Binafsi nilikuwa nawaza simba imepata umaarufu mkubwankufundishwa na makocha wengi sehemu mbalimbali kwa.mda mfupi
Baada ya kumchukua omog nilijua watatulia na kuhangaika na mafanikio ya...
Kiukweli mimi huwa siwaelewi kabisa mashabiki wa Man U, maana sasa hivi wanamshindanisha Stricker wa Tottenham, Harry Kane na wa Liverpool, Mo Salah.
Sasa najiuliza kwani wao hawana masticker wa...
Siku chache nyuma klabu ya simba ilitangaza kumsajili mshambuliaji wa ferroviario ya msumbiji Antonio domingos ,lakini kutokana na masuala ya uhamisho kutokamilika wameamua kumuacha na kumbakisha...
Nimekuwa nikitafakari dhana na umhimu wa makocha hasa katika mchezo wa soka napata mkanganyiko! Huwa najiuliza ingawa kunaweza kuwa na umhimu wa timu kuwa na kocha, je kukosekana kwa kocha timu...
Kuelekea kwenye pambano la Real Madri v Fc Barcelona kwenye La Liga, team hizi zimetofautiana kwa Point 4 tu, Madrid ndie aliyempita Barcelona, pambano hili pia linajulikana kama El Classico huku...
Tumeshuhudia juzi tu mfanyabiashara Mohammed Dewji akipitishwa kama mwekezaji atakayepatiwa Hisa 49% za klabu hivyo kuwa mwanachama mwenye hisa nyingi.
Lakini kabla hata hajakabidhiwa timu rasmi...
Mchezaji wa zamani wa Simba na Taifa Stars Zamoyoni Mogella yuko mbioni kutimuliwa kwenye kota za Urafiki baada ya kulimbikiza kodi mpaka kufikia deni la Tsh mil 5.
Chanzo - Mwananchi .
Ombi -...
Monte's mkongwe tu..
Mwanetu Haruna Moshi Shaaban Mawela "Boban" akitokea benchi anaifungia timu yake ya Friends Rangers goli la pili na la ushindi dhidi ya Ashanti united na kuivusha timu yake...
Sioni wa kumzuia Man city kuchukua ubingwa kwa sababu leo imeendelea kushinda 4 kwa 0 dhidi ya team ambayo man utd walishnda kwa mbinde 2-1
Pep lazima anyakue ndoo, maurinho kachemka na mbinu...
Swali hili ninajiuliza kuhusu hii club ya ureno inaitwa Benfica,1962 club hii ya Benfica ilishinda 5-3 dhidi ya Real Madrid ya uhispania.Kipindi hicho Real madrid ilikuwa na nyota wake wakali kama...
Njooni tujadili mpira wa bongo. Je siasa ni chanzo cha soka letu kudidimia au mbwembwe za vilabu vyetu kufanya vitu hewa kama usajili hewa, mipango ya maendeleo hewa (viwanja, uwekezaji) nini...
LIPULI YAMTOA KWASI KWA TSH. MILIONI 25
Uongozi wa klabu ya Lipuli FC inayoshiriki ligi kuu Tanzania Bara umeridhia maombi ya klabu ya Simba ya kumsajili beki wake raia wa Ghana, Asante Kwasi...
Ni dhahir shahiri kuwa man city hakamatiki hasa kwa kuwapakata vigogo wa muda mrefu wa epl.Hiyo ikiwa kwel naomba tutupie jicho upande wa man u, chin ya kocha ambaye huwa hafulukuti, kila...
Nimeapa kuanzia leo sitaishabikia simba tena. Kitendo cha kutolewa katika mashindano na timu ya daraja pili kimenikera sana. Tena nimegundua haji manara ndo analeta mkosi katika timu hii.