Uongozi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unayofuraha kuwajulisha kuwa imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji Bernard Arthur akitokea Liberty Professional ya Ghana.
Arthur...
Hivi Omog angekuwa Na kikosi Kama cha Yanga ingekuwaje.Omog aende Yanga.
MTU anashindwa kuwatumia wachezaji wazuri ni wanini Simba.Ajib kaenda Yanga Na sasa ndo STAR pale Yanga ila Simba...
Jamani Tanzania na Watanzania milioni 52 sasa tuna dhambi kubwa kiasi gani, toka tuliposhiriki mara ya mwisho mwaka 1980 nchini Nigeria mpaka leo mwaka 2017 hata dalili za kunusa kushiriki...
Nimemfuatilia Omog kwa muda na tangu kelele za mashabiki zipigwe sasa viongozi watabe wameingilia kati ,..Omog ni boshen tu pale kuna anayeshikilia remote
Mlioko uwanjani au karibu na media tupia matokeo hapa
======================
Timu ya soka ya Yanga leo imefanikiwa kuifunga timu ya soka ya Mbeya City magoli matano kwa bila katika mchezo wa...
Hiki ni kikosi kilichoinyoa Arsenal katika fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya mwaka 2006 jijini Paris.
Chini ya mdachi Frank Rijkaard, Barcelona hii ilikuwa tamu sana kuliko hata ile ya Pep...
Mshambuliaji Mtanzania, Thomas Ulimwengu ameondoka katika klabu yake ya AFC ya nchini Sweden na kwenda Ubelgiji ambako sasa anafanya mazoezi na kikosi cha KRC Genk.
KRC Genk ndiyo klabu...
UONGOZI wa Klabu ya Simba mnapaswa kuwa makini na WACHEZAJI wenu kwani Klabu ya Yanga ina mtumia Mchezaji wake Ibrahimu Ajibu kuwarubuni WACHEZAJI wenu wajiunge na Yanga.
Ana uwezo wa kawaida mno na hana tofauti na Olivier Giroud sema tu kwasasa anazungumzwa sana kwa kuwa yupo timu ya wapayukaji duniani, jiulizeni kwanini alichemsha vibaya akiwa Barcelona? Akaenda...
Ligi Kuu ya soka Vodacom (VPL) Mji wa Mbeya leo utasimama kwa dakika 90, kupisha mtanange kati ya Tanzania Prisons 'Wajelajela' na Simba Sports Club 'Wekundu wa Msimbazi'.
Je nani kuondoka na...
Imepita miaka minne tangu Simba ilipopata ushindi wake wa mwisho dhidi ya Tanzania Prisons kwenye uwanja wa nyumbani wa maafande wa jeshi la Magereza, matokeo mazuri kwa Simba katika kipindi hicho...
Yaan. Inaskitisha sana kuona nchi kama Italy inakosa kwenda kushiriki world cup 2018 huko Kwa Purtin na mvuto wa haya mashindano umeisha bingwa maraa kadhaa anashindwa kwenda. Aiseee!!
Italy...