Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea kutimua na kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, mwenyeji Mbao imemsambaratisha mgeni wake Yanga kwa bao 2 bila majibu.
Magoli ya Mbao yalifungwa kupitia...
Kocha wa Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa kiwango cha fedha cha £300m alichopewa kununua wachezaji kuimarisha kikosi chake hakitoshi.
"Tuko katika mwaka wa pili kujaribu kujenga timu...
Tupo wengi humu tunaopenda huu mchezo nimeona si vibaya kujuzana hasa katika maisha yetu ni mechi ipi uliowahi shuhudia na hutokaa usahau na kitu gani hasa au kipengele gani kina sababisha...
Nimepokea kwa hofu kubwa sana taarifa za timu ya Gor Mahia kumhitaji kocha mbovu wa Yanga George Lwandamila.
Huyu kocha ndio alisababisha kuporomoka kwa kiwango cha kimataifa cha Yanga...
Haya ni matokeo ya kipute cha leo cha kufungia mwaka 2017 karibu 2018.
Uku mwaka 2018 simba mechi zao kama ifuatavyo.
Karibu mwaka 2018 kwaheri mwaka 2017.
Cheerssss!!!!!!
Wilshere huyu tutakuwa nae Russia endapo kama hatokwenda kupumzika hospital katika roundi hii ya pili ya EPL
Nimejaribu kumwangalia kwa umakini mkubwa sana Jack Wilshere katika mechi nne za Epl...
Kuna hatari ya timu ya mancity mpaka mwisho wa msimu wasiwe wamepoteza mchezo wowote wa ligi kuu pale kwa malkia na sio mbaya tukisema jamaa wapewe kombe lao mapema tu.
Man city wanauchezea mpira...
Wakati Mapema mwaka 2008, maafisa wa Barcelona, walimfanyia Interview Mourinho ili aifundishe Barcelona, aliwapa mpango wa ku mpandisha Guardiola kutoka kuwa kocha wa Barca B mpaka kuwa kocha...
TFF Imesema kocha huyo hana muda mrefu wa kufundisha timu hiyo na wako kwenye mchakato wa kupata kocha mpya wa kigeni .
Hayo yamesemwa na na Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidau alipoongea na...
Ukiacha siasa na uzandiki wa soka hasa wa kuwapendelea Messi na Ronaldo kwenye kila kitu, ni mchezaji gani ambaye bado anacheza na unamkubali sana kwa uwezo wake? Pengine ana uwezo kuliko hata hao...
Kichwa cha habari kinajieleza ni wakati wa timu ya Real madrid kuvunja benki na kumsajili harry kane aje kusaidiana na Ronaldo katika kuondoa ukame wa magoli ambao timu unaikabili kwa sasa hivi...
Wasalaam.
Tumeshuhudia mtanage mkali kati ya Vijana wa Daraja la 2 yaani mashujaa wa Kijani wakimenyana na Simba SC.
Vijana hao waliweza kuwalazimisha Simba kuweka historia ambayo haikuwahi...
Ref:Bristol city 2 Man utd 1
Leicester city 2 man utd 2.
Labda game na Burnley ndio kidogo nimeiona ile Manchester united ya Babu Ferguson,kipindi cha Sir dakika za lala salama ndio...