Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

# Kama tetesi hizi ni za ukweli basi nawaomba viongozi wa Simba na Yanga msiwabanie hao madogo.
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Tokea mwinyi aje hapa bongo kufundisha club ya yanga tunaona club ya tp mazembe ikisajili vipaji vya tz hivo nafikiri mwinyi zahera is behind the scene. Pia wanasimba walimtuhum kuwaspy kwenye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Juuko Murshid mmoja kati ya mabeki wapambanaji, wenye roho ya chuma katika ligi ya Bongo kando ya Kelvin Yondan. Juuko mara kwa mara amekuwa akisugua benchi klabuni Simba, akicheza ujue kuna watu...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Habar za leo ndugu wanajukwaa, Naomba kufahamishwa,kuna uhusiano gani kati ya Club ya Yanga na serikali ya ccm
0 Reactions
29 Replies
6K Views
England wana utamaduni wa aina yake ambao uko tofauti sana na nchi zingine, kuhusu utambulisho wa watu wao. Kila watu wana utambulisho wao kutokana na maeneo wanayotoka. Kwa mfano, mtu wa kutoka...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Huu uongozi wetu ukiwasikia wanavyojitutumua kwenye media utawajua wana mipango thabiti kweli kumbe janja tu Wachezaji wa Simba wakilala chumba kimoja watu zaidi ya ishirini na kula kwa mama...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Mambo moto moto! Awali walimtaka "Sure Boy" kabla ya kughairi baada ya Sure boy kuonyesha nia ya Kuongeza kandarasi pale Chamazi! Yale Yale ya Mzee wa Makorokocho!
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Watu hawana matumaini kwamba Stars itapata matokeo ktk mechi yoyote AFCON hivyo Basi wazee wa kuweka mzingo wamepanga 'kuiua' Stars Tena kwa stake kubwakubwa. Nawaambia hivi, hamtaamini hi Stars...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Hii ni heshima kubwa kwa club yangu Simba SC. Simba sio club ya vichochoroni mpaka mipango yake ivuje kwenye vijiwe vya kahawa. Sajili zote maingizo mapya hakuna uliovuja. Beki wa Singida United...
10 Reactions
24 Replies
5K Views
MWENYEKITI wa Yanga SC, Yussuf Mehboob Manji ameipa klabu hiyo eneo la ekari 715 lilipo Geza Ulole, Kigamboni, Dar es Salaam.Wasaidizi wa Manji wamekabidhi eneo hilo leo mchana katika hafla fupi...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Nawasalimu sana wananzengo! Tengua Teua kama kawaida! Matajiri wa CHAMAZI wamewaacha wachezaji hawa baada kumaliza kandarasi zao: Wazawa: 1. Ramadhani Singano 2. Danny Lyanga 3. Joseph Kimwaga...
1 Reactions
70 Replies
7K Views
Wadau kama kichwa cha habari kilivyo,nielekezeni
0 Reactions
1 Replies
610 Views
Wakuu wa jukwaa hili, salamu kwenu. Mimi ni mpenzi wa soka japo sio mfuatiliaji sana, nikiamua kufuatilia nafanya kweli. Kwa sasa kuna akauvivu fulani.. Hii Klabu inayocheza Ligi ya Serie A...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kunako pale EFM radio ndani ya kipindi cha sport HQ kunae huyu mtalaamu wa kuitwa dr machachali kabisa, dr panjua wa panjuaniiiii na kunako kule clouds fm the people station, kunae mtalaamu huyu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nasikitika sana kuongea juu ya mpira wa miguu wa Tanzania. vilabu vikubwa nchini simba na yanga Vina zaidi ya miaka 80 vikiongozwa au kuendeshwa kwa mfumo wa wanachama kwa miaka nenda rudi...
0 Reactions
2 Replies
570 Views
Wadau wa soka tujuzane kwa hili. Kwa upande wangu naona mwenye possibility kubwa ya kuchukua de or atakuwa messi kwa mambo aliofanya. Kwanza amesaidia timu yake kufika nusu fainali,pili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii Radio ya Chama tulitegemea itangaze kwa kuwaunganisha wananchi, badala ya yake yenyewe inawagawa watu. Watangazaji hawa kipindi cha cha michezo siku zote ni kuishambulia Simba, na wala...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
TP Mazembe imesajili mshambuliaji wa Mbeya City kwa dau la milioni 50 kwenda Mbeya city. Ambokile amesajiliwa kuchukua nafasi ya Ibrahim Ajib aliyegoma Ambokile aliefunga goli 10 mzunguko wa...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
Bilionea mfanyabiashara na mwanachama wa Yanga Rostam Aziz amesema yupo Tayari kuidhani klabu ya Yanga kupitia moja ya makampuni yake lakini sio kuifadhili au kuimiliki Akiongea na waandishi wasl...
9 Reactions
51 Replies
8K Views
Beki wa kati kenedy willison juma amesaini kandarasi ya miaka 2 simba. Kwa maelezo zaidi tembelea acaunt za simba news facebook.
1 Reactions
53 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…