Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nikiwa nishaanza shamra za kusherekea ushindi mzito wa leo wa Simba S.C dhidi ya Ruvu.. Nipo kijiweni na mashabiki wa Ndala wakiwa wamenyong'onyea.. Kisa.. Mkata Umeme!! Nasikia wakijadili kauli...
12 Reactions
240 Replies
15K Views
Kama kuna mpango wa kuitafutia yanga points kwa mbinde, au ni kweli Lyon walimsajili mchezaji bila kufuata sheria za mpira nchini?
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Bondia Francis Cheka Ngumi Jiwe ametangaza kustaafu mchezo wa ndondi. Hii ni habari mbaya kwa sisi wapenda ndondi. Francis ameamua kuachana na ngumi na kujiweka pembeni ili aendelee na biashara...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Uongozi wa Klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati AZAM FC Leo Limesimamisha Benchi zima la ufundi la Timu hiyo linaloongozwa na Kocha mkuu Mhispania Zeben Hernandez kutokana na Mwenendo mbovu wa...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Jose Mourinho: "To be honest, It is very Difficult to catch Chelsea.. They're Unstoppable". Pep Guardiola : "Chelsea is the Only team that takes my Admiration, Sometimes you lose, sometimes you...
1 Reactions
0 Replies
647 Views
Habari zenu hususani wana michezo!! Naomba kuelimishwa suala moja najiuliza sana hivi wachezaji wetu mathalani mpira wa miguu wanaposajiliwa nje ya nchi suala la lugha huwa inakuwaje hasa kwa wale...
0 Reactions
3 Replies
683 Views
MATAJIRI wa klabu ya Shanghai Shenhua ambayo inashiriki Ligi Kuu nchini China, tayari wamemalizana na nyota wa zamani wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Argentina, Carlos Tevez, kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni tofauti kidogo na wenzetu wazungu wakati wao wakitamani kuitwa timu zao za taifa kwetu Gondwanaland(Afrika) ni tofauti Zikibaki siku kadhaa Kombe la Mataifa Huru la Afrika kuanza kule...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
As Sloane Stephens has said numerous times, Serena Williams is No. 1 for a reason. In a battle of America’s No. 1 and No. 2, Williams got the revenge she sought Sunday. Williams defeated Stephens...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Story highlights Serena Williams is engaged to Reddit co-founder Alexis Ohanian The tennis champ announced the news on Reddit The couple have been dating since 2015 (CNN) Tennis great Serena...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
=> Dk 1, mechi inaanza kwa kasi kubwa ikionekana Yanga wamepania kupata bao la mapema. => GOOOOOO Dk 4, Ngoma anaiandikia Yanga bao saafi kwa kichwa baada ya kuunganisha mpira wa kona => Dk 5...
1 Reactions
105 Replies
12K Views
Miaka michache iliyopita Zamoyoni Mogella kipenzi cha wana-Simba alieleza kilichosababisha akaacha kuichezea Simba mwishoni mwa 1991. Anasema kwamba alichoshwa na vituko vya uongozi wa klabu hiyo...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
wameshaanza tayari
0 Reactions
6 Replies
807 Views
Kikosi cha Simba leo kinacheza mchezo wa 18 katika ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Ruvu Shooting uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Nitawaletea kikosi chote cha Mnyama hivi punde. Msimamo wa Ligi ni...
4 Reactions
153 Replies
18K Views
Najua mnajua kuwa kila mtu anamjua Douglas Costa de Souza ni nani? Kama humjui basi unashauriwa usimalizie kusoma huu uzi, ufungue YouTube ukiwa unatafuta video za huyu Kijana. Leo nimeamua...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Hii ilikuwa ni mechi kali ya Simba Taifa Kubwa VS Yanga SCC. Jionee mwenyewe gonga one-two-one-two za Wanaume kiasi cha kufanya mtangazaji na mchambuzi Kaijage ''kusikitishwa'' na mpira mkubwa...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwisho wa Epl hii ya mwaka 2016/2017 ni kama ifuatavyo. 1. Liverpool 2. Chelsea 3. Man City 4. Man United 5. Arsenal 6. Tot Hotspurs Itunze vema hii coment yangu ili tukumbushane kwa evidence...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, ameibuka na kusema kiungo wao, Mzambia, Justine Zulu, bado hajawa fiti kucheza kwa kiwango chake na ndiyo maana mpaka sasa hajapewa nafasi kubwa ya...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Rage ameitaka klabu ya Simba kwenda mbele zaidi kudai haki yao na si kukubali kiasi cha shilingi milioni 50 kama fidia kama livyoamriwa na Kamati ya Katiba...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…