Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tarehe 17/02/2018 katika Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Rais wa Shirikisho hilo , WALLACE KARIA anataraiia kumteua raia wa Burundi, KIDAO WILFRED kuwa...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
Nimesikitishwa sana na fitina ,uzushi unaoendeshwa na mdau hapa JF kuhusiana na katibu mkuu Wilfred Kidau..mdau anasema Kidau ni mburundi hivyo hafai kuwa katibu mkuu wa Tff 1.Wilfred Kidau ni...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna mtu yeyote ambae anajua kucheza soccer freestyles tricks
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe ameeleza kufurahishwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Africa kati ya Simba SC na Gendarmerie ya nchini D’jbout ambapo Simba...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwani ni lazima nchi zinazoshiriki ziwe na snow?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Rollers fc ya Botswana wameitandika el merreick ya sudan bao 3-0 ,mshindi kati ya timu hizi watakutana na Dar young African Aidha El masry ya nchini Misry imeifurumusha Green Buffaloes ya...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Droo ya mechi za klabu bingwa na shirikishi barani Afrika imekamilika leo huko Misri. wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa ni Dar es Salaam ambao hatua ya awali wamepangiwa na...
1 Reactions
31 Replies
11K Views
Yule mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya Burkina Faso, Aristides Bance, huenda akatua nchini kuikabili Simba SC katika kombe la Shirikisho Afrika iwapo mambo yatakwenda vyema kama yalivyoanza...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi amekiri kufuta kauli yake iliyodumu kwa takribani miaka 30 kuwa Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu na haitakaa ifanye vizuri kwenye michezo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Achana na mastori ya Yanga kujipa moyo kwamba Gendarmerie ni kibonde. Unaweza kuona trend ya matokeo yao kule kwao ukapata picha. Ushindi mkubwa wa Simba haumaanishi hii timu ni KIBONDE bali ni...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Klabu ya Difaa el jadidi ya nchini morocco Jana walicheza mechi yao ya kwanza ya michuano ya CAF dhidi ya klabu ya sport bissau Benfica ya nchini Guine na klabu ya Difaa kushinda kwa idadi ya...
7 Reactions
23 Replies
8K Views
Hawa jamaa hela walizonunuliwa na wanachokicheza uwanjani ni vitu viwili tofauti. Rejea mechi ya Super cup. Hasa huyu Pogba anaigharimu sana timu kwenye mechi kubwa. Mou asipoangalia tabia yake...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
1. Man city 2. Liverpool 3. Tottenham 4. Man utd 5. Chalsea 6. Asernal
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya uwanja wa Taifa kufungwa kwa kipindi, leo unafunguliwa kwa Simba kuikaribisha moja ya timu kali kwa sasa, Singida Utd. Azam ambao watakuwa na mechi ya mapema leo dhidi ya majimaji...
16 Reactions
337 Replies
35K Views
Nimeangalia uhamisho wa Sanchez kutoka Arsenal kwenda Man U nikajiuliza kama anaweza kuwika huko aendako au ataishia kama wengine ?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanamsimbazi twendeni, tukawape motisha wachezaji wetu, na timu kijumla. Utofauti wetu na vilabu vingine ni pamoja kuwa na mashabiki kama sisi, kwahiyo basi twendeni tukawape hamasa wechezaji...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Mchezo uliopamba moto hivi sasa wa bahati nasibu ya Biko ukimaliza miezi sita kuanzia sasa mimi najitoa JF! Ninatabiri kuwa in the next coming six month, mchezo huu utakuwa umeshakufa kibudu. Huu...
7 Reactions
18 Replies
9K Views
Mkoa wa shinyanga upo vizuri sana,kwanini watu hawa hatuwaoni olympic?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…