Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Ni kipindi kirefu washambuliaji wetu wa kigeni kila wanapofika hapa Bongo huwa wanahujumiwa na Mahasimu wetu licha ya kuwa na rekodi nzuriya ufungaji magoli huko watokapo. Chondechonde tunautaka...
5 Reactions
6 Replies
553 Views
Sio sababu ni MVP Ivory Coast pekee. Hapana. Hadi sasa tumeshuhudia wachezaji bora Ivory Coast wanatua katika ardhi Yetu. Aziz Ki na Pacome huwezi acha kuwataja - moja ya sajili bora kabisa katika...
11 Reactions
44 Replies
4K Views
Usajili wa Chama sikuufurahia. Wachezaji Aziz ki na Pacome, wanacheza Kwa pressure na hofu maana wanaogopa jina la Chama. Walianza wanacheza Kwa bidii ya kupitilia na ku panic kuishia kufanya...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuipeleka fainali ya FA Zanzibar ni sawa na kuipeleka fainali hiyo Kenya, Somalia ama Uganda, hakuna timu yoyote kwenye Nchi ya Zanzibar inayosimamiwa na TFF kama zilivyo Nchi nilizozitaja Wala...
16 Reactions
75 Replies
4K Views
Maneno ya Ken gold sports club Baada ya mechi . Waliofungwa 5 mikono juu Soma Pia: FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024
7 Reactions
20 Replies
908 Views
Golikipa wa Man Utd, David De Gea anadai kuwa timu yao itakuwa imepewa laana na ndio maana haifanyi vizuri kwasasa! Sijui tunachokifanya kwasasa, matokeo yamekuwa mabaya siku mpaka siku, nafikiri...
11 Reactions
45 Replies
4K Views
Simba kimataifa kwa miaka ya karibuni inajitutumua ili iwe kama vilabu vikubwa barani Africa, Al Ahly, Zamalek, Al hilal, As Vitta, Nkana, TP Mazembe, Mamelod, Kaizer Chiefs nk Lakini cha...
3 Reactions
22 Replies
954 Views
Kumekuwa na songombingo kuhusu baadhi ya Michezo ya ligi ya NBC Bara kwenda kuchezewa katika uwanja wa Amani Zanzibar. Mjadala umekuwa ni mpana. Suala hili lilianza pale Simba walipokuwa...
4 Reactions
11 Replies
753 Views
Enzo Zidane, mtoto wa Zinedine Zidane, ameamua kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 29. Enzo aliwahi kuchezea klabu ya Real Madrid na vilabu vingine, lakini sasa ameamua kustaafu soka. Enzo...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana. Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji...
2 Reactions
3 Replies
377 Views
Ni mimi wako: UWESU TANZANIA 🧠 Kwa tafiti fupi niliyoifanya nimegundua kuwa ni vigumu sana wachezaji washiriki wa CCL (CAF champion ligue) kusajiliwa kwenye timu shiriki za EPL (England premier...
5 Reactions
93 Replies
2K Views
Michezo inatoa fursa muhimu ya kuimarisha afya na mshikamano miongoni mwa watumishi wa umma na inasaidia kuleta hamasa kwa watumishi kufanya kazi kwa tija na uzalendo kwa taifa. Kauli hiyo...
0 Reactions
2 Replies
263 Views
Ligi ya Tanzania bara Azam vs Simba Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka. Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe. Je...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Nimewacheki Chama langu Azam fc . Bado wana a lot of individualism . Kila mtu yupo kivyake . Awana timu , in short kesho Simba Ana point 3 zake mapema tu. Azam fc sijui nani aje ? Sema deal ni...
1 Reactions
4 Replies
468 Views
Hizi timu za Ligi kuu zinasikitisha sana, kumfunga Yanga au kutoa sare haikufanyi upate alama tatu muhimu! Bali nguvu mbinu na mikakati mnayowekeza kukabiliana na Yanga mngewekeza kwenye vilabu...
1 Reactions
23 Replies
797 Views
Mtanisamehe kwa makala ndefu ila hili inabidi leo tuliongelee. Mimi ni mmoja wa watu ambao kuna kipindi nilikuwa nashangaa nikikuta mwanaume ana jina la kike. Kyrie, Shannon, Courtney, Lindsay...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Muda mrefu nimekuwa najiuliza futiboli yetu haiweji kupata utambulisho wake kama La Liga, Seria A, Bungesliga n.k.? Nimepata wazo hili na napendekeza jina la ligi yetu ya futiboli liwe "Sokaligi"...
5 Reactions
25 Replies
514 Views
Raphael Varane, beki wa Ufaransa, ametangaza rasmi kustaafu kutoka mpira wa miguu wa kulipwa akiwa na umri wa miaka 31. Varane soka lenye mafanikio makubwa, akishinda mataji mengi, ikiwa ni pamoja...
0 Reactions
5 Replies
793 Views
Simba Sports Club pamoja na kusajili wachezaji wazuri ili kufanya vizuri kwenye michuano ya kitaifa na kimataifa, Nawaona Simba pia wakirudisha faida kubwa ya uwekezaji wa wachezaji kwa kupata...
1 Reactions
7 Replies
453 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…