Hiki hapa kikosi kitakachoshuka dimbani kuikabili Lipuli
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Mganda Emmanuel Okwi hajajumuishwa kwenye kikosi cha timu hiyo kitakachovaana na Lipuli FC kwenye mchezo...
KLABU ya Yanga jana imemsainisha mkataba wa miaka miwili, beki wa kati, Mkongo Fiston 'Festo' Kayembe Kanku ambaye alikuwa kwenye majaribio katika timu hiyo kwa muda mrefu.
Usajili huo unakuja...
Klabu ya Azam FC imeachana na Mshambuliaji wake Yahya Mohammed raia wa Ghana baada ya kushindwa kufanya vizuri kufuatia makubaliano ya pande zote mbili.
Yahya alikuwa na mkataba wa miaka miwili...
Watoto wa Mosee Katumbi leo wametwazwa kuwa mabingwa wa kombe la Shirikisho badala ya kwenda Sare na Supersport ya Afrika kusini awali Mazembe walishinda 2-1 pale jiji la Lubumbashi.
Timu zetu...
Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil na klabu za AC Milan na Real Madrid amehukumiwa kifungo cha miaka 9 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumdhalilisha kijinsia...
KLABU za Gor Mahia inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya na St. George ya Ethiopia, zinatajwa kumwania mshambuliaji wa kimataifa wa Simba kutoka Burundi, Laudit Mavugo, imeelezwa.
Hata hivyo...
Japo timu haikupoteza mchezo laki goli walilofungwa ni goli YANGA LEO jepesi sana yaweza ikawa katika msimu huu hakuna lingine zaidi ya hili
ni maoni yangu tu
Mmeona jamaa wa wa TZ Prisons alivyompiga bao lililopita matakoni?
Kumbe jamaa naye ni rahisi kupigwa magoli kiasi hiki! Hongereni Yanga kwa kutoa droo
Simba Sports Club
Dar es salaam
25-11-2017.
TAARIFA KWA UMMA
________
Mchezaji Said Hamis Juma (Ndemla) amefanikiwa kufuzu kwenye majaribio yake ya kucheza Soka la kulipwa barani...
Rekodi zinaonyesha Timu zilizofungwa Goli 5-0 katika ya VPL kuanzia Mwaka 2012 ni:-
1.YANGA
2.JKT RUVU
3.COASTAL UNION
4.RUVU SHOOTING
5.KAGERA
6.MBEYA CITY
*HII NI KUKUMBUSHANA TU HAKUNA SABABU...
Mshambuliaji nyota wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mussa Hassan Mgosi, amesema kuwa kwenye Ligi Kuu Bara mshambuliaji mbishi uwanjani ni Obrey Chirwa wa Yanga...
Mahakama kuu ya rufaa nchini Afrika Kusini imemuongezea adhabu ya kukaa jela mwanariadha na mshindi wa Olimpiki Oscar Pistorius kutoka miaka 6 hadi 13.
Waendesha mashtaka wasema kifungo cha miaka...
Mchezaji anayeng'ara kwasasa hivi Taifa stars Simon msuva aliifungia bao timu yake ya el jadida walipokutana na miamba na mabingwa wa CAF klabu ya Raja Casablanca.
Katika pambano hilo klabu ya...
ilipoanza mbeya city ilianza kwa kishindo na kupata mashabiki wengi sana. iliiingia moja moja kuwa mshindi wa 3 katika ligi. huku ikiwa ni moja ya team zilizokuwa zikiogopwa sana. ilikuwa ina...
Kwasasa Watanzania wengi wanapata kuvutika kwakasi kuingia ktk michezo ya kamari bila kuelewa ina ATHARI KUBWA MNO kuanzia katika JAMII na katka DINI coz naamin zaid ya 95% ya watanzania ni...