Ni hivi juzi tu Benchi la ufundi la Ngorongoro Heroes limewaita wachezaji wataotuwakilisha dhidi ya DR Congo kwenye Mechi za kufuzu Africa kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 20...
Dar es Salaam. Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva amelazwa katika kitengo cha wagonjwa mahututi Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).
Hayo yameelezwa leo Machi 8 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
Yanga imefungwa bao 2-1 nyumbani na Simba imetoka sare ya 2-2 na wapinzani wao. Hivyo timu zetu zote ni kama tu zimefungwa nyumbani zikitarajia kupindua matokeo kwenye mechi zao za marudiano...
Hivi ni kwanini Viongozi wa Simba SC ( Timu yangu Kipenzi kabisa ) huwa hamna utaratibu wa kupitia Mtandao huu wa JamiiForums ili muwe mnatusoma akina GENTAMYCINE na ' Wadau ' wengine wa mpira ili...
habari wakuu
nimekuwa mwanamichezo kwa muda sasa huku nikipenda kufuatilia vipindi vya michezo kutoka vyombo vya habari hapa nchini, kwa hakika mwanzo nilivutiwa sana na sport extra ya clouds fm...
Mechi ya kwanza tatizo lilikuwa na utoto wa Neymar Jr kupiga chenga zisizo na faida kwenye timu naa kuigharimu timu yake. Ila kwa leo kwa kuwa hayupo, nina imani asilimia 90, nafasi yake akipangwa...
Kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Dar es salaam, kimepiga marufuku vikundi vyovyote vinavyoathiri vikiwemo vile vya mazoezi ya kukimbia bila kupata kibali.
Mkuu wa kikosi cha usalama...
Huyu hapa na vijana wenzake , ameomba radhi na mwalimu amemsamehe, haya sasa wale sijui oh jamaa anakwenda Yanga, hivi ngoja niwaulize swali hivi kuna mtu anapenda njaa?.Anajua upande wa pili...
Wakati tunakua mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 tuliaminishwa na kaka zetu na baba zetu wa kisoka zaidi kwamba enzi za mfumo unaomtumia namba 6 kama mkabaji basi lazima...
Huyu ni kati ya makocha wabovu kabisa waliowahi kuifundisha yanga katika kipindi cha miaka 20 iliyopita , ni mara mia kazi hiyo angepewa Kataraia Minziro .
Wana Yanga mtakubaliana na mimi kwamba...
Kila shabiki wa Yanga anafahamu kilichotokea kwa mdhamini wa klabu. Mashabiki wa Yanga wako tayari kutoa michango kwa hiari kuichangia timu yao ifanye vizuri kwenye ligi na mechi za kitaifa kama...
Klabu ya Al Masry ya nchini Misri imewasili salama bin salmini jijini Dar es salaam tayari kuwavaa simba sc.Klabu ya Al masry imewasili na nyota wao Islam Salah mdogo wake Mohammed Salah wa...
Leo inaweza kuwa siku ya mwisho ya matumaini ya Zidane ndani ya Madrid
Siyo Zidane Tu Bali Ronaldo ataangalia mstakabari wa maisha yake uko kwingineko ama marekani au kukipiga uarabuni
Leo Psg...
Kwa Yanga hakuna tatizo sana maana ni maajabu pekee ndiyo yatakayowavusha
ifahamike kuwa maajabu pia yapo katika soka hivyo kwa mtindo huo Yanga ana
asilimia 45% ya kuvuka hatua inayofuata...
Mechi ya klabu bingwa iliyochezwa Burundi chini ya Waamuzi toka Tanzania wametuhumiwa kwa mambo ya rushwa na upangaji matokeo.Waamuzi hao ni Israel Nkongo Mujuni (Kati), Soud Lila (Assistance...