Haya mjini story bure chakula ndio cha kulipia
Kumbe wale samba boys kutoka amerika ya kusini kazi yao haikuwa Kucheza mpira tu Bali walikuja kwa majukumu mengine tu
Wachambuzi toka Jana wanahoji...
Mimi kila mtu jua ni wekezaji kuba pale Simbazi halafu safari hii mimi tegemea pata mabilioni toka CAF ndo sababu mimi na dada iko fadhili simba sasa pesa yetu mingi tapotea bure. Bana Wambura...
Kila kukicha ww lawama wachezaji umesajili ww mwenyewe halafu unawalaumu nilishangaa sana mechi ya jana na polisi Unawapa lawama wachezaji hivyo ndo ulivyowafundisha sababu nyingine eti uwanja hv...
Ni Jambo la kushangaza kuona kuwa wanasimba ndo wako Mstari wa
mbele Kumpiga vita kocha wa Yanga kuwa ni Mbovu kuliko wana Yanga
Wenyewe, Mpaka sasa nashindwa kuelewa wema huu kwa timu ya Wananchi...
Team imeenda pre season SA
-tulisifia sana,
Team imecheza mech huko SA
-tulisifia sana kwa yale matokeo
Team ilirud bongo kwny simba day
-tulisifia sana siku ile wachezaji
Wote walikua bora
Team...
Nimeangalia pambano siamini nilichokua nakiona ulingoni ilibidi niangalie chanel kama ni yenyewe na ni LIVE au ni moja ya mapambano ya Joshua ya kitambo. Kumbe ni live na jamaa alikua anakula...
Aman iwe juu yenu
Kuelekea Jumamosi siku ndoa ambayo itafungwa kanisa la mtakatifu lumbumbashi kati ya kijana tp mazembe na binti yetu bi Hindu.
Tunaisubiri kwa hamu sana siku hiyo maana binti...
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa
Yaani kama unabisha acha harafu subiri game...
Nakumbuka katika Press yake ya Siku kama tatu hivi zilizopita Msemaji wa Simba SC Haji Manara alisema huku Watu wakidhani kuwa alikuwa akitania kwamba leo hii kati ya Saa 4 hadi Saa 6 hapo kuna...
Simba huwa hawafungwi mara kwa mara lakin wakifungwa hufungwa na timu wasioitarajia tena kipindi muhimu wapohitaji sn ushindi.( mechi ya Do or Die). Simba ya mwaka 1993 ikiingia fainali ya kombe...
Tulikuonya acha kutumia ubabe wa pesa ili upate ushawishi Simba
Ukamdharau Mzee wetu kilomoni ukafanya fitina apate misuko suko ya polisi ili uonekane we ndio mtu sahihi Simba
Nakwambia siku zako...
Simba imesajili wachezaji wengi wa kigeni na kuwapa mikataba minono ya kifedha huku wakitegemea kufika ktk hatua kubwa ya klabu bingwa ambayo imekuwa ni chanzo kikubwa cha sehemu ya mapato sasa...
Nikiwa kama shabiki wa simba niliadhani tupo serious kwenye kuimairisha ulinzi wa team kumbe mafyongo tu,ni dhahiri James kotei hana ma godfather klabuni au kakataa kukata fungu kubwa kwenye...
Msemaji wa Simba SCC Taifa Kubwa Haji Manara-Scorpion ametamba kuwa Simba watachukua makombe hatua kwa hatua.Haji amesema kuwa walianza na Simba B ambao juzi kati wamechukua kombe,kinachofuata ni...
Habari hii ni kutoka kwa mtu wa ndani kabisa wa klabu na ni mmoja kati ya viongozi wa juu w Simba....nisiwachoshe sana ishu iko hivi Mo Dewji baada ya kukubaliwa timu kuwa mdhamini mkuu na kutoa...
Mashabiki wenzangu wa Simba,Poleni sana na Majeraha ambayo bado mnayo nami nikiwemo.
Timu yetu Simba sio mbaya nikiri hivyo.Ila mapungufu tukubali yapo bado.
Binafsi nashangaa mnomno...
Huu sio ukimya wa kawaida yaani toka simba irudi toka Egypt mechi ya mwanzo na al ahly sijamsikia popote pamoja na ushindi wa nyumbani hajajitokeza kulikoni?
Kesho Simba wanaingia dimbani na...
Yanga walifanya kosa kubwa kumwacha Gadiel ,na wakafanya kosa lingine la usajili mbovu wa beki wa kushoto.
Sonzo anamapungufu mengi sn kutokana na sifa anazotakiwa kuwa nazo beki wa pembeni kwa...