Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Timu kumi za juu kwa Jumamisi hii: Orodha ya tano bora ya wafungaji
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Niwe muwazi nimeanza kufuatilia soka la Tanzania nikiwa mwanafunzi wa shule ya msingi na naweza kusema hiki ndicho kikosi changu bora cha muda wote. 1. Juma Kaseja Juma 2. Lubigisa Madata 3...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Baada ya kuondolewa Yanga amebaki anazunguka kwenye vyombo vya habari kila kukicha nambieni kocha yupi duniani aliondolewa akaanza kuzunguka zunguka kwenye media kinachoonekana alikuwa dalali...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Ww Zunguka tu sisi tunasonga mbele hatupaki basi Mkwasa kaza vijana hawatakuangusha
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuelekea kulisaka taji la Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL, mabingwa watetezi Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, leo Alhamisi Novemba 7, 2019 anaingia kwenye dimba la uwanja wa Uhuru...
4 Reactions
140 Replies
12K Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo ju leo kutakua na mechi kali kati ya yanga sc na ndanda . yanga wanatoka kumfukuza kocha wao na benchi lake zima la ufundi na wanapata kocha mpya wa muda...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Sasa ni dhahiri kwa mwenendo wa timu ya Liverpool , hakuna namna nyingine ya kuiokoa zaidi ya kumtimua kocha wake . Mpaka dk 64 ilishatandikwa mabao 4-1 na timu ya kawaida sana ya Totenham...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
===== Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘MO Dewji’ na muwekezaji wa Simba SC leo amepost picha akiwa Liverpool England na kuandika maneno ya utani kuhusu Liverpool wakati huu timu yake ya Arsenal...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ifuatayo ni Nukuu yake aliyoitoa jana mara baada ya Kumalizika kwa mtanange baina ya Timu yake na Yanga SC ambayo aliisema kwa Kiarabu na kwakuwa Mimi An Eagle najua Kiarabu sana nikaweza...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Mahakama ya Horrow Crown ya nchini Uingereza imemhukumu Bwana Ashley Smith, 30 kwa kosa la kuwavamia wachezaji wa timu ya Arsenal siku ya tarehe 25 Julai 2019 Maeneo ya Kaskazini Magharibi mwa Mji...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za asubuhi wanajamvi..... Timu ya Clabu ya Yanga imeachana rasmi na kocha wao Papa Mwinyi Zahera hivi karibuni, Lakin inaonekana kama Papa Mwinyi Zahera mutu ya Kongo hajakubaliana na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hiv karibuni Mwinyi Zahera amekuwa akifanya media tour na kuwalikwa pia na media mbalimbali sports arena wameulizwa mbona wao hawajamwita Zahera wamejibu "Zahera ameshafukuzwa na yanga na kocha...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Mwinyi zahera akihojiwa na EFM leo mda mfupi uliopita akieleza mgogoro wa kufukuzwa umetokana na yeye kukataa kuchaguliwa kocha Msaidizi kwani hakumtaka Mkwasa na aliomba amchague msaidizi wake...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Aliyekuwa kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera ameibuka na kusema sababu ya kutimuliwa kwake ni kukataa kufanya kazi Charles Mkwasa. Akizungumza na redio EFM asubuhi leo Zahera alisema viongozi wa Yanga...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Huu mtanange unachezwa saa ngapi tuwaache wadaiwa sugu wa Papa Mwinyi Zahera?
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Kocha wa club ya FC Barcelona mhispania Ernesto Valverde ameendeleza wimbi la matokeo mabovu baada ya kulazimishwa sare pacha na timu kutoka Czech Republic ikifahamika kama Salvia Praha katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina uhakika katika timu bora kabisa kwa kipindi hiki na imekamilika kila sekta basi ni Man city,kwa maana wakubwa wote(Liverpool,Madrid,Barca,Inter,Psg,Juventus,Munich) wote asaiv wanaunga unga...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo kulikuwa na interview ya Zahera akihojiwa na E Fm na amefunguka mambo mengi yaliyoendelea kati yake na ya Yanga moja kati ya mijadala ya humu yalikuwa yanahusu viongozi wa team kuingilia...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
JK alikuja na matumaini makubwa sana pale Liverpool akiwa na kila sababu ya kuirudisha moja ya timu kogwe kabisa na zenye mafanikio pale kwa Malikia.. Lakini zaidi ya kuzifunga timu kubwa hakuna...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Timu ya Singida United inayoshiriki ligi kuu imetangaza kusaka wenye vipaji,na inakaribisha watu wenye vipaji popote Tanzania,wataojitokeza watafanyiwa majaribio kwa siku 5 kuanzia tar 12 mwezi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…