Ngudu wanajamiiforum wenzangu kuanzia Leo nimeacha kushabia team ya Manchester united sababu haina mikakati madhubuti ya kutawala EPL na kutetea wanyonge ili kuondoa ile Spain domination kwenye...
Kama mwanayanga nasema asante sana molinga
TP Mazembe ni timu kubwa sana.. katika kikosi chake cha mwaka 2020 kuna mchezaji kama molinga.. mtanzania.. ana mwili mkubwa na watanzania tunamsema...
Wiki iliyopita wakati Klabu ya JKT Tanzania ikicheza dhidi ya Yanga SC katika Uwanja wa Jamhuri katika Mji Mkuu wa Tanzania Dodoma mara baada ya Mchezo huo haraka sana Katibu wa Wizara husika ya...
Enzi zile mkibebwa wazi wazi,mlidhania maisha ndivyo yalivyo.Kwa sababu mlifanyiwa hivyo,mnalala mnaota na wapinzani wenu wanaganyiwa hivyo.
Jaribuni kuangalia Simba wana record gani kimataifa na...
Yanga wanaendesha Timu yao kienyeji sana
1. Picha ya Hersi na Morrison haimanishi chochote Pengine walishika makaratasi matupu yasiyo na maandishi Kwani ile mifano ya check wanazopigaga pivha...
Mechi imeshaanza kati ya mbeya city Vs Simba Sport Club
Mpira unachezwa Mbeya .
Updates
Mbeya city 0- 1 Simba
Dk 5'
Bocco[emoji460]️
Updates
Mpira ni mapunziko
Mbeya city 0- 1 Simba
Updates...
Wakuu habari zenu?
Kuanzia msimu wa 2017 mpaka sasa young africans sc mwenendo wake umekuwa sio mzuri timu inazidi kupoteza uwezo wa kiushindani kwenye ligi na msimu unakuja itazidi kushuka kama...
Kamati ya nidhamu ya TFF imewafungia mechi mbili kila mmoja na faini ya laki tano.
Jonas Mkude anaingia kwenye adhabu hii baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Biashara United ya Mara.
Huku Benard...
Warren buffet ambaye ni mmoja wa matajiri ambao wamedumu katika tano bora ya matajiri dunia katika kipindi cha miaka kumi na tano, aliwahi kusema “siku zote ukinunua usicho kiihitaji utapoteza...
" Lakini ukweli lazima usemwe kwa sasa tuna pambana kukaa juu ya Namungo na kwenye FA tu habari za ligi na nafasi ya pili zili komea jumapili, " Anton Nugaz.
Na kwa Kuwakumbusheni tu ili UTOPOLO...
Inavoonekana waziri wa michezo hapa nchini, mheshimiwa Mwakyembe, analazimisha kupunguza wachezaji wa nchi za nje kwenye timu zetu, sawa ila mie nadhani angeanza na makocha toka nje kwanza kuona...
Katika msimu ambao Simba wameandwamwa na vyombo vya habari kuwa wanabebwa na waamuzi ni msimu huu.Waandishi bila kujadili maadili yao ya kazi waliweka ushabiki mbele kuwa Simba inashindwa kwa...
.
Nadhani wengi mnamjua Ricardo Izecson dos Santos, ni huyo huyo anaejulikana kwa jina la Ricardo Kaka, namba 10 bora sana katika kizazi chake
.
Najua nikikuuliza unamkumbuka Kaka kwa lipi, 90%...
Moja ya vitu ambavyo haviniumizi kichwa na moyo ni kufungwa kwa Arsenal kwa kipindi hiki ni kitu ambacho tayari nilishakifahamu.
Kutoka kwa Arsene Wenger mpaka kwa Unai Emery tayari kulikua na...
Kwa wale mnaofatilia mipira ya nje namaanisha ligi za Ulaya au michuano ya kimataifa, kila baada ya mechi kunakuwa na uchambuzi wa timu na wachezaji binafsi kupewa makisi kutokana na uchezaji wao...