Ikumbukwe kuwa alipelekwa Singida United na Simba SC kwa mkopo ili akakuze Kiwango chake na kama kikiwa juu kama huko nyuma basi Uongozi utamrudisha Kikosini. Nimetoka kuwasiliana na Mchezaji...
Takriban maafisa 100 wa kandanda katika eneo la Afrika Magharibi na Kenya walipatikana katika kamera wakipokea fedha katika operesheni kali.
Ni miongoni mwa upelelezi wa miaka miwili uliofanywa...
Floyd Mayweather tops Forbes' list as highest-paid athlete
Boxer Floyd Mayweather is the richest athlete in the world — again.
That’s according to Forbes magazine, which estimated the...
Hii ndio tuzo atakayopewa Kinara wa ufungaji mabao katika michuano ijayo ya Kombe la Dunia. Je ni Messi, Ronaldo, Muller, Kane au Lewandowsky?
Kwa uzoefu wangu naona tuzo hii ikienda kwa Radamel...
Zinedine Zidane amepata contract ya kuifundisha timu ya taifa ya Qatar kwa miaka minne kwa Pauni milioni 50 ambazo ni sawa na bilioni 152 na milioni 22 za kitanzania kwa mwaka, ambazo atakua...
Leo ndio leo miamba ya soka nchini, Simba SC na Yanga SC wanakutana katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar
Tambo zimetawala kutoka kwa mashabiki wa kila...
Timu ya mpira Wa Miguu ya Singida United inayoshiriki Michuano ya Kombe la SportPesa huko nchini Kenya imefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa FC Leopard ya Kenya kwa mikwaju ya...
Huu ugomvi wa Yanga na Kagame ulianza mwaka 2012 Mara baada ya Yanga kwa nguvu kubwa kushinda Kagame Cup ili Yanga ipate nafasi ya kwenda kuonana na Kagame... toka mwaka huo baada ya kutoelewana...
Wakuu, salaam!
Mimi ni layman kwenye masuala ya kanun za kabumbu. Hivi, inakuwaje kipindi hiki baada ya kumalizika kwa msim wa ligi kuu vpl 2017/2018 dirisha kuu la usajili bado halijafunguliwa...
Huu mwili si kama kifaru cha jeshi maana mwanzoni nilihisi labda jamaa anakunywa petrol that's why ana tank kama hili.
Afu inaaproach 40 ila mwili kama iko late 20.
CECAFA wanataka kuondoa uwezekano Wa Simba na Yanga kutokutana kwenye mashindano haya.
Mechi ya Simba na Yanga ndio mtaji Wa mashindano, hivyo wanahofia Yanga dhaifu kuondolewa mapema kama...
Kwa hali inavyoendelea hapo klabuni kwetu naona kuanzia wachezaji, benchi la ufundi mpaka viongozi hakuna anayejali wala kujivunia Yanga. Sasa tunafungwa hovyo hovyo na timu za kawaida kabisa tena...
Watani wa jadi nchini wanatarajia kukutana kwenye michuano ya Kagame yanayotarajiwa kufanyika nchini kuanzia tarehe 30 juni mwaka huu
Mchezo wa Simba dhidi ya Yanga utafanyika julai 5 saa 10 jioni...
The game of soccer has been blessed with some phenomenal talents and it does many scant justice when it comes to choosing the 10 greatest soccer players of all time. But, for what it is worth...