Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Cha msingi TFF waturudishie aliyekuwa kocha wa serengeti boys enzi hizi. Watatu kutoka kwenye timu hii wamesha pata timu nje ya nchi.
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Ukiangalia ubora na hali ya timu kati ya mbeya city na mwadui fc , nikama wote wanahali mbaya! Kuelekea mechi ya leo kati ya mbeya city vs Mikia fc,naona kabsa mikia wanaenda kujipigia tu (kama...
1 Reactions
81 Replies
6K Views
Kwenu wadau wa Soka Haruna Niyonzima na Clatous Chama Hawa ni Wachezaji ambao Wamejibebea Umaarufu Mkubwa kutokana na Uwezo wao wa Kucheza Soka la KIWANGO cha Juu katika Ligi Yetu ya Tanzania...
4 Reactions
172 Replies
20K Views
Kwa ufatiliaji wangu wa mitandao ya kijamii mpaka muda huu katika harusi ya ndugu yetu Manara Jana, sijamuona kuongozi yeyote wa Bodi ya Simba, sio Moo, Hans, Babra wala Rage. Je, hii inamaana...
8 Reactions
56 Replies
5K Views
Wafuatao ndio Viongozi waliochaguliwa kwenye mkutano mkuu wa TOC uliofanyika Jijini Dodoma. 1.Rais:Gulam Rashid 2.Makamu Rais:Hendry Tandau 3.Katibu Mkuu:Filbert Bayi 4.Katibu Mkuu...
1 Reactions
0 Replies
695 Views
Kila mechi anayokosekana chama Simba inapata ugumu sana wa kupata matokeo chanya? Lakini anapoingia Chama tu basi matokeo huonekana. Je, chama ni Simba chanya? Je, kama ni hivyo Simba...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
"Bashungwa tumekupeleka kwenye michezo tunataka tushinde, sio tukilala tukiamka mabao 10, wote mtaondoka hata wewe Naibu Waziri Ulega, tukashinde, na Simba na Yanga zimetuchelewesha ikiwezekezana...
5 Reactions
61 Replies
6K Views
Jana kabla ya mechi, alidai iwapo hakutakuwa na makando kando hasa waamuzi kuibeba Simba, ana uhakika atashinda mechi leo. Jambo la ajabu timu yake ndio ikebebwa leo kama ilivyo kwa wenzie...
12 Reactions
53 Replies
4K Views
Kikao Cha Kamati ya Fedha cha Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limevurugika baada ya wajumbe wa kamati ya fedha kugundua matumizi mabaya ya Fedha ambayo haikupewa idhini na kamati hiyo, pamoja...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati umefika sasa club ya Simba ichukue hatua za tahadhari kuwalinda wachezaji wake maana faulo wanazofanyiwa ni za hatari na zinaweza kupelekea kwa wachezaji hawa kupata madhara makubwa. Kwa...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Sisemi kwamba walikuwa hovyo kabisa klabu walizotokea lakini ni kwamba wakija hapa kwetu ni wanasumbua sana yani. Je, tatizo ni nini?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau, Nakumbuka kwenye miaka ya themanini mchezo wa mieleka ulitokea kuwa maarufu sana hapa bongo. Kulikuwa na wababe kama Power Bernado, Power Vuru Mroma, Power TX Chaka, Power Bukuku na...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Katija dirisha kubwa la Usajili, Simba iliwasajili wachezaji 1. David Kameta "Duchu" 2. Charles Ilanfya 3. Chris Mugalu "The Animal" 4. Rally Bwalya "Magician" 5. Benard Morrison "mkuki wa sumu"...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Former Italian footballer Paolo Rossi, who led the national team to victory in the 1982 World Cup, has died aged 64, his family says. His wife Federica Cappelletti posted on Instagram a picture...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu salaam.... Katika mambo ambayo mchezaji Benard Morrison aliyasema kuwa "Simba ni chuo cha soka" kweli nimekubali. Ebu mtazame Cloutas Chota Chama "Mwamba wa Lusaka THE MVP unapata wapi...
26 Reactions
172 Replies
12K Views
Tumeona mwalimu amefanya rotation katika kikosi. Hata hivyo inaelekea kikosi hiki kimeshindwa kufanya yanayotarajiwa. Tatizo ni nini?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika mechi ya Leo na matokeo yanayotafutwa ,aina maechi ,ubora wa Kagere na Boko ! ....nimeanza kuamini kuwa huyu kocha ana timanyongo na Meddie Kagere! Povu ruksa!
10 Reactions
83 Replies
8K Views
Kwanini mabeki hununuliwa kwa bei ndogo na hulipwa mishahara midogo kuliko washambuliaji na viungo?
1 Reactions
7 Replies
816 Views
Nadhani ile kesi ya Morrison TFF ilifunika kombe tu, ila kuna mkubwa mmoja alifanya makosa ya jinai.
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…