Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huyu Valvede ni kocha bomu kabsa pale Barca. Kaifanya timu iwe dhaifu sjapata ona. Ule mpira wa barca haupo tena timu inacheza kizembe zembe tu.Toka afike amekuwa akisajili wachezaji kwa gharama...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo kagera sugar wamepata ushindi wa 3 mfululizo kwa kutoboa tundu la mbao, mechi inayo fuata wanacheza na timu yetu pendwa bingwa wa nchi binafsi nimeanza kukosa matumaini.
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Jana nilimsikia Mourinho akisema kipindi yupo Real Madrid ndo kipindi very very special kwake nilishangaa sana...nikawa najiuliza mbona huyu jamaa muongo muongo? Mbona siku zote husema...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Ranking the 2019/20 Premier League home kits
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Kijana wa watu wanamwandama sana, maneno maneno mengi, kama zama za Manula zimeisha basi apishe wengine. Nyota ya mtu iking'aa huwezi kuizima. Mtameza sumu mfe huku mnajiona. Tunashangaa kuona...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
wakiwa wanajiandaa na mchezo wa marudiano wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Zesco wachezaji wa timu ya Yanga wamegoma chanzo gazeti LA Uhuru leo
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Kwa wapenzi wa Mpira lile beat ambalo linaanza wakati kipindi cha Mpira kinaanza au Mechi aisee lina mzuka sana na hasa kama timu yako ndo inaanza mechi unaisubiria ni balaa wenzetu wanajua aisee...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkoa wa Kigoma ni miongoni mwa mikoa inayotoa wanasoka wengi hapa nchini toka nchi imepata Uhuru. Leo tuwataje wanandinga wenye asili ya mkoa wa Kigoma ambao waliwahi kuwika nchini katika mchezo...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kituo cha Televisheni cha Italia TopCalcio24 kimemfuta kazi mtangazaji na mchambuzi wa soka kwa kutoa maoni ya ubaguzi wa rangi kwa Romelu Lukaku. Akiongea kwenye TopCalcio24, Luciano Passirani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Benchi la ufundi la klabu ya Simba, chini ya kocha wake mkuu Joseph Omog limefanya marekebisho kwenye eneo la unahodha wa timu. Katika marekebisho hayo yaliyoridhiwa na uongozi wa klabu, beki wa...
3 Reactions
60 Replies
14K Views
Nina Marafiki zangu Madereva wa Malori wanasema hiyo njia ya Kwenda nchini Zambia ambayo Sisi wana Yanga SC hasa Mashabiki tutapita kwenda Kuishangilia Timu yetu ina Maharamia wengi halafu huwa...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Katika kile kinachoonekana kama kukaribishwa kwenye michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya, timu ya Genk anayoichezea mtanzania Mbwana Samatta imezabwa mabao 6-2 na klabu ya Salzburg katika mchezo...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Inajulikana wewe unaitwa Juma bakari tangu ukiwa mwalimu kule pemba hata wanafunzi wanakujua kwa jina hilo umeingia clouds tv ghafla ukageuka Antonio Nugaz ni swag au vipi? Ushakuwa afisa hapo...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Miaka ya nyuma kabisa waamuzi wa mpira wa miguu walikuwa fear kabisa Sio leo hii mwamuzi fundi cherehani mwaka tu anakuwa na gari kweli?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
• Adaiwa kuutaka ‘mzigo’ wa Twite arudi Simba na Dina Ismail UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni. Katika hali isiyotarajiwa, beki aliyesajiliwa kwa mbwembwe na mabingwa wa Kombe...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Leo ndio leo asemaye kesho muongo. Leo ndio siku ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu.Ni mechi ya kukata na shoka,ni mechi itakayoamua nani awe kileleni mwa msimamo au wote watabaki nafasi ya...
0 Reactions
426 Replies
25K Views
Neymar Jr , Icard , Cavan , Mbape , Di Maria
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari za jioni hii wadau,mie ni mchizi Fulani nimekulia magomeni makuti na mwananyamala ila kwa sasa nipo naishi kikazi mkoani Kilimanjaro, Enzi za udogo wangu kipindi cha sikukuu tulikua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
JE MIELEKA NI KWELI??? Kila kitu Duniani kina chanzo chake, kama sio chanzo basi njia ya mafanikio ya kitu fulani, Wengi tunaweza tumjue sana John Cena lakini tusimjue Jessy McMahons. Jessy...
9 Reactions
78 Replies
26K Views
Wanaweka madawa, yapi??? jibu unalo wewe :) :) Mmmh hatari mambo kama hayo ukiwa karibu karibu unaweza ukatolewa kafara,hapo sijui maji ya maiti gani yarabi? Kama ubavyoona kwenye video hadi...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…