Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nashuhudia hapa game ya Azam FC na Namungo. Dakika ya 91 Azam ikiwa mbele kwa goli 2-1. Zikiwa zimeongezwa dakika nne Namungo wakapata kona. Dakika ya 94 Kikoti anapiga kona maridadi kabisa Steven...
6 Reactions
55 Replies
5K Views
Wasalaam Kwa miaka takriban minne sijaonekana humu jf,nimerudi Tena Kwa kasi Kichwa Cha habari kinajieleza. Mwaka 2004 Kuna michuano iliyokuwa inaandaliwa na Kituo Cha yosso Cha Rollingston ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ratiba ya Uefa Champions League hatua ya 16 bora imetoka mchana huu! Unaipa nafasi timu ipi ya kusonga mbele zaidi kwa ratiba hii? Game gani itakuvutia zaidi? Karibuni
5 Reactions
69 Replies
5K Views
SIMBA &YANGA 20/21 MBIO ZA UBINGWA 1. UBORA WA VIKOSI Simba SC Tanzania ina kikosi bora zaidi ya Young Africans Sports Club 2. MAKOCHA Makocha wa timu zote mbili hawana CV kubwa sana. Sven wa...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Simba SC assistant head coach Selemani Matola has been reportedly linked with a move to Football Kenya Federation Premier League side Gor Mahia. Gor Mahia have been without a coach since Roberto...
1 Reactions
3 Replies
854 Views
1. Alisson 2. Anold Trente 3. Alfonso Davies 4. Sergio Ramos 5. Van dike 6. Thiago alcantara 7. Joshua Kimich 8. De bruyne 9. Robert Lewandowsik 10. Messi 11. Ronaldo •Best men fifa player of the...
2 Reactions
9 Replies
741 Views
Sote tumekuwa Mashuhuda wa matukio mbalimbali katika soka yanayofanywa na marefaree wetu hapa Bongo. Imefika mahala mechi zinaharibika kutokana na utashi mdogo wa watu hawa katika kuchezesha soka...
0 Reactions
29 Replies
38K Views
EDIBILY JONAS LUNYAMILA . Macho yangu yameshuhudia mengi na Moyo wangu umebahatika kujawa na hisia tosha kwa Uzalendo wa Taifa langu la Tanzania. Miaka mingi tumekua tukiimba nyimbo za kuitukuza...
9 Reactions
38 Replies
9K Views
KIDAO aagiza, Mkataba wa Morrison na Simba wabadilishwa rasmi TMS Mkataba wenye utata kati ya Bernard Morrison na Simba umebadiliahwa rasmi kwenye mfumo wa usajili was TMS, baada ya Katibu Mkuu...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Wanabodi kwa takribani miaka mingi sasa Simba, Yanga na Ujio wa Azam kumekuwa na tatizo la kifedha kwa vilabu kama Simba na Yanga. Lakini ujio wa MO simba na GSM kwa yanga inaoneakana kuna uhai...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu Chama alifanya makosa ya kumsubiri Miquissone asogee wakati Kagere alikuwa kwenye position nzuri tayari huku akiomba mpira kutoka kwa Chama. Matokeo yake shambulizi hilo lilikuja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari! Wamatopeni nilikuwa napenda kuwapa taarifa mapema lengo ni mjiandae kisaikolojia mapema maana mnaenda kukalia dhidi ya KMC. Maana kwa mechi zenu hizi za nyuma mbeleko mbeleko leo...
3 Reactions
98 Replies
8K Views
Majira ya saa 1:00 usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki, Mabingwa wa Nchi, Simba Sc watashuka dimbani uwanja wa Benjamin Mkapa maeneo ya Temeke, kumenyana na KMC Fc ya Kinondoni! Machampioni...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Simba & Yanga kuwa kubwa kuliko T.F.F (Mfano: Timu hizi hukiuka kanuni wazi wazi na hakuna hatua yoyote inachukuliwa) 2. Viongozi wa T.F.F wengi ni "vilaza" (Mfano: Kwenda kuokota wachezaji...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Mfaransa, Gerard Houllier aliyeiongoza Liverpool kutoka mwaka 1998-2004 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73. Houllier aliiongoza Liverpool kushinda mataji matano ikiwemo kombe la FA, Ligi na...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakuna kitu kinaumiza mtu anakuja kwenu anamchukua dada yako kumkamua...mbaya zaidi wewe unalipia gharama za guest house au lodge ambayo anaenda kumgegedea dada yako. Hii ni dharau na inaumiza...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi kuna kitu kimemsibu Mo na viongozi wa juu wa Simba kutohudhuria harusi ya Manara?kuhusu zawadi je?
3 Reactions
56 Replies
5K Views
HABARI WADAU, Hususan viongozi, wanachama, wapenzi na mashabiki wa timu ya yanga na wapenda michezo kwajumla. Sisi tunakusudia kuanzisha tawi la yanga hapa maeneo yetu ila naomba anayejua...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mchezaji wa klabu ya Simba ameonyesha utovu wa nidhamu kwa kuonyesha kidole cha kati kwa wale wote wanaomchukia. Kitendo hicho kimeonekana kwenye kipande cha video inayozunguka kwenye mitandao ya...
2 Reactions
56 Replies
6K Views
Nilikuwa namsikiliza katika kipindi cha sports arena Mwina Kaduguda akizungumza kuhusu swala la Meddie Kagere kupata nafasi hafifu ya kucheza kwa siku za hivi karibuni. Mashabiki wamekuwa...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…