Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Bodi ya usimamizi wa ligi tanzania imemuita Mkemi ili ahojiwe na kamati ya nidhamu ya tff hatua hii imekuja baada ya mkemi kutoa kauli kuwa bodi ya ligi wanajihusisha na rushwa na kutishia kwenda...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii forum,ndugu wana ligi kuu ya uingereza(EPL) na wapenzi wa burudani wote habarini za mihangaiko ya hapa na pale ya maisha. Nipende kuweka wazi tu kuwa Mimi si mshabiki wa...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Dk 58: Simba 2-1 Lyon Haaahahahahaha Kumbe Lyon Nilzan Yanga Maana Wana Maneno
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Rais wa Simba, Evans Aveva anasema wanakamilisha taratibu za mwisho ikiwemo kupata barua kutoka bodi ya ligi ya kupokwa point 3 za Kagera sugar ili wakwee pipa kuelekea Zurich, Uswizi kunako makao...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Leo nimejaribu kupitia maktaba yangu nikakutana na Angola iliyoshiriki Kombe la Dunia 2006,Angola walikua vizuri sana kisoka ila kwa siku za karibuni hata Kauzu fc wanaweza kufunga. Sio mbaya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
mwenye update tafadhali arushe hapa
1 Reactions
26 Replies
5K Views
mwenye update tafadhali arushe hapa
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Afananishwa na LIONEL MESSI.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kenyan Eliud Kipchoge missed two hour marathon attempt by 25 secs recording fastest marathon ever. Eliud Kipchoge misses sub two-hour marathon target in Monza – as it happened
0 Reactions
0 Replies
532 Views
"70 FACTS ABOUT BRAZIL LEGEND PELE" "Considered by many as the greatest player of all time, here are 70 things you may not know about the Brazil icon" 1. Pele...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Leo nimeamka sina hata mia, ila kuna rafiki yangu hapa kanitumia mwekundu ili niweze kusogeza siku. Sasa baada ya kufikiria jinsi ya kuweza kuishi hasa katika kipindi hiki kigumu cha...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Kwasababu makonde anayoyapeleka mazito
0 Reactions
3 Replies
825 Views
Sergio Ramos has said that the Ballon d'Or winner's team-mates were denied the chance to congratulate him after a thumping victory Maafisa walimchukua Cristiano Ronaldo na kwenda kumpima madawa ya...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Jaji awahukumu wanaume nane kwenda jela kwa kuandaa mpango wa kufanya mashambulio katika mashindano ya kiangazi ya Olimpiki. Hii inakuwa ni hukumu ya kwanza kutekelezwa chini ya Sheria ya...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Man United usiku wa May 4 walikuwa katika uwanja wa Bailados nchini Hispania kucheza mchezo wao wa kwanza wa nusu fainali ya pili ya michuano ya UEFA Europa League msimu wa 2016/2017 dhidi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
London, Uingereza: Bondia kijana Anthony Joshua amemsambaratisha mkonngwe Wladimir Klitschko katika pambao la uzito wa juu lililofanyika katika uwanja wa Wembley. ========== To use his own...
4 Reactions
606 Replies
71K Views
Mambo yanaendelea WanaYanga wrote Bakuli linatembezwa mchangie kuliokoa Jengo kwani linataka kupigwa Mnada.Katibu MKUU wa Yanga amethibitisha.
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Tupeane ujuzi wakuuuu
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Kna watu walianza soka sawa na kina Buffon ila hadi Leo wanajulikana wna miaka25,kweli?? Unakuta kimtu kimokamaa kinacheza copa coca cola eti madai watu wa kusini wafupi. Mibabu imejaa kwenye soka...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mpira umemalizika muda mfupi uliopita kwa Serengeti boys kuisasambua Cameroon kwa goli 1 kwa bila mechi iliyochezwa jijini Yaunde Cameroon. Wadau mnaombwa kuendelea kuichangia timu hii ya vijana
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…