Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu na wachezaji wa Mwadui kwa kuondokewa na kocha wao usiku wa kuamkia leo huku...
Juma Nyoso hana makosa alibughudhiwa na kuwa provoked
Wakati mechi baina ya simba na Kagera kuisha na wachezaji kuelekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ,shabiki mmoja wa simba alivunja...
Najua kila Mdau wa Michezo hasa mpira wa Miguu kwa sasa jina la Beki wangu ' mtukutu ' kabisa kwa sasa nchini Tanzania Juma Nyosso halimtoki Kinywani mwake huku wengi wetu wakimshutumu kwamba...
ENGLAND: Klabu ya Manchester United imetangaza kumsajili Mshambuliaji Alexis Sanchez kutoka Klabu ya Arsenal
Katika makubaliano hayo yamehusisha Kiungo raia wa Armenia, Henrikh Mkhitaryan...
Beki wa klabu ya Barcelona Gerard Pique amesaini mkataba mpya ambao utamuweka kwenye klabu hiyo hadi mwaka 2022.
Lakini moja kati ya vitu vikubwa ambavyo vipo kwenye mkataba wa nyota huyo ni...
Katika mchezo unaohusisha watu wengi kuufanikisha huwezi kutoa zawadi kwa mchezaji mmoja pekee. Kitendo hicho kinaweza kutendwa na watu binafsi au taasisi nyingine lakini sio kiongozi wa timu...
Naomba kujuzwa ni website gani unaweza kupata takwimu za vpl katika msimu huu,yaani mfungaji bora, anayeongoza kwa assist, kipa anayeongoza kwa saves n.k,
Kama zilivyo ligi za ulaya huko hizi...
Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil na vilabu vya PSG, Barcelona na AC Milan, Ronaldo de Assis Moreira Maarufu kama Ronadinho Gaucho amestaafu soka.
Licha ya Ronadinho kutocheza soka la...
Baada ya kupigwa adhabu ya kukaa nje ya uwanja kwa miaka miwili tangu september 2015.
Beki kisiki wa Mbeya city Juma Nyoso amepotea kabisa na sijapata kusikia ni wapi aliko anajishughulisha na...
Klabu ya simba sc itashuka dimbani kumenyana na kagera sugar.Mechi hii inaweza kuwa na mvuto wa aina yake sababu msimu uliopita simba sc walipoteza point 3 kutoka kwa kagera na hivyo kupoteza...
George Opong Weah akiwa na Ronaldo
Hapa akiwa na KOCHA MARIDADI Mzee Wenga ANAKUFUNDISHA MPAKA KUWA RAIS WA NCHI:eek::eek::eek::eek:
Raia wa Liberia wanasubiria kwa hamu tukio hilo la...
Wakuu Habari zenu
Nataka niwakumbushe tu wakuu kwa wale waliokuwa wamesahau kwenye msimu wa epl 2017/2018 kwa upande wa mchezaji bora wa mwezi,kocha bora wa mwezi na goli bora la mwezi
Ligi...
Taarifa rasmi zilizonifikia atiii beki kisiki, professional player, forward matata kumradhi ana magoli mengi kuliko forward line yote yanga na ni beki wa pili duniani mwenye magoli mengi msimu...
Kwa kweli timu yetu kwa sasa inaandamwa sana! Tuseme Mti wenye matunda ndio utupiwao mawe!
Kuna hii tuhuma je ina uhalisia wowote?
Karibuni wanayanga na wasio wanayanga kwa mchango wenu
Kwa masikitiko yangu makubwa inaonekana nchi yetu hatutashiriki michuano ya Olimpiki ya mwaka huu mwezi February yatakayofanyika Korea Kusini (Olympic Winter).
Nina fahamu tunayo tume ya...
....JUVENTUS TURIN au kibibi kizee cha Turin,,Waitaliano halisi kwa lugha yao wana Nicknames 4 zinazoitambulisha timu yao pendwa Juventus Turin...
Bianconeri(the Black Whites)
L'Zebre (The...
Ubovu wa Gyan kumbe ulisababishwa na imani za kurogwa”-kocha Simba
Kaimu kocha mkuu wa Simba Masoud Djuma amesema, wakati anaingia Simba alikuwa haamini kama Nicholas Gyan ni mchezaji mzuri...
Panoja na CV yake nzuri ya kuiwezesha timu ya Cameron kuchukua ubingwa mataifa ya Africa kwanini Cameron hawakuendelea nae hadi wachukue kombe la dunia? Tusiongeze chumvi nyingi kwenye maharage...