Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) kwa mujibu wa Sheria ya Baraza Ia Michezo Ia Taifa (BMT) ya mwaka 1967 pamoja na marekebisho yake ikisomwa na...
Mchezaji mpya wa klabu ya Manchester United, Alexis Sanchez amehukumiwa kwenda jela miezi 16 kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi.
Hukumu hiyo imetolewa mara baada ya kugundulika kukwepa...
Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amelalamika kwamba wachezaji wa Uingereza wamekuwa na tabia ya kujirusha na kutengeneza adhabu. Amesema mchezaji wa Tottenham Dele Alli alifanya kitendo...
Wakuu,
Siku ya leo imevuja video ya huyu kiungo mdogo machachari ikimuonesha akiwa uchi huku mwanamke aliyekuwepo akimnyonya uume.
=> Lawyers called in over ‘Dele Alli sex tape’ online footage
David De Gea alizaliwa tarehe 7 Nov. 1990 huko Uhispania.Ni golikipa wa timu ya taifa ya Uhispania na klabu cha Manchester United cha huko Uingereza.
Kwa upande wangu namuona mtu huyu kama...
Bhule bhule bhakamu gwangu.
Nikiwa kama mdau wa michezo, hususan Mpira wa Miguu, ninafurahi sana kuona Kwa siku za usoni, "jinsia" inachukua sana mkondo wake, haswa kwenye mchezo huu wa kabumbu...
Mashabiki wa soka tujikumbushe kitu kimoja nikiangalia mpira wa bongo hususani hawa mabingwa wa Tanzania bara inafika takribani misimu mitano haijapigiwa penalti langoni mwake.
Je ina maana...
Nahodha wa Simba, John Bocco, amesema watapambana kufa na kupona kesho Jumatano kuhakikisha wanaifunga Azam wanayokimbizana nayo kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara.
Bocco aliyejiunga na...
Jameni nimeona leo jarida moja online la nchini Spain kwa kifupi linasema Lionel Messi ameshinda CHAMPION CUP 4 ila huyu Gwiji, Maradona hana pia Europa Cup....
Ila Maradona ana WORLD CUP 1...
Bofya link hii kucheki game.
Ingia>>> All Broadcasts - Sport Streams for each
TUMIA CHROME...
Usisahau kujoin kucheki mechi nyingi zaidi kiganjani..
Join>> LIVE MATCHES ONLINE!!
AFRIKA imezalisha Wachezaji wengi mahiri ambao wamekuwa na Vipaji maridhawa katika mchezo wa Soka.
Kutoka zama za akina Abedi Pele, Kalusha Bwalya hadi zama za akina George Opong Weah, Phil...
Wakuu habari tokea Kijana fundi toka Brazil neymar Jr aondoke nou camp kwakweli pengo lake linaonekana licha ya barca kujaribu kuziba kwa kuwanunua dembele na coitinho ambao wanaonekana kushindwa...
Najiuliza baada ya kato LA kodi ya vat mpunga mwingine umekwenda wapi.Tff ni kichaka cha kupigia ela.vilabu na wachezaji wanavuja jasho na damu wengine wanafaidi kiulaini
Hawa hapa ndo vinara wa kutupia mabao msimu huu mpaka sasa, katika ligi kuu Soka Tanzania bara. Mimi binafsi nimekunwa na watu wawili..
Wa kwanza ni Shiza Ramadhani Kichuya; Huyu jamaa ametoa...
Mgambo JKT ni timu ya Handeni, Tanga lakini watu wa Handeni hawashirikishwi kwenye timu yao.
Kuanzia sasa kwa kushirikiana na uongozi wa Wilaya ya Handeni hakikisheni kuwa mechi zote za nyumbani...