Simba Sc Timu inayosadikika kua na Mashabiki wengi Afrika Mashariki hasa kutokana na Mafanikio yake imekua ikitumikiwa na Wachezaji wenye viwango vya hali ya juu
Ifuatayo ni orodha ya wachezaji...
Wiki hii tutashuhudia wawakilishi wetu kimataifa Simba na Yanga zikijitupa uwanjani kucheza mechi za kimataifa. Yanga leo itacheza na Washelisheli na kesho Simba itacheza na Wadjibuti katika...
Kiukweli kama kuna kocha ambae analala bila kujua kesho yake ataamkaje yani kama bado yuko katika kibarua basi ni muitaliano Antonio Conte kocha mkuu wa Chelsea kwa sasa. Yuko na wakati mgumu...
Kwa muda wa miaka 10 hadi sasa ulimwengu wa soka umeshikiliwa na magwiji wawili wa soka wanaotesa uwanjani na kuchukua tuzo kubwa ya Ballon d'Or kwa muda wote huo. Lakini sasa kuna vipaji vipya...
Dk 1, mechi ndiyo imeanza na Yanga wanaanza kujipanga wakitaka bao la mapema
Dk 2 krosi safi ya Buswita, walinzi St Louis wanazembea na Raphael Daud anachelewa
Dk 2 Tshishimbi anaachia mkwaju...
Nitawadharau na kuwapuuza mno Watu ambao wanajiita ni wa Mpira halafu leo wakapoteza kabisa muda wao kwenda Uwanja wa Taifa kutizama mechi ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika baina ya Yanga SC ya...
Mfano umepewa vikosi hivyo viwili uchague kimoja kwamba usiporudi na kombe utanyongwa
Tunaasume wote wako kwenye form zao kabisa za Hali ya juu, Kwa wakati mmoja
Nchi nyingi kesho ni mapumziko ya mechi za mpira kupisha na kusheherekea Xmas isipokuwa nchi kama za misri saudia na Israel
Je wao kwao hii sio sikukuu? Au ndo inasheherekewa Kwa kuangalia game
Huu ndio ukweli wenyewe , hakuna kocha aliyejenga heshima yake akiwa chelsea kama jose morinyo , lakini kila mwenye macho ameona jinsi alivyotupiwa vilago vyake kwenye mfuko wa rambo ,
Abramovic...
Pamoja na kusoma masomo ya Sayansi na Sanaa (Arts) katika maisha ya sekondary lakini nilipenda kweli masomo ya Sanaa kama History na Geography tangu primary mpaka sasa sijawahi kuachwa nyuma...
Nimefurahishwa sana na kipa kinda kutoka Serengeti boys mwenye umri wa miaka 17 kabwiri akiaminiwa na kocha Lwandamina.Amekuwa akicheza mechi za ligi kuu na hata mechi za Caf.
Wachezaji wa under...
Klabu ya Azam ilipoanzishwa nilitegemea kuwa mbadala wa Yanga na Simba hapa nchini. Lakini walipozoa viongozi toka Simba na FAT nikaona hapo hakuna kitu.
Majira ya baridi msimu uliopita Chelsea waliwapoteza Ivanovic na Mikel…Walikua ni miongoni mwa wachezaji wakongwe waliobaki ndani ya Chelsea kwa wakati ule..Hiyo haikutosha, kufikia mwishoni mwa...
Habarini wakuu. Wakati kukiwa na shamra shamra za timu toka mikoa mbalimbali kupanda daraja kwenda ligi kuu upande wa kanda ya kaskazini bado hakuna matumaini ya kupata timu ligi kuu.
Ni misimu...