Tumeona Jana aina ya soka ya england inavyoshindwa kutamba mbele ya style ya mchezo wa ajax ambao ndio hasa wanacheza aina ya Mpira wa Barcelona.
Kwa walivyosumbuka Spurs ndivyo ndugu zao...
Yani ile come back ya PSG nilidhani walibebwa ilaa kilichotokea leoo Nimeamini Barcelona ni timu ya Ovyooo sanaaa na Messi is Over rated...!! Yani Serious UEFA huwa mnatolewa kiboyaa...
Mtanange wa leo wa ligi kuu bara, uliopigwa katika dimba la Kambarage pale Shinyanga, Simba ameibuka na ushindi wa goli 2-0. Hongereni kwa hilo.
Ila kuna kitu kinanipa mashaka, magoli waliyofunga...
Tumeteseka na Mafanikio ya Timu yetu ya Liverpool kwa muda mrefu cha ajabu kwa Msimu huu na hasa baada ya ile ' Magical Comeback ' ya jana Usiku nimepatwa na ' Mshtuko ' baada ya Kuwaona Watu...
Mashabiki wa Yanga ni vema mkawaambia Watanzania ukweli juu ya Marefa na TFF kuibeba Lipuli ktk mchezo wa leo huko Iringa.Maana klabu yoyote ikishinda utawasikia Yanga wakisema Imebeba je Marefa...
Nimetazama Azam TV Kipindi cha Kipyenga cha Mwisho. Othmani Kazi amechambua kwa kina na kitaalamu sana mechi ya KMC dhidi ya Simba Sc.
Hii ni mechi iliyolalamikiwa sana na wapinzani wa Simba Sc...
Maneno ya kejeli yamemtokea puani.
Inabidi atimize ahadi yake ahamie Yanga.
Lakini nasema, Haji baki huko huko Mikiani. Yanga hatuna dispensary ya Milembe.
Wakuu
Huku ligi yetu pendwa ya TPL ikielekea ukingoni tunajua kwamba Simba ambaye ni bingwa msimu uliopita atacheza na timu ya sevilla kutoka nchini uhispania,
Nabaki kujiuliza TFF walitumia...
Na Bakari Chijumba, Mtwara.
Shirikisho la soka Tanzania(TFF),limetenga jumla ya Dollar za kimarekani Million moja,kwa ajili ya kurekebisha viwanja kumi vya soka nchini,ikiwemo uwanja wa Nangwanda...
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mwinyi Zahera amesema malengo yao msimu huu hayakuwa kushiriki michuano ya Kimataifa na hata kufika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho
Zahera ameyasema hayo mara baada ya...
Nusu fainali ya Pili ya Azam federation inapigwa Leo majira ya saa 9 na nusu alasiri katika uwanja wa Samora mkoani Iringa wanyeji Lipuli wakicheza na Yanga huku Azam wakishangilia fainali kwa...
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta nyota yake imezidi kung’aa baada ya kupata mafanikio siku hadi siku akiwa na...
Ndugu wadau, kwa nini tulimshambulia sana Shafii wakati akitoa maoni yake kuhusu Simba kushiriki club bingwa CAF? Je ni kutoiva kimpira au ni unazi tu? Hebu msomeni Van Persie halafu mje na maoni...
Mabingwa watetezi wa Klabu Bingwa barani Afrika, Esperance ya Tunisia na Wydad Casablanca ya Morocco wametinga fainali ya michuano tajwa baada ya kupata suluhu kwenye mechi zao za leo zilizoisha...
Huu mchezo n miongon mwa michezo mingi ninayoifurahia, napenda kwenda kuucheza ama kuutizama hasa nyakat za jion, mahali tunakupokutana hasa ni kijiwen na wadau wake wengi ni wa juu kiumri kwangu...