Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hiyo ndiyo kauli ya msemaji wa Ruvu shooting akijitetea dhidi ya kauli yake ya jana baada ya mechi ya yanga kwamba kwenye timu kuna"Yuda" Kauli ambayo ilitafsiriwa kama kuna msaliti kwenye timu...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Miqsonne Samata Bila kujali timu wanazochezea. Bila kujali nafasi wanazocheza. Kwa kuangalia viwango vyao kwa kuzitendea haki nafasi zao katika timu; nani mkali kati ya Samata na Miqsone
3 Reactions
55 Replies
9K Views
Huyu jamaa naona kama tumepigwa hivi. Au tumpe muda aendelee kuzoea ligi ya Vodacom?
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuelekea mpambano wa klabu bingwa Africa hatua ya awali, kwa upande wangu naona Kuna kila dalili ya Simba kufanikiwa kumtoa Plateau United ya Nigeria. Ikumbukwe kuwa kwanzia janga la corona...
8 Reactions
30 Replies
5K Views
Uongozi wa Simba kulingana na taarifa zilizotolewa na Haji Manara ambaye ni Mkuu na Mkuu wa habari wa habari mbele ya mechi yao dhidi ya Plateau United jambo hili halijakaa poa. Wangetafuta namna...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
Goal Keeper wa ZANACO Toaster Nsabata, wiki hii anatua msimbazi kuja kufanya majaribio. Wanasimba maoni yenu.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Tuliongalia game ya Leo, Simba dhidi ya Plateau ya Nigeria, tunashangaa kuona kwanini Kocha ameona kabisa watu hawa wawili, Boko na Mzamiru wamecheza fyongo lakini anakua mzito sana kufanya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu zangu wapenzi wa michezo katika jukwaa hili;mimi nishabiki wa dar es salaam young african tanzania dammm Lakni kuelekea game ya leo kati ya watani zetu mikia fc au mo fc ni vema nikatoa...
2 Reactions
73 Replies
4K Views
Nyota wa Kikapu nchini Marekani LeBron James amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na Los Angeles Lakers, mkataba wenye thamani ya ($85 million) ambao utamuweka kwenye timu hiyo hadi msimu wa...
11 Reactions
78 Replies
6K Views
Wapenzi wa ndondi, leo ni siku nyingine dunia inashuhudia pambano jingine kali la kufungia mwaka kati ya hawa mafundi wawili wa uzito wa 'welterweight'; Errol Spence ambaye ni bingwa, na Danny...
1 Reactions
6 Replies
769 Views
Kwanza niwaze hongera sana Simba kwa kufikia hatua ya pili ya mitano, baada ya kuwatoa Nigeria, sasa mnaenda kukutana na timu ngumu, msibweteke. Naomba mkajitahidi angalau muwafunge kwao hao...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Kupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere. Nauliza tu kwenu wanasiasa kitendo hiki...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali Kuliko Wote Mwituni Jumamosi ya leo Disemba 5, 2020 watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kupapatuana na Plateau United, kutoka nchini Nigeria kwenye mchezo wa...
20 Reactions
183 Replies
18K Views
Yanga jana wamewapokea plateau kwa mbwembe nyingi.Naomba kesho wawasindikize kwa shangwe zaidi airport.
2 Reactions
9 Replies
724 Views
Nimapenzi makubwa sanaa yalipo kwenye mioyo na mashabiki wakereketwa wa club yetu ya wananchi kutoka nigeria...hakika meza itapinduliwa kibabe sanaa jumamosi Daima mbele nyuma mwikoo
5 Reactions
41 Replies
6K Views
Nyie Simba shukuruni mtacheza na Platinum ya Zimbabwe. Kuna Platinum ingine Africa ya Kusini kwa mzee Madiba mngepangiwa huko huyu dogo msingerudi nae, angebaki huko huko. Hela yangu ya kiingilio...
9 Reactions
26 Replies
4K Views
Kama kuna wajinga nchi hii ni utopolo ,hizi mechi za kimataifa tumewabeba ,kuna video kwenye mitandao wameenda kuwapokea planteau airport huku wakiimba Planteu! Planteu! Simba underdog...
8 Reactions
82 Replies
7K Views
Simba mnatia huruma sana. Mnataka tuwape baraka, tuwashangilie then mkishinda muanze kututukana na kutuita majina ya ajabu! Jana tumewapokea kwa kishindo Plateau na leo tutakwenda uwanjani...
1 Reactions
12 Replies
860 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…