 0 Dakika ya 23' Baraka Majogoro...
7 Reactions
186 Replies
12K Views
Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema walikuwa na wazo la kuishirikisha Yanga katika mashindano yao ya wiki moja ya ‘Simba Super Cup’. Mashindano hayo ya Simba...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Kamati ya Nidhamu ya Klabu ya Simba chini ya mwenyekiti wake Suleiman Kova imetangaza hukumu ya kiungo wa klabu hiyo, Jonas Mkude ambaye alisimamishwa na uongozi kwa makosa ya utovu wa nidhamu...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimecheki mpira vijana walikuwa kwenye form mwanzo Ila kadri dakika zinavyoyoma pumzi zinawakata na wanaanza kupoteana . Kulikuwa Kuna wachezaje Kama watano mule ndani wamechoka .Na kocha kafanya...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Pata za moto moto kutoka kwa Njaa kalihatari, nilikugusia in advance kusajiliwa kwa Junior Lokosa na kocha Da Rosa Sasa napenda kukutaarifu kwamba anayetambulishwa ni jamaa refu namba tano la...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Naona Wasafi wanazidi kubomoa ngome za wengine tu. Usajili wa leo ndiyo huu. Ni wazi kwa sasa Sports Arena haina mpinzani
5 Reactions
51 Replies
5K Views
NINI TATIZO LA TAIFA STARS KUSHINDWA KILA MECHI!? Leo 12:30hrs 24/01/2021 Nakubaliana na kila Mtanzania kwa 100% na ukizingatia nchi kama Zambia,Namibia,Guinea...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hakuna siku niliumia kama siku JT wa Chelsea kutukosesha UCL kwa kukosa penati ya mwisho dhidi ya Man U ilikuwa 2008 mjini Moscow. Saivi tungekuwa tunahesabu 2 UCL CUPS Hebu tiririka mechi gani...
6 Reactions
123 Replies
8K Views
Wakuu, Siku za karibuni nchi yetu imeshuhudia industry mpya ya uchambuzi ya soka ambayo imejizolea umaarufu mkubwa na kutengeneza ajira za vijana wengi. Pamoja na kuwa na wachambuzi wengi hivi...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
ANGALIZO Tafadhali kisibadilishwe na pia Kicheze kama ambavyo nimekipanga kwani Kiunyangindo kimeonyesha Mafanikio na tutashinda mechi zilizobakia. Kikosi cha Kuanza kiwe hiki tu.... 1. Aishi...
6 Reactions
41 Replies
7K Views
25 January 2021 Mabingwa wa soka Tanzania timu ya mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam Tanzania yalaumiwa kwa kuwa na "mkono wake" ktk majibu ya Covid-19 yenye utatanishi. Mfano wachezaji 5...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…