Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tukiacha zile bao 5 tulizowafunga Gulioni FC (wauza mitumba wa kipemba) bado kikosi hakijaonyesha uthamani wa Bilioni 1.3. tangu mechi za kirafiki mpaka leo jioni tarehe 23/08/2017 umecheza...
7 Reactions
139 Replies
10K Views
Bondia maarufu duniani floyd mayweather,ambaye amepigana mara 49 bila kupigwa anategemea kuingia ulingoni na mc gregory ambaye sio proffesional boxer na hana rekodi yoyote katika boxing,yeye ni...
24 Reactions
143 Replies
24K Views
Cheki uvivu wa huyu bwana Karim Benzema ulivyoicost team yake ya Real madrid na Ufaransa katika mechi tofauti, Kwa uvivu huu bora hata Morata angebaki.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kosi la Simba, Watu wa Kazi-Mpira Chini Baada ya mji kutulia na kujaa nidhamu kutokana na kumnyamazisha Yanga SC jumatano, leo ni zamu ya Masao Bwire kulambishwa dawa. Ni Simba SC na Ruvu...
15 Reactions
154 Replies
26K Views
Kama inavyojieleza hapo juu naomba mnielekeze jinsi ya kubeti kwa njia ya mtandao bwayhermitTz
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jameni wapenzi wa Sports hasa wana Yanga wenzangu., Habari. Yanga Oyeeee!! Daima mbele - Nyuma mwiko. Ni kweli mechi yetu dhidi ya Singida United tumeshinda 3 kwa 2...ila ukweli unabaki pale...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Hakuna mabadiliko yoyote yatatokea msimu huu. Wenger ni yuleyule,timu ni ileile ya kina Iwobi na Walcot ambao hawawezi kupambana na timu kubwa. Angalia usajili wa man utd,man city...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
haya watoto wa mjini wanafumuliwa kama hawamo uwanjani polen arsenal hii ndo liverpool tunachakaza sisi hatuna maneno mengi ila vitendo bado vigogo wengine kama man u,chealsea,na city
0 Reactions
5 Replies
735 Views
Napenda kueapongeza wachezaji wote was timu yangu ya man utd kwa kutoa dozi mfolulizo pasipo kuhurumia MTU.mwaka huu wapinzani wakae mkao was kuliwa.
1 Reactions
0 Replies
554 Views
Kwa kweli huu ulioufanya Maluwe ni uhuni. Sisi wengine tunanunua bundle kwa ajili ya habari na huu mchezo tu. Lakini mnatuangusha.... Kumefanyika mashindano ya ARC hapo bagamoyo, kwa kawaida...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natabiri arsenal itakuwa bingwa EPL. Unadhani Nani anachukua ubingwa mwaka huu?
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Kwa mpira mliocheza na kiwango kizuri mlichoonesha, m nastahili pongezi. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
14 Replies
2K Views
STAMFORD BRIDGE, ENGLAND: Magoli ya Cesc Fabregas na Alvaro Morata yameipa Chelsea ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Everton. ====== The Pa remier League champions might be heading into the final week...
0 Reactions
1 Replies
557 Views
Habari wanandugu! Nataka kujiingiza katika huu mfumo wa betting sasa naomba kuelekezwa kuhusu kampuni nzuri ya kubetia maana naskia mara kuna M-bet, Meridianbet, Mkekabet na nyinginezo nyingi...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Yaani kucheza mechi mbili tu na kushinda goli nne nne tayari humu mitaani ' hatupumui ' kwa majigambo yenu ya ' Kitoto ' kabisa. Hakuna Watu ambao nilikuwa nawaheshimu kwa kudhani kuwa wanajua...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Huyu afisa habari Wa Simba amebaki anajibiwa na mashabiki mpaka ukiona mashabiki wanavyojibu Hondo zake, ni kama wamepaniki/wamepagawa. Anaipiga Yanga kwa namna mbalimbali lakini yangu ni kama...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Msaada kuhusu pambano la Myweather litakuwa saa ngapi na ni channel gani italionesha please.
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Kuna habari kuwa Omong kapewa mechi 4 ambazo kama akiboronga anatimuliwa.Hivi tujiulize,kama ni kweli basi watakua hawamtendei haki.Ndio wametumia hela nyingi sana kusajili karibu timu nzima,ila...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa la michezo .. Mimi sio mdau sana wa masuala ya michezo Kwa undani ila kuna jambo moja naomba kulijua kuwa kwa mfano club tangu kuanzishwa mpaka kufikia kucheza VPL hatua gani...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…