Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mpaka sasa sijaona usajili wa maana katika timu yangu ninayoipenda. Eti sasa hivi Ed Woodward anahangaikia saini ya Longstaff wa Newcastle, kipindi majirani zetu na wapinzani wetu wanafanya sajili...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ni orodha yangu ya wachezaji 11 bora wa dunia toka mwaka 1998 hadi sasa.Nimeamua kuanzia mwaka huo kwa sababu ndio kipindi nilianza kufuatilia soka, wachezaji hawa wote nimewaona kupitia...
6 Reactions
72 Replies
6K Views
Habari za wakati huu wapenzi na wafuatiliaji wa mchezo huu wa kikapu nchini Marekani! Ni dhahiri tangu kumalizika kwa finals mwezi uliopita timu nyingi zilijizatiti na kuhakikisha zinatumia...
0 Reactions
2 Replies
854 Views
LIVE STRAIGHT TALK: The Art of Business sijashitushwa na habari za leo kwamba Super Bilioneaz Mo Dewji anataka kujitoa katika azma yake ya Uwekezaji Simba ni habari ambazo nimekuwa nikizisikia kwa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Kauli ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kabla ya mchezo kati ya Taifa stars na Kenya: "Taifa Stars ni Mali ya Serikali, inatekeleza ilani ya CCM" huenda ndio inasababisha baadhi ya...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Nasema na ninarudia tena kusema Messi unaeweza kumfananisha japo kidogo na Cr7 ni messi wa Barca tu..Nje ya hapo messi hata Kagere hampati..!! Naona copa america watu mshaanza kulia lia...
6 Reactions
202 Replies
15K Views
Angalieni wenzetu wanavyofanya kazi hata kama ni wazuri.Hawakai tu na kuuza papuchi.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Timu zote za kisasa na zenye uwezo wa kushindana kwenye mashindano ya kimataifa zinakuwa na Conditioning Coach. Huyu ni kocha msaidizi wa Kocha Mkuu katika eneo la "Conditioning". Conditioning...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu jamaa tayari rasmi katangazwa na wekundu wa msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili ,ingawa mm ni mshabiki wa hii simba lakini najiuliza kwanini huyu mchezaji aliwatolea nje TP Mazembe...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hii habari inaanza kusambaa kumhusu mwekezaji wa klabu ya Simba zina ukweli kiasi gani?,taarifa zinadai kuwa mo ametofautiana na viongozi wa Simba ktk vitu mbalimbali hii ni kwa mujibu wa shafih dauda
9 Reactions
270 Replies
29K Views
Tangu Taifa Stars iende AFCON sijaona waziri au naibu wake wakiongelea timu ya taifa au wamemuachia ukumbi mwenyekiti Bashite afanye yake? Kwani wao si ndiyo wenye hizo ilani za kutekeleza au...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Simba ni timu tunaayofanya mambo kisomi na kimataifa. Afrika na dunia inatutazama kama timu tishio. Utani: Bakuli mmeanza kulalama why Simba Sc imekuwa na viporo vya usajiri
10 Reactions
64 Replies
12K Views
Huyu naye anaongeza idadi wa wachezaji wa kimataifa watano ambapo wabrazil wapo watatu,anaitwa Tairone dos santos ana miaka 30,ametokea klabu ya cearense ya kwao,Ni beki wa kati
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Kama kawaida yake mara nyingi amekuwa ni Mtu mwenye Chuki za waziwazi dhidi ya Simba SC baada ya Kunyimwa Ulaji wa Kuwa Msemaji wake leo hii Mchambuzi Mnafiki na Mtangazaji wa hovyo hovyo kutoka...
6 Reactions
55 Replies
7K Views
Hivi ni sawa alichokifanya MH MAKONDA LEO!! Kuhusu NYONI NA YONDANI!! Nyoni na mwenzake Yondani walitangaza kustafu soko lakini mh kawalazimisha wasistafu hili nisawa kimchezo??
2 Reactions
11 Replies
3K Views
1. UTEUZI WA WACHEZAJI Haukuzingatia uhalisia kwa kuwa wachezaji waliofanya vizuri kwenye ligi ya ndani hawakujumuishwa, mfano Mkude kwenye kiungo cha kukaba, Ajibu kwenye pasi za mwisho alipngoza...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Sasa ni rasmi; yule kinda mwenye kipaji kilichotukuka anayetazamiwa kuwa mmoja wa wachezaji bora kabisa duniani Joao Felix amekamilisha uhamisho wake kutoka klabu ya SL Benfica nchini ureno na...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Duh nawahurumia sana hawa jamaa cjui wataishije
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mchezaji Mbwana Samatta amerejea mara moja katika Klabu yake ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji ili Kujiandaa na Mwanzo wa Msimu wa Ligi Kuu ya nchini humo. Mchezaji Simon Msuba amerejea Kwanza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wako waliodai eti usajili huu watu watazimia lakini ukichunguza kwa makini hapo msimbazi utagundua kuwa TAJIRI KANUNA, haiwezekani timu inayotamba kuwa levo ya MAZEMBE, AS VITA, AL AHLY, MAMELOD...
6 Reactions
73 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…