Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

1. Kujifunga goli kulikopelekea mauti ya mchezaji wa Colombia 2. Kifo cha Kiungo mahiri sana wa Cameroon, Marc Vivian Foe 3. Kitendo cha Ronaldinho kumfunga Seaman goli la kubahatisha 4. Kuumiza...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Sisi tumepeleka walevi wa Pombe.... dah so sad
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum... Kama kichwa cha habari kinavyo eleza nini kinachoendelea msimbazi maana MAFUMBO MENGI KUTOKA PANDE MBALI MBALI...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwanasiasa yeyote angependa asifiwe na kila kundi la wapiga kura. Juhudi za hivi karibuni ktk awamu hii, naweza kusema ni juhudi za kutaka wapenda michezo wamwage sifa zao kwa serikali. Matokeo...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwanza naanza kusema Tanzania tuna vipaji vingi sana wa michezo mbalimbali vinavyokosa rutuba ya kuendelezwa ama kwa sera mbovu za mchezo au ukosefu wa kimkakati! Sasa kama wote tunapenda na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiv vilabu vya Simba na yanga vitakuwa haviendelei kwa sababu zimekuwa zikitegemea wafadhili kuliko kutengeneza timu kuwa na vitega uchumi ndo maana nilisikia haji manara akisema Simba timu tajili...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Picha ni Ibrahim Ajibu akiwa anaubusu Mpira ikiwa ni ishara ya kupata mtoto. ilikuwa mechi dhidi ya Ruvu shooting Raundi ya kwanza September 07 ambapo Simba walishinda Kwa mabao 2-1 mabao ya...
8 Reactions
86 Replies
25K Views
Hii game km ni mchezaji wa ujanja ujanja huujui mpira kweli na control huna huchezi hmo uwanjani haki ya nani Game yamoto sanaaa
4 Reactions
100 Replies
7K Views
Wahenga waliwahi kunena.. “Uongo unaoishi ndiyo ukweli mpaka ukanushwe." Siku mbili zilizopita mwandishi wa habari za michezo nchini Tanzania, Edo Kumwembe aliandika makala katika gazeti la...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Wakuu Habari Ya Malaro, Hivi kwa mtazamo wenu, 1. Kwanini tunafanya UMITASHUMTA? 2. Hawa washindi wa mashindano haya huwa wanakwenda wpi? 3. Hii michezo faida yake ni nini haswa ikishafungwa? Au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarin za usiku ndugu zangu,naomb mwenye link ya mechi ya Chile na Peru,inayochezwa Leo,antumie.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunaishi kwenye dunia hii moja, wote kwa pamoja, tunaishi kwa pamoja pia mzunguko wetu wa maisha ni mmoja! Lakini kuna watu ni kinyume chake, wao wana mzunguko wao, maisha yapo kivyao, tabia...
11 Reactions
53 Replies
9K Views
winger wa tp mazembe aliyewahi kuchezea Raja casablanca ya morroco amejiunga simba kwa mkopo kwa mujibu wa post ya instagram ya mazembe wamemtakia kila la kheri (simba leo tumewawahi hakuna cha...
3 Reactions
24 Replies
6K Views
Hivi TFF hawajang'amua tu madhara ya kauli ya Makonda kwamba Taifa stars ni mali ya CCM? Hivi CCM ndo Tanzania? Kwahiyo wale ambao ni watanzania na sio wana CCM, Taifa stars sio ya kwao?? TFF...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Hawa mabeberu wakicheza na taifa star tunakufa kumi
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ktk tim 24 zilizoshiriki michuano hii tayar timu 16 zmeshapatikana, nchi za Africa Mashariki ni Uganda peke ake wamefuzu huku TZ, Kenya na Burundi zikitupwa benchi kisubir kuryd nchini mwao au...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ni yapi maoni yako mdau wa michezo?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tetesi zimeshaanza kuzagaa, na hivyo ccm kujiondolea aibu ni kutafuta pa kujificha, ilani imekwamishwa na AMUNIKE. Kujiuzulu ni heshma kuliko kufukuzwa. Ni hayo tu. Munisamehe
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…