Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wala sitaki Kuzunguka sana katika hili ila miaka mitatu minne iliyopita wakati nikiwa busy na masuala ya Mpira hasa huu wa Bongo ( VPL ) kupitia Klabu yangu pendwa kabisa ( ambayo kila Member humu...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Kivipi mtuaminishe kua kamusoko atakuwepo kikosi kinatoka hayupo hata bench? Nilikua nakuja uwanjani lakini siji tena,pato ngonyani mzito sana kama hawa jamaa wanakasi basi tunakufa...golini...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
kila la heri wa botswana, mu wa roll hao vyura
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ubasjiri Wa Maneno kati ya liver pool na Porto Leo saa 22;45
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Waamuzi wa Tanzania waliochezesha mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya LLB ACADEMIC ya Burundi dhidi ya RAYON SPORTS ya Rwanda wako hatarini kufungiwa na shirikisho la soka barani...
1 Reactions
0 Replies
826 Views
habari wakuu!!hope ni wazima wa afya njema... wadau mimi ni mdau wa jogging na mazoezi kwa ujumla nimekuwa nikifanya mazoezi mbalimbali hasa kukimbia sasa juzi hapa nimeangalia hii kili marathon...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Habari wadau!! Ni kuelekelea mechi za Kimataifa .. Waelewe mchezo muhïmu na wenye kupata magoli mengi ni huu wa nyumbani... Wasijisahau kumaliza mechi mapema magoli Matatu(3) na zaidi ili...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hapa akiwa na mke wake Huyu ni mchezaji aliyeng'ara sana katika kipindi cha nyuma katika kusakata kabumbu hapa barani Afrika akitokea nchi mojawapo mwa miongoni mwa nchi za Afrika Magharibi. Kwa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Klabu ya soka ya Simba kupitia kwa msemaji wake Haji Manara imemtangaza Waziri wa Kilimo Charlse Tizeba kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry Jumatano Machi 7...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwake Lwandamina kila mchezaji ana thamani, timu inapata matokeo hata kama wachezaji 7 muhimu hawapo kikosini kwa sababu nyingine. Simba wana wachezaji 2 tu Okwi na Bocco kama wakikosekana timu...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Ajali kwenye mbio za magari yaliyokuwa yanafanyika Tanga yameacha majeruhi 4 waliovunjika mguu na kifo cha kijana mmoja.Huku binti mmoja akinusurika baada ya gari kuruka na kupaa juu yake...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Huku kukiwa na pilika pilika ya vilabu vya EPL kufanya usajili vikijiwinda kuanza kwa MSIMU mpya wa ligi 2016/2017.. Lakini klabu yangu pendwa niliyo na mahaba nayo CHELSEA mpaka sasa imefanya...
2 Reactions
47 Replies
7K Views
msaada jamani kuna makala za wachezaji wetu wanaocheza nje simon msuva na abdi banda zinaendelea kwenye magazeti haya huko nilipo magazeti hayafiki anaesoma makala hizi anirushie na mm nisome.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Klabu ya Manchester City imefanikiwa kuchomoza na ushindi wa mabao 3 – 0 dhidi ya Arsenal mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliyopigwa katika dimba la Emirates. City inafanikiwa kuchomoza na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Timu ya taifa ( Taifa stars, Twiga stars, Serengeti boys, Ngorongoro heroes nk) kwa nini zinakuwepo wakati wa mashindano tu, ina maana TFF wanaendeleza mchezo wa soccer kwa kiwango cha TAIFA kwa...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Kessy Ajibu Mo ??? Je itafanikiwa
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani,nawaza tu! Hali itakuwaje km Simba na kwa maandalizi,mbwembwe na kujiamini kwao huko endapo hawatakuwa mabingwa tena msimu huu! Kisha Yanga pia kwa mara nyingine tena itakuwaje km...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Tanzania tunasikitisha, hatuwezi kila kitu, hii ni pamoja na mpira. Pamoja na Tanzania kusifika kuwa kisiwa cha amani kwanini Makocha na wachezaji wetu makini mwenye timu zetu sio watanzania...
0 Reactions
4 Replies
909 Views
Wadau wa mpira hasa wa Laliga ebu mnisaidie, hii mechi ambayo ilikuwa na mastaa wote wa #Barcelona ya 2017 je ilikuwa mazoezi tu au #Laliga? sikupataga bahati ya kuiona ila nimeikuta tu kwenye...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
. Miaka kadhaa ya nyuma ukiskia kuna game kama ya hivi leo AC Milan vs Inter Milan.. basi hizi game zetu uchwara za kina Man City vs Chelsea & Barca bs Atletico huwa hazina nafasi kwiki hiyo...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…