Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wako huko Kenya wanaliaibisha taifa.Wakirudi wakapongezwe bunge ni.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwangu mimi namwona nyota wa Brazil Neymar kuwa mchezaji bora wa mashindano ya World cup huko Urusi
0 Reactions
104 Replies
11K Views
Wakuu Nimetokea kuvutiwa na mchezo wa basketball hasa ligi ya NBA.Hii imetokana na kushuhudia ubishi wa Stephen Curry na Lebron James ikapelekea kutafuta clips zao. Nimevutiwa sana,ombi langu ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Taarifa zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya Yanga umewaandikia barua TFF kuwaomba kujitoa katika mashindano ya Kagame CUP yanayotarajiwa kuanza June 28 mpaka Julai 13 2018 jijini Dar es Salaam...
1 Reactions
77 Replies
12K Views
Mechi kati ya Israel na Argentina iliyokuwa ifanyike tarehe 9 mwezi huu. Imefutwa baada ya Messi kugoma kwenda kucheza kule. Israel waliipeleka ktk mji wa Yerusalem. Tofauti na makubaliano ya...
43 Reactions
334 Replies
22K Views
Washabiki wa soka wa Ujerumani, wamekuwa na kumbukumbu mbaya za hivi karibuni juu ya madhila ya wachezaji wa Timu hiyo: kuumia, kuachwa ama kupewa kadi uwanjani; hali ambayo imekuwa ikiwaweka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
kama kichwa kinavyojieleza nawapongeza saana Gsw kwa kutwaa ubingwa wa NBA mfululizo 2017/2018-2018/2019 na na ushindi wa SWEEP pole
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mara nyingi mechi za watani huwa zinapata attention kubwa. Kwa jinsi Sportpesa super cup ilivyopanga ratiba yake katika michuano inayoendelea Kenya ilionekana wazi walipanga nusu fainali iwe Simba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nianze kwa kusema tu kwamba nimepokea kwa masikitiko makubwa sana ‘ tetesi ‘ ambazo naanza kuziamini kwamba Kocha Mkuu Mfaransa Pierre Lechantre ameondoka Simba SC kutokana na sababu ambazo kwa...
9 Reactions
32 Replies
4K Views
All 32 squads for the World Cup in Russia have been confirmed. There have been some surprises on the way with numerous top stars left at home, including Manchester City starlet Leroy Sane and...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Yaya Toure Kuna baadhi ya watu wakizungumza kitu basi lazima dunia isimame na iwasikilize hata kama wanazungumza maneno machache sana. Mmoja wa watu wa aina hiyo ni Yaya Toure ambae ni mchezajj...
11 Reactions
161 Replies
13K Views
Enyi team Neymar, team Ronaldo na bila kusahau team Griezmann,najua wengi wenu mtabishana sana na ukweli ulio wazi na wenye kuonekana dhahiri kuwa Kombe la Dunia la mwaka ujao 2018 nchini Urusi...
5 Reactions
104 Replies
15K Views
Salaam Jana nilishuhudia mtanange wa nusu fainali ya COSAFA kati ya Zimbabwe na Lesotho ulioshia kwa suluhu hadi filimbi ya mwisho ya dakika za kawaida Hatua ya matuta golikipa wa Zimbawe...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwa Jinsi Jamaa alivyowakalia kooni huenda hii ikawa habari nnzuri kwa Wanajangwani endapo watasikia siku Musonye amestaafu ama badu, ukweli unabakia palepale kwamba huyu jamaa amekaa muda mrefu...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Natumai nyote mliomo humu wazima! Poleni na majukumu! Ni yupi kati ya hawa wawili ulikuwa unamkubali? Kwanzia Skills, dribling, freekick ,goals n.k..... Personal information Full name...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Musonye anafanya mambo kiswahili sana. na inaonekana wazi jinsi ambavyo mara nyingi amekuwa akifanya mashindano haya kibiashara zaidi kuliko kimichezo. na hili jambo limekuwa likigharimu soka letu...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Leo nusu fainal ya sportpesa super cup itaendelea huko Kenya. Simba itakipiga dhidi ya Kakamega homeboys ambayo iliwatoa yanga kwa kipigo cha 3-1. Simba inacheza nusu fainali baada ya kuigaragaza...
3 Reactions
118 Replies
20K Views
Labda humu humu East africa, lakini nje ya hapo ni kujipalia mkaa,, Hivi kamati za usajili zinafanya kazi gani,, au ndo mnapga pesa kwa style hiyo
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Maafisa wa soka akiwemo Mkenya wanaswa wakipokea fedha Ghana imevunjilia mbali chama cha soka baada ya rais wake kunaswa katika video akionekana akipokea 'zawadi ya pesa'. Kwesi Nyantakyi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…