Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mazoezi burudani. Ukiachana na mazoezi makali ya kijeshi ambayo hufanywa kwa malengo maalum, mtu anaweza kuuweka mwili wake kwenye afya imara kwa kufanya mazoezi huku akiburudika. Ingawa wengine...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
BREAKING NEWS: Shirikisho la CAF limesema, Simba itaanzia moja kwa moja hatua ya makundi ya klabu bingwa. Aidha afisa habari wa CAF Bw Junior Binyam amesema timu ya UD Songo ya Msumbiji iliyokua...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Wanaongoza wizara ya michezo hawajui lolote kuhusu soka ushahidi ni waziri wa sasa Asilimia kubwa ya viwanja vinavyochezewa ligi kuu ni mali ya ccm lakini Hawana muda wa kuviboresha viwanja...
2 Reactions
7 Replies
978 Views
Salute : Kwa muda mrefu sasa nimekua nikisikiliza maoni ya wadau mbali na viongozi wa nchi na soka nchini Nilicho gundua ni kitu kimoja pale linapo kuja swala ambalo hata kipofu anaweza kuona...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii ni taarifa kutoka kwa Mh Waziri wa Michezo Mh Harisson Mwakyembe , ambapo amedai ili kumiliki hisa zinazofikia 49% za club ya soka basi hakuna budi wawekezaji hao kuwa angalau watatu na si...
3 Reactions
127 Replies
11K Views
Yeye kama Waziri tokea Mchakato mzima wa Uwekezaji wa Klabu ya Simba alikuwepo, alihusishwa na natambua huku nikiwa na uhakika kuwa mara nyingi kama Waziri alikuwa anakuwa Consulted na akawa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwanza niseme Mimi ni Simba lialia ila tamko la leo la Waziri Mwakyembe limenifanya nitafakari sana na kurudisha kumbukumbu zangu nyuma. Ikapelekea kuunganisha dots kwa matukio ya kukwamisha...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Mulamu N'gambi amesema kanuni ya kutaka asilimia 49 za hisa kumilikiwa na watu kuanzia watatu, imekuja wakati Simba ikiwa tayari imepata muwekezaji...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Ndayiragije Etienne amemteua John Bocco kuwa nahodha wa timu ya Taifa kwa wachezaji wa Ndani, akisaidiwa na Juma Kaseja, Kelvin Yondan na Erasto Nyoni. Timu hiyo...
0 Reactions
3 Replies
930 Views
Kwakuwa nia yenu ni Kumkomoa Mo Dewji na mmesema kuwa mnataka Wawekezaji wawe Watatu ili wote wapate Mjumuisho wa Umiliki wa 49% kwa Klabu yetu basi na Sisi wana Simba SC wenye Akili kubwa, pana...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Natambua kuwa Yeye kama Yeye alishasema kuwa anang'atuka hapo kama CEO baada ya Miezi Sita ili apatikane CEO mwingine na kama Simba SC itahitaji Mchango wake basi imtumie katika mambo makubwa na...
6 Reactions
50 Replies
8K Views
Ni muda sasa umepita sijamsikia kwenye VPL, dogo alivuma sana kwa muda mfupi na kupotea ghafla, ninachokumbuka alitofautiana na viongozi wa simba sports club kwasababu za maslahi na kutimkia azam...
2 Reactions
61 Replies
13K Views
Tumesikia baadhi ya wachezaji wa Yanga wakiwa wamegomea mazoezi kutokana na kutokulipwa mushahara yao. Lakini cha ajabu waziri wa michezo badala atoe tamko kwa club jinsi yakufanya ili waweze...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi mh mwakyembe anajua kuna vilabu vimeshindwa kupata mwekezaji hata mmoja Leo anataka hizo hisa 49 zimilikiwe na wawekezaji watatu.
0 Reactions
5 Replies
859 Views
Kwa kitendo ulichofanya cha kutaka kuihujumu timu yetu ya simba tunasema hatuna imani na wewe tena kwenye mpira wa miguu. Hii timu ya simba sio timu ya serikali bali ina wanachama wake ambao...
8 Reactions
73 Replies
7K Views
Serikali kupitia Waziri wa Michezo Harison Mwakyembe amesema uwekezaji kwa vilabu vya Simba na Yanga ni 49% na uwekezaji inabidi uhusishe kuanzia watu watatu na sio mtu mmoja kuhodhi asilimia 49...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Hapa ni wanaume wa shoka wakipigana mkwara, enzi soka lilikuwa na wababe. Unahisi hapa nani alinywea na nani alishinda?
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimeburudika Sana na hii game ilikuwa more fire bando langu alikuenda bure.Hiv ndio niliviona katika hii game 1.chelsea wamepata kocha Moja Kati ya vitu ambavyo lampard amevileta Chelsea ni...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Club ya Yanga imeingia haitiani baada ya kupangwa na Township Rollers ya Botswana kwenye michuano ya CAF Champions League hatua ya awali. Mara ya mwisho team hizi kukutana Yanga walifungwa goli...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…