Huyu mwamba sijui ana shida gani kwa kweli, siku ile wanaenda Zimbabwe wenzake wamevaa jezi juu na tracks chini wengine vibukta vyeusi sare yeye kapigwa yale mashati ya maua ya Hawaii na kipensi...
Kuna issue ya mchezaji Jonas mkude kusimamishwa na team yake ya simba kwa utovu wa nidhamu, sababu haijatajwa hadi leo.
Lakini kama kawaida ya mambo ya mtandao kuna speculations ikawa inasema...
Ni Taddeo Lwanga raia wa Uganda
Timu alizowahi kucheza ni Express&Vipers (Uganda) na Tanta ya Misri
===
TADDEO LWANGA NI MNYAMA 🦁
Karibu Msimbazi kiungo mkabaji (defensive midfielder) wa...
Jamaa alitoka Nkana akaenda timu ndogo huko Egypt kagongesha magoli hadi ma-giants wamemchukua.
Hongera sana Bwalya naona ndugu yetu Okwi huko Al Itihad hata namba ni shida kupata.
Kuna kitu sijakielewa na hiki ni vigumu sana kukiona kwenye nchi zilizo endelea hasa Ulaya huko.
Haji Manara ni Msemaji wa Club ya Simba na Mdhamini au mmiliki wa Club ni Mo,
Mo ana bidhaa zake...
JE, TUTAENDELEA KUWA NA IMANI NA MO DEWJI?
Sakata la usajili likiwa linaendelea, habari inayosambaa kwa kasi ukiachana na ya Jonas Mkude kusimamishwa kwa madai ya utovu wa nidhamu kuna hii inshu...
Hivi haka kadude kanauzwa pesa ngapi hadi TFF na Azam FC, Simba SC, Yanga FC wameshindwa kuvinunua.
Hadi leo wanatumia kidude kama cha sheli za kienyeji.
Nchi inamiliki Uwanja mkubwa kama...
Watalaam wa karate naomba mnisaidie hili, Ni kwa sababu gani Bruce Lee akiwa anapigana alikuwa anajikaza Sana mwili na kutoa sauti Kama za paka, Mara apige kelele za ajabu.
Yaani kajamaa unkuta...
Leo nimeshangaa sana Kaseke na mwenzake kwenda goli la mpinzani kuanza kutikisa nyavu kama wanatafuta kitu hivi kwa chini,baadaye wakaenda hadi kwenye taulo la golikipa na kulikung'uta!Nilipigwa...
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo anaweza Kukuelewa ukisema Kipa wa Yanga Metacha Mnata ( Yanga SC ) na Beki wa Kushoto Mohammed Hussein Zimbwe Jr (Tshabalala ) walistahili Kuachwa (Kutojumuishwa )...
Mkude kasimamishwa kwa utovu wa nidhamu, lkn kosa alijatajwa.
Taarifa za uhakika kabisa ni kuwa siku ya sikukuu Mkude alienda kiwanja flani akaagiza bia za kutosha na baada ya kulewa akasema...
Vijana wawili wanaokuja juu katika sekta ya uchambuzi wa soka nchini. Wote wamebahatika na wanafanya kazi katika taasisi ambazo ni miongoni mwa brand kubwa ukizungumzia nyanja ya michezo na habari...
Wakuu Salaam,
Hii timu sielewi ni kwanini inapata matokeo mazuri uwanjani kwa siku za karibuni.
Mechi za karibuni ni hizi:
Aston Villa inashinda mechi nyingi kuliko hata Man Utd tena kwa...
"Siridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu nje ya uwanja. Nimekuwa mnyonge kuona uwekezaji tuliouweka kwao, baadhi yao, huutumia kama fimbo ya kutuchapia."- Mo Dewji...
Kama kawa wadau leo kutakuwa na mapambano nane wadau wakirushiana makonde pale kati, fuatilia hapa
Mapambano ya leo
Mfaume Mfaume Vs Chikondo Makawa (Malawi)
Twaha Kiduku Vs Guy Tshimanga...
Mchezaji wa zamani wa timu ya Arsenal, kutoka Togo Emmanuel Adebayor amefikia hatua ya kutaka kujiua kwa sababu ya visa na mikasa na ndugu zake. Hata timu yake ya sasa Tottenham imebidi impe...