*VIVA YOUNG INTERNATIONAL GROUP*
*MAJUMUISHO BAADA MAPITIO YA MKATABA WA UDHAMINI WA TIMU YA YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB NA KAMPUNI YA SPORTSPESA LIMITED*
*MAY, 2017*
*1. UTANGULIZI*
Tarehe...
Shirikisho la Soka Duniani(FIFA) latoa orodha mpya ya viwango vya ubora wa soka. Tanzania imeporomoka kwa nafasi 4 (135 hadi 139).
Brazil wamebakia katika nafasi ya kwanza, huku kwa nchi jirani...
Sport Pesa Cup.
- Ni Michuano mipya itakayohusisha timu zinazodhaminiwa na Sports Pesa.
5/6 Singida united Vs FC leopard
Yanga Vs Tusker fc
6/5 Simba Vs Nakuru All Star
Jang`ombe boys vs Gor mahia...
HILI NI JICHO LA MWEWE AU LA KUKU??
_____________
Na:HAJI Manara
Kuna uchokozi flani unaofanywa na baadhi ya watu,haufai kunyamaziwa,hata kama unafanywa na mtu mnayejuana kitambo na...
Ni redio ambayo maudhui yake hasa ya Kipindi chake cha Sports Headquarters mengi ni ya ama kuinanga vibaya Klabu ya Simba au kuilezea Simba SC kwa mtazamo hasi na wa kuidhoofisha mno na hali...
Rene Huguita.
Alipata kuishi katika sayari tuliomo.
Anatoka katika nchi ya Colombia.Mpira kwake ilikuwa ni furaha vituko na vihoja.
Mara nyingi alitoka golini kwake kwenda mbele kuongeza...
Klabu ya Simba imetoa kiasi cha shilingi milioni 4.2 kama sehemu ya rambirambi katika msiba wa aliyekuwa shabiki na mwanachama wao, Shose Fidelis aliyefariki dunia Jumapili iliyopita kwa ajali ya...
Baada ya msimu wa 2016/2017 kuisha kwa klabu ya Azam kufanya vibaya mfululizo kwenye ligi wameamua kufanya overhauling ya management na wachezaji na tayari CEO Said kawemba ametumbuliwa na nafasi...
Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limetoka viwango vipya vya ubora wa soka duniani ambapo Tanzania imeshuka kwa nafasi nne.
Katika orodha hiyo ya viwango iliyotolewa leo Juni mosi, Tanzania...
Nimefurahishwa sana na uamuzi wa timu hii , hakika huu ni uamuzi wa muhimu sana kwa Dortmund .
Huyu ni kocha aliyeshindwa kabisa kwenda na moto wa timu , timu hii imepoteza kabisa ule ukali wake...
Kuelekea msimu wa 2017/18 timu ya Yanga mabingwa mara 3 mfurulizo wa Vodacom Premier League wakiwa hadi sasa hawajielewi bajeti ya timu kwenye kujiandaa msimu mpya kuanzia kwenye usajili wa...
Natumai mu wazima,
Ni muda sasa mrefu kama misimu minne ambapo timu ya Simba SC haijafanikiwa kuutia ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara mkononi japo kwa msimu huu wamefanikiwa angalau kupata kombe...
Kuna walakini umejikoteza kwa klabu ya Manchester United kumnunua mchezaji Antonio Griezman wa Atlético Madrid baada ya mahakama ya kimataifa ya maamuzi ya kisoka (The Court of Arbitration for...
Born in sadabell joined barca youth team in the summer of 2005
Technical profile..
Is very complete midfielder renowned for his intelligence on the field
As well is a good reader of the game...
Nyota saba wanaodaiwa kuiaga Simba;
Jonas Mkude
Ajib
Manyika Peter
Abdi Banda
Method Mwanjali
Novatus Lufunga
Juuko Murshid- @ MWANANCHI
Kwa maoni yangu bado nawakubali sana Jonas Mkude na...
Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba ametoa ripoti yake ambayo ni mwanzo wa mwendelezo wa maandalizi yao katika kuukaribisha msimu wa 2017/18.
Aristica Cioaba ambaye ni raia wa Romania ametoa...
Licha ya kushika nafasi ya sita katika Premier League msimu wa 2016/17, Manchester United imetajwa kuwa ndiyo klabu yenye thamani kubwa zaidi Ulaya ikiifunika Real Madrid.
Utafiti uliofanywa na...
Timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti kutoka Kampuni ya Bia ya SBL, imesafiri salama kutoka Dar es Salaam, Tanzania hadi hapa Alexandria, Misri.
Timu...
Anachukua mikoba ya Luis Enrique alikua kocha wa Atl Bilbao.
Karibu Catalunya Ernesto Valverde.
=====
Kocha Ernesto Valverde ametangazwa rasmi na uongozi wa Barcelona kuwa ndiye mrithi wa Luis...