VVD Alison Becker na Salah wameshinda taji moja tu msimu uliopita,wameshinda UEFA Champions League wakiwa na klabu ya Liverpool.
Bernardo Silva ameshinda mataji yafuatayo akiwa na Man City pamoja...
Uungwana ni vitendo , Tunawajua wote mliotoa lugha chafu baada ya Shaffih Dauda ( Mzee wa under dog ) kuanika ukweli wa Mgogoro wa Simba , Kabla sijawataja majina yenu mnatakiwa kumuomba radhi...
Niliipenda sana timu yangu hii, lakini kutokana na mambo yanayofanya na baadhi
ya Viongozi nimeamua kujiondoa Simba. Ni mimi Mzee wa Kurekebisha wa hapa
Jamii Forums, nawaachia timu kina MO.
Siyo roho mbaya ila kama mdau wa mpira kuna foward za ukweli pale England (EPL) na Sammata hawezi kuwafikia mfano.
1.Callum Wilson
2.Dominic Solanke (21yrs)
3.Joshua King
4.Leandro Trossard (loan...
Hivi hawa viongozi wa CECAFA huwa wanaza nini? Yaani hawakujua mashindano ya AFCON yanafanyika lini hadi wakapanga klabu bingwa Afrika Mashariki kuendeshwa sambamba na AFCON ili hali nchi nne...
Football365
NEWSLETTER
Home Mailbox Man Ut
Send your mails to theeditor@football365.com…
Man Utd’s fake optimism
I’m going to begin this rant with an admission of hating Manchester United...
Si mara Ya kwanza kusikia Simba na Yanga zikijitoa kwenye michuano mikubwa hasa Ya hapa East Africa,wote wamekua mara nyingi wakitoa sababu ambazo hazina mashiko, lakini inafikia mtu unajiuliza ni...
Hakika kuna viongozi wanajua maana ya kuwajibika.
Rais wa Chama cha Mpira cha Misri ameamua kumfukuza Kocha wa Timu ya Taifa ya Misri kwa kutolewa kwenye Mashindano ya AFCON jana baada ya...
Eti Seedorf ndio kocha mkuu wa timu ya taifa ya Cameroon na Kluveit ndio msaidizi wake. Seedhoff aliwahi kupewa Milan kama interm coach lakini alifukuzwa miezi michache baade. Akaenda Deportivo La...
Imeandikwa na Dominick Salamba
https://www.instagram.com/dominicksalamba/
Kwanza kabisa natoa pongezi zangu za dhati kwa Timu ya Taifa kwa kuonesha ukomavu katika fainal za mataifa ya Afrika...
Misri wenyeji wa mashindayo ya AFCON mwaka huu na finalist wa AFCON2017 wamefurushwa kwenye nzunguko wa pili. Kocha mkuu wa timu hiyo Javier Agguire amesema wachezaji wa timu hiyo wasitupiwe...
Huyu Mr MO amekabidhiwa simba bila hata kutoa fedha ambazo zinampa share anazo miliki.
Sinahakika kama huyu bwana anahitaji simba zaidi ya kutaka raslimali za simba kwa ajili ya biashara zake na...
Wakuu Habari zenu?
Hivi kuna science gani mpaka goli kipa asiumie unakuta anaufata mpira kule apotagia ndege lakini na akitua yuko vizuri tu ,anaendelea na mchezo kama kawaida,sijawahi kusikia...
Huku akijua kabisa kuwa Yeye si Mtaalam wa Soka, hajawahi hata Kucheza Chandimu wala Kusomea Ukocha sehemu yoyote ile achilia mbali Miguu yake ilivyokaa ambayo haiwezi kutoa Ushirikiano kwa Yeye...
Wakati wingu na hofu limeendelea kutanda ndani ya Simba kufuatia sintofahamu iliyopo kati ya viongozi na mwekezaji wa klabu hiyo, mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji "MO", kiongozi mkuu...
Lampard Amesema wakati akiwa na umri wa 18 Kama odoi hakuwa na kiwango kikubwa Kama odoi katika umri huo amesema anamjua vizuri na Kuna kitu atakiongeza ili awe bora zaidi.odoi msimu uliopita...
Kwanza niseme wazi mimi ni mpenzi wa yanga,lkn hilo lisitafsiriwe kuwe mawazo yangu ni ya kishabiki,hivyo mjadala ujikite kwenye hoja na si ushabiki,niwakumbushe kuwa SIMBA SC ndio mabingwa wa TZ...