Endapo usajiri wa mnigeria Henry Tony Okoh utafanikiwa basi Yanga itakua na kikosi kipana sana na itakuwa ni changamoto kwa mwl Lwandamina kuchagua kikosi kitakachomfaa kwa siku hiyo.
Binafsi hiki...
Nmejisikia aibu kuhusiana na hii habari ya kuwa wapinzani wetu simba wamefungwa bao 7 huko south africa. Nikaangalia hayo matangazo yanayosema hivyo. Ni aibu sana maana hata watu wetu wa IT...
MCHEZAJI yeyote atakayesajiliwa msimu huu hataweza kupatiwa leseni ya kucheza soka ikiwa hatapimwa afya yake na kuidhinishwa kwamba ni mzima.
Hayo ni miongoni mwa masharti matatu yaliyopitishwa...
Hivi ni kweli kuna kocha yeyote duniani anaweza kutoa ripoti kwa uongozi usaini timu nzima wakati mmetoka chukua FA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Golikipa wa Kimataifa wa Tanzania Aishi Salum Manula kesho tarehe moja Agosti, anatatajiwa kujiunga rasmi na kambi ya Klabu yetu ya Simba iliyopo Eden Vale Johannesburg nchini Afrika Kusini...
Ni habari ya chinichini kwamba mnyama Simba Sports Club alambwa saba katika moja ya mechi za kujifua kwa ajili ya maandalizi ya msimu
Ama kweli huu utakuwa msala na kocha ajipange maana kupigwa...
Naona Bundi ameshatua Msimbazi hata mzunguko wa kwanza haujaanza.
Simba mjipange kwa kuchukua Kombe na si kuanza kugombea kumiliki Timu.
Na hapo ndipo Yanga anapochukua nafasi na kuchukua Kombe...
Hili swali huwa najiuliza Mara nyingi sana, licha ya Jamaa kuwa na uwezo kwenye kusakata kabumbu ....Hivi kwanini hatujawahi kusikia jamaa akihitajika sehemu Fulani akafanye trials kama wenzake...
Skwadi ya Simba ambacho kimepiga kambi nchini Afrika Kusini, ndani ya wiki hii kitaanza kucheza mechi za kirafiki na timu mbalimbali zinazoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo.
Kikosi hicho ambacho...
Katika usajili makini waliofanya Yanga kuimarisha striking force ni pamoja na kumsajili mshabuliaji Ajibu kutoka Simba.
Kumbukumbu za Ajibu zinaonyesha kuwa kwa misimu mitatu amefunga goli 24...
Nikiwa kama Mwanachama ' lia lia ' wa Yanga FC natoa masikitiko yangu makubwa kwa Uongozi wa Klabu yetu hasa kwa aina hii ya usajili ambao wanaufanya kwani kiukweli kuna Wachezaji ambao Mimi...
STRAIKA mpya wa Yanga na kipenzi cha walio mashabiki wa Simba SC, Ibrahim Ajibu, tangu asajiliwe kutoka Simba hakuwahi kuzungumza lolote, lakini juzi Jumanne jamaa aliamua kufunguka na kutamka...
wakuu nadhani mtatusaidia kupata update za mechi hii itakayopigwa marekani tunaomba msaada tuliopo huku kitapilimwa,ibofwe,magangamatitu ambako TV tunazisikia tu [emoji120] [emoji120]